Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu: Brenda amaliza kutoa ushahidi Mahakamani Septemba 9, 2026

Napata mashaka na hawa majaji
"Wingi wa ushahidi sio kufanikiwa"
 
View attachment 3666569
SHAHIDI ANAYEFUATA HACHEKI NA MTU YOYOTE
Huyo hacheki na mtu akiwa bavicha, bawacha na bazecha huko pamoja na vikao vya ndani...huku ni mahakamani hapahitaji kufoka wala cha nini..

Unajua kwa nini angalau ushahidi wa yule jamaa wa kidato cha sita na miaka mitatu chuoni ulionekana kuwa na impact nzuri angalau asilimia 25? Ni kwa sababu amesimama kizimbani mara nyingi sana..golugwa na brenda wamempga kitanzi mwenyekiti wao maana hawajui chochote

-mahakamani si sehemu ya harakati, utalazimishwa na mifumo na sheria zake, ule ni mhimili mwingine..pale hamna bavicha aanze kuwauliza kuwa sijui mnanielewa?
 
Ukiwaambia ukweli wanakutukana
 
Reactions: ---
all is rubbish, hakuna incriminating evidence ya kumuweka Lisu kwenye uhaini. Hakuna any ingredient hata moja ya uhaini. Ni mastory ya mitaani
 
Napata mashaka na hawa majaji
"Wingi wa ushahidi sio kufanikiwa"
I can smell something fishy. Tayari wana hukumu kutokana na maagizo. Ndo maana wanataka shauri liishe haraka basi. Miyoni mwao wanaona washtakiwa na washtaki wanapoteza muda tu.
Huyo jaji ndunguru inabidi tupate historia yake hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…