Kesi ya Tundu Lissu yapata nafasi Al-Jazeera

Kwa mazingira ya sasa ya uchaguzi, hatoweza kushinda hata kama akishinda kweli.

Kwenye mazingira yaliyo ya haki, huru, na uwazi, Samia vs Lisu is a mismatch.

Chini ya mazingira haya niliyoyataja, ni Tundu in a landslide!

Lisu 91%.
Samia 6.4%.
Hili halina ubishi hata kidogo, Lissu is incomparable, kwenye mazingira free and fair Samia hamuwezi hata kidogo ndio maana unaona ngonjera na ujinga wa kiwango cha juu kabisa unaoendelea sasa.
 
Kuna Kundi kubwa la Wana CCM hawafurahishwi na Mama na ndio wana mfanyie Surbonination ili itokee Mkwamo, Miaka Mingi hatujawahi Kuona Chaos kama izi mahakamani leo iweje watu wapigwe kiasi kile?
Kuna advisors wake wanataka Mama Akawmwe
Hilo lipo wazi
 
Kwa mazingira ya sasa ya uchaguzi, hatoweza kushinda hata kama akishinda kweli.

Kwenye mazingira yaliyo ya haki, huru, na uwazi, Samia vs Lisu is a mismatch.

Chini ya mazingira haya niliyoyataja, ni Tundu in a landslide!

Lisu 91%.
Samia 6.4%.
Nakubali mzee wa USA BABY.
 
Ni correspondent wa Kenya, ndyo amepeleka story ili apate mkate
Na yeye asije kukamatwa kwa kosa la “kusambaza taarifa za kulichafua Taifa kimataifa”

Anything is possible these days kwa utawala huu wa sasa. Mishipa ya hekima na aibu imeshakatika
 
Amesema lada
Na wote tuseme Amen
Ameeen
 
Nyaningabu sasa tufanye jambo moja ni kudilli na mashirija na taasisi zibazo sapoti Tanzania, hasa hawa IMF wakipelekewa koto wa kutosha watatoka nje kujibu.
 
Tanzania ni taifa linalo endelea ilitakiwa iwe siri tusionyeshwe? hilo sia ajabu... maana hata sisi tunaona habari za wengine...
 
wabongo hamjielewi, mnatupotezea muda tu na kujaza server za max bure. Porojo zote za kuandamana trh 24 ziliishia wp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…