Kesi ya Tundu Lissu yapata nafasi Al-Jazeera

Hizi
Hizi ndiyo takwimu eti...daah Vipi Mzee wa MIGA anapata aslimia ngapi?
 
Huyu jamaa wakimuachia na kesi ikafutwa akawa na vigezo vya kugombea urais kiutani utani atashinda
Haaaaahaaaa. Hana radhi ya Mbowe, labda amuombe radhi Mbowe kwanza kwa kuratibu njama za kumg'oa kwa hila na fedheha.
 
Pia inafaa ushahidi wa hayo matukio ya jinai utumike kuwaburuza hao wahalifu kwenye mahakama ya ICC, The Hague
 
Mimi nadhani Rais anahujumiwa kiaina,na sidhani kama anafurahia haya yanayoendelea dhidi ya CHADEMA,bila shaka wasiomtaka zaidi ni hao hao CCM wenzake wakaamua kumtengenezea mazingira magumu asipenye mwaka huu.
Msimdekeze Rais,kua hajui kinachoendelea.Mi naamini anajua.
 
Malcolm Webb kituo Nairobi aliko maria sarungi, Webb anajua kuwa Maria ana ngwengwe!?.. ARV zimekua chachu siku hizi, shauri yake
Kwa hiyo unashauri watu wenye ngwengwe wafanywaje?
 
Hata ingepata nafasi ikulu ya white house hakuna kitakachobadilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…