Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept
Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku.

Askari magereza wanalalamika kwamba jana tumefanya ujinga sana. Ujinga gani, tunawaukliza, wanasema tulikuwa tunatuma habari nje. Wanamueleza Benson Kigaila, NKM CHADEMA. Tumewaeleza kwamba, anayetakiwa kulalamika ni Jaji sio wao. Mahakama siyo gereza. Wajishikilie vizuri.

Mahakama imechelewa kwa dakika 40, yote hii ni kutokana na Jamhuri kutaka kuhodhi mamlaka ya mahakama, bila kujua kwamba wote hapa tuna interest na kesi hii, wao ni walalamikaji, sisi ni watuhumiwa. Kwanini watuzuie kuingia mahakamani na simu?

Watoto wote wa Freeman Mbowe, (Nicole na Dudley) pia wapo nje ya mahakama, pamoja na ndugu zao wengine.

Kama kawaida yao, makarao waliovalia kiraia, wamekaa kwenye siti karibu zote za mahakama, wamechukua nafasi kama kesi ni yao pekee yao.

Mambo ya ajabu yanafanyika

Lakini kitu cha muhimu hadi sasa ndugu zangu ni kwamba, kwa umoja wetu wote tupo nje ya mahakama kuu Divisheni ya makosa ya uhujumu uchumi na Rushwa, Ubungo-Mawasiliano, tumeshawaelekeza MAWAKILI wetu wasomi kwamba "No ENTRANCE NO CASE"... And it's done, hii ni open court!

Updates
Jana Jaji Mustapha Siyani alisema watuhumiwa waletwe mapema, saa 3 asubuhi kesi ianze, lakini mpaka saa 5 na Dakika 24 sasa kesi haijaanza kwa sababu ya polisi kuzuia watu. Mawakili wetu walikwenda kumuona Jaji, wanatupa taarifa kwamba Jaji amekana kuzuia Jambo hilo mahakamani.

Updates
Wakili Msomi Kibatala ameandika Jaji ameruhusu watu waachwe huru

C&P Martin
Askari magereza wanalalamika kwamba jana tumefanya ujinga sana. Ujinga gani, tunawaukliza, wanasema tulikuwa tunatuma habari nje. Wanamueleza Benson Kigaila, NKM CHADEMA. Tumewaeleza kwamba, anayetakiwa kulalamika ni Jaji sio wao. Mahakama siyo gereza. Wajishikilie vizuri
 
Lakini kitu cha muhimu hadi sasa ndugu zangu ni kwamba, kwa umoja wetu wote tupo nje ya mahakama kuu Divisheni ya makosa ya uhujumu uchumi na Rushwa, Ubungo-Mawasiliano, tumeshawaelekeza MAWAKILI wetu wasomi kwamba "No ENTRANCE NO CASE"... And it's done, hii ni open court![emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1534]
 
Updates
Jana Jaji Mustapha Siyani alisema watuhumiwa waletwe mapema, saa 3 asubuhi kesi ianze, lakini mpaka saa 5 na Dakika 24 sasa kesi haijaanza kwa sababu ya polisi kuzuia watu. Mawakili wetu walikwenda kumuona Jaji, wanatupa taarifa kwamba Jaji amekana kuzuia Jambo hilo mahakamani[emoji23]
 
njoo uwaambie siyo unajambia jambia huko kwa wanaume njoo kama mwanaume kweli we demu tu
Utatombwa wee msenge kama mnajimaini kweli na ushahidi mnao mkubwa kwanini mnaogopa?

Huwo si niusenege mwanaume kuogopa kupigana kama umpiganaji na ndiye ulianzisha vita kwanini unaogopa

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku.

Askari magereza wanalalamika kwamba jana tumefanya ujinga sana. Ujinga gani, tunawaukliza, wanasema tulikuwa tunatuma habari nje. Wanamueleza Benson Kigaila, NKM CHADEMA. Tumewaeleza kwamba, anayetakiwa kulalamika ni Jaji sio wao. Mahakama siyo gereza. Wajishikilie vizuri.

Mahakama imechelewa kwa dakika 40, yote hii ni kutokana na Jamhuri kutaka kuhodhi mamlaka ya mahakama, bila kujua kwamba wote hapa tuna interest na kesi hii, wao ni walalamikaji, sisi ni watuhumiwa. Kwanini watuzuie kuingia mahakamani na simu?

Watoto wote wa Freeman Mbowe, (Nicole na Dudley) pia wapo nje ya mahakama, pamoja na ndugu zao wengine.

Kama kawaida yao, makarao waliovalia kiraia, wamekaa kwenye siti karibu zote za mahakama, wamechukua nafasi kama kesi ni yao pekee yao.

Mambo ya ajabu yanafanyika

Lakini kitu cha muhimu hadi sasa ndugu zangu ni kwamba, kwa umoja wetu wote tupo nje ya mahakama kuu Divisheni ya makosa ya uhujumu uchumi na Rushwa, Ubungo-Mawasiliano, tumeshawaelekeza MAWAKILI wetu wasomi kwamba "No ENTRANCE NO CASE"... And it's done, hii ni open court!

Updates
Jana Jaji Mustapha Siyani alisema watuhumiwa waletwe mapema, saa 3 asubuhi kesi ianze, lakini mpaka saa 5 na Dakika 24 sasa kesi haijaanza kwa sababu ya polisi kuzuia watu. Mawakili wetu walikwenda kumuona Jaji, wanatupa taarifa kwamba Jaji amekana kuzuia Jambo hilo mahakamani.

Updates
Wakili Msomi Kibatala ameandika Jaji ameruhusu watu waachwe huru

C&P Martin
Hii noma mbona wenzetu wakenya kesi zenye maslahi ya kitaifa wanaonyesha kesi kwenye runinga....kha!!
 
Juzi nilimsikia Jaji mkuu Prof Juma akimuomba waziri mpya wa Nishati aisaidie mahakama kufanikisha lengo lao la kutumia mifumo ya tehama katika kuendesha kesi.

Nadhani tungeanza na kuonyesha kesi ya ugaidi ya Mbowe luningani.

Maendeleo hayana vyama!
Ili tuone mangumbaru ya ccm yanavyoaibika wakiwemo policccm
 
Updates
Jana Jaji Mustapha Siyani alisema watuhumiwa waletwe mapema, saa 3 asubuhi kesi ianze, lakini mpaka saa 5 na Dakika 24 sasa kesi haijaanza kwa sababu ya polisi kuzuia watu. Mawakili wetu walikwenda kumuona Jaji, wanatupa taarifa kwamba Jaji amekana kuzuia Jambo hilo mahakamani[emoji23]
Hangaya na wenzake wameumbuka na hiyo kesi yao ya kubumba
 
mlifikirimmahakamani ni sehemu ya kwenda kudemka kisiasa ? tulieni hivyohivyo mvua zinamuhusu gaidi mbowe
Tusiingize ushabiki katika hili.Ni vizuri tukaachia huu mhimili ufanye kazi yake Kwa namna Sheria husika inavyoelekeza.Mambo ya kutabiri hukumu hayana maana sana kwa sasa,na kwa uhalisia wa mambo,ni kwamba baada ya hii kesi kuisha,bila kujali inaishaje, ni muhimu kutambua ulazima wa kuvumiliana katika siasa hizi za vyama vingi.Hii ni kwa ajili ya maslahi mapana ya nchi yetu Tanzania.
 
Hamna kazi za kufanya kazi yenu ni kukaa mahakamani siku nzima kufuatilia kesi ya Mbowe????

Anyway, kuna kitu watu wengi hawajui. Gaidi siyo lazima awe anamiliki AK47 au M16 Rifle au mabomu.
Gaidi anaweza akawa na kisu tu na akafanya ugaidi. Gaidi anaweza akawa na "ideology" tu kichwani na akafanya ugaidi.

By the way sisemi Mbowe ni gaidi, hapana. Kwa sasa hivi Mbowe is innocent until proven guilty.

Time will tell.
Mbona wanahaha sana kujaribu kutufundisha ujinga wao...?

The other problem is that, they talk too much....!

And if that is the case, basi wanapaswa kufanya hivi;

1. Waoneshe kisu hicho mahakamani kilichofanya ugaidi watu wakione..!!

2. Waoneshe hiyo IDEOLOGY ya ugaidi mahakamani iliyofanya ugaidi watu waione...!!

##Swali la msingi ni hili;

å Kwanini upande wa mashitaka wakiongozwa na polisi wanataka kuiweka mahakama under hostage kuzuia watu wenye interest na kesi hii wasiingie kuisikiliza...?

å Je, hawajui kuwa principles za utoaji haki zinaelekeza kuwa ni lazima haki ionekane machoni pa watu kuwa inatendeka?

å Kama unazuia watu kuingia mahakamani maana yake unazuia HAKI kuonekana inatendeka mbele ya macho ya watu..!
 
Kisheria hairuhusiwi kuingia na simu ikiwa imewashwa ndani ya chumba au eneo kesi inapoendeshwa; acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kisheria. Kuchambua ushahidi kwenye mitandao ni kuilekeza mahakama namna ya kufikia uamuzi kitu ambacho ni kosa
Unge quote na kifungu cha hiyo Sheria mkuu
 
Kisheria hairuhusiwi kuingia na simu ikiwa imewashwa ndani ya chumba au eneo kesi inapoendeshwa; acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kisheria. Kuchambua ushahidi kwenye mitandao ni kuilekeza mahakama namna ya kufikia uamuzi kitu ambacho ni kosa
Tumi akili
 
Kinachoendelea mahakamani leo kimeathiri kabisa atmosphere ya Nchi yetu kimataifa. Kwa mitumo ya kijasusi kutuliza upepo kama huu kinakwenda kutokea mabadiliko ya uongozi katika vyombo vyetu hili kumfanya mwenye nchi aonekane mwenye nguvu na kauli mbiu kwamba anakwamishwa isiendelee kusikika masikioni mwa wengi.

Hii kesi awali ilionekana ya kigaidi lakini ghafla imegeuka imekuwa yakisiasa na wapo watu kwenye mfumo wanaitumia vyema kukwamisha dira ya awamu ya sita. Haiwezekani intelligence isiyaone haya yanayotokea,iliyaona na inaona kesho ila imekaa kuruhusu yatokee ili iweze kujioverall na kuingiza damu mpya kwa kuondoa damu ya zamani.

Haya mapungufu yana maana kubwa Sana kwenye ufumuaji wa taasisi. Hakuna anayetaka kukwama , jiangalieni mtaenda kulima
 
Utatombwa wee msenge kama mnajimaini kweli na ushahidi mnao mkubwa kwanini mnaogopa?

Huwo si niusenege mwanaume kuogopa kupigana kama umpiganaji na ndiye ulianzisha vita kwanini unaogopa

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji39]
 
Dunia imeshaelewa nini kinaendelea , yaani yule sijui nangai sijui Kingai katia aibu sana, nilishasema humu jamvini watu waliopata minyota kwa kuroga akili hamna kichwani. Polishishiemu ni janga kubwa sana
 
Back
Top Bottom