Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept
Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku...

Huu mhimili uliojichimbia sana ni shida.

Bila kuukomalia sasa na vilivyo hawawezi kutambua haki za wengine.
 
Lakini kitu cha muhimu hadi sasa ndugu zangu ni kwamba, kwa umoja wetu wote tupo nje ya mahakama kuu Divisheni ya makosa ya uhujumu uchumi na Rushwa, Ubungo-Mawasiliano, tumeshawaelekeza MAWAKILI wetu wasomi kwamba "No ENTRANCE NO CASE"... And it's done, hii ni open court!
itaahoirishwa atarudishwa rumande na nyie mtaenda nyumbani
 
Kisheria hairuhusiwi kuingia na simu ikiwa imewashwa ndani ya chumba au eneo kesi inapoendeshwa; acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kisheria. Kuchambua ushahidi kwenye mitandao ni kuilekeza mahakama namna ya kufikia uamuzi kitu ambacho ni kosa
weka hiyo sheria hapa inayokataza watu kuingia na vifaa vya ki-electronic kwenye open court.
ukifanikiwa kuweka hiyo sheria hapa nitakununulia kanga doti 10 na shanga 6.
 
Kwani wakituma taarifa nje ni kosa?

Au hiyo kesi ni. Confidential?

Vifungu vya sheria tafadhari
 
Mwenzio aliyesema hivyo yupo kaburini anakula kichapo, huku akimuacha mbowe bado anatesa
Hawa polisi wamefilisika mawazo. Kama wanadhani kuzuia simu ndo kutafanya tusipate habari basi wamebughi, maana mdau mmoja ameamua kumpeleaka pale secreatary wake anayejua shorthand. bado tutapata kila kitu. Stay tuned!
 
Kwa hisani ya watu wa tweeter!

Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku. Tunatafuta alternative, TUWAJUZE...
Kuna uonevu unatendeka ktk hii nchi yetu unaniuzi sana kwa kweli, ila yana mwisho haya
 
Kwa hisani ya watu wa tweeter!

Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku. Tunatafuta alternative, TUWAJUZE...
Wanajua wakiwakubalia wote media itabadilisha muelekeo wa hi kesi, na mipango yao itavujwa mapema hata kabla ya kesi.....
 
Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku...
Hangaikeni na taasisi ya urais maana mlibeza sana kifo cha Dkt JPM mkifurahia na kunywa, tena kuna mjamaa ni marketing officer kwa kiwanda cha maji cha kilimanjaro water anaishi arusha anasema aliuza sana tena sana vinywaji kwa watu wa huko wakishangilia kifo cha mzalendo Dkt JPM
 
washangilie na kuozea jela kwa mbowe
 
Back
Top Bottom