relax gentleman,dalili ya kukata pumzi ni " vibaraka wanaotumiwa na mabwenyenye ya maghariabi" hv nyie machawa hua mnaona wazungu wanatuonea sana wivu sisi kwa KIPI?
shenzi sana
Anawavua nguo jamaa,huna hoja ni kuwewesepa tuu!alistahili kukaa zaidi ya huo muda mchache sana gentleman ili uchunguzi ukamilike
Gentleman na wewe unaamini hukumu ya kitanzi itapitishwa juu ya huyu mtanganyika?in fact anaeleza vitu nonsense na ambavyo vingi having uhusiano wowote na anachotuhumiwa nacho.
anapoteza muda wa majaji kufanya shughuli zingine za maana zaidi 🐒
huyo jamaa anaemlaumu mbowe kuonekana kwenye uzinduzi wa bwawa la mwalimu nyerere badala ya yeye, right?Anawavua nguo jamaa,huna hoja ni kuwewesepa tuu!
Ukishakufa Wewe SI kitu, kwenye Biblia muhubiri 9:...Bora mbwa aliyehai kuliko Simba aliyekufa!Sina shida na mshtakiwa, lakini nahisi ingekuwa bora zaidi kutumia jina la hayati katika kujenga hoja nzito. Moja ya kitu ambacho nakishangaa na kinaweza kumpunguza sehemu ya wafuasi na public sympathy ni pale anapomtaja hayati kwa mzaha na kama kejeli hivi. Kwa upande wangu naona hicho kitu si kizuri sana kwa upande wake hata kama alimuumiza kweli.
sheria za nchi ziko wazi kabisa gentleman kwenye hilo,Gentleman na wewe unaamini hukumu ya kitanzi itapitishwa juu ya huyu mtanganyika?
Mbowe ni kama Wewe mchumia Tumbo street!huyo jamaa anaemlaumu mbowe kuonekana kwenye uzinduzi wa bwawa la mwalimu nyerere badala ya yeye, right?
Tulia dogo 😂😂Anaeleza historia yake mwenyewe
Tuulize sisi Wachonga
Mkondo wake ni kutoka nje!sheria za nchi ziko wazi kabisa gentleman kwenye hilo,
binafsi naamini Mungu pekee na si vinginevyo.
sheria zifuate mkondo wake na hivyo ndivyo haki inapaswa kutolewa kwa anaestahili
ok.Mbowe ni kama Wewe mchumia Tumbo street!
ni sawa ikiwa anastahili licha ya kutenda kosaMkondo wake ni kutoka nje!
Kwa hili mihemko ni lazimaHapa ndo unagundua kwamba sisi watz tunatumia sana mihemko hadi tunashindwa kuelewa vitu rahisi
Kosa unaliona Wewe,wakupepee!ni sawa ikiwa anastahili licha ya kutenda kosa
Wewe ungesema tete teteeBora tunafunguliwa macho kumbe ukiambiwa una kesi ya kujibu jitetee ndo inavyokuwa tulizoea kusema nina watoto sita wananitegemea🤔🤔
Mkuu,kazi yako imetukuka. Asante kwa update🙏ANAENDELEA TUNDU LISSU
SEHEMU YA 2.
Na kwa pamoja, Tume ya Afrika ilisema Serikali kwa pamoja ina wajibu wa kufuata na kuzingatia Mkataba wa Haki za Binadamu na Wananchi uliouridhia mwaka 1984.
Sasa, Waheshimiwa Majaji, nilitaka niongeze haya kwa sababu niliona ni muhimu katika masuala haya ya mimi ni nani na kwa nini kesi hii imeletwa.
Sasa leo nataka nizungumze kuhusu mchango wangu wa kupigania haki za binadamu nchini Tanzania.
Ushahidi wa leo utasema ni kwa nini nashitakiwa leo.
Nashitakiwa kwa sababu ya msimamo wangu.
Ni political prosecution kwa sababu ya msimamo wangu katika kupigania haki na utawala bora.
Siyo kwa sababu mimi ni mhaini, bali ni kwa sababu ya kazi niliyoifanya na ninayoendelea kuifanya.
Sasa, kwa kuanzia, Waheshimiwa Majaji, naomba niseme kwamba...
Nimetumia maisha yangu karibu yote ya utu uzima kupigania haki za watu.
Struggle for human rights and struggle for democracy.
Sikuanza juzi.
Sikuanza tarehe 3 Aprili mwaka jana.
Waheshimiwa Majaji, nilianza nikiwa sekondari.
Mwaka 1988 karibu nifukuzwe shule kwa sababu ya kutetea wanafunzi waliokuwa Form 4, na mimi nikiwa Form 6.
Na Majaji katika Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu, kuna Majaji niliosoma nao wanafahamu hili, ila sitowataja.
Niliponea chupu-chupu kufukuzwa shule; nilianzia huko.
Mwaka 1990 niliingia Jeshini. Tulikuwa tunaenda Jeshini, siku hizi sijui kama watu wanaenda Jeshini.
Tukiwa Jeshini mwaka 1990, mjadala wa vyama vingi ukaanza.
Waheshimiwa Majaji, majeshi yetu haya, Polisi, JWTZ na Usalama wa Taifa, wote hawa walikuwa CCM.
Na ninaamini bado ni CCM, bado hawajakomboka.
Wote hawa, ulikuwa huingii Jeshini kama huna kadi ya CCM.
Mjadala ulipoanza, ikawa hapana vyama vingi.
Na mimi nilikuwa serviceman, Kikosi namba 841, Itende, Mbeya.
Niligombana na Majenerali wale waliokuwa hawataki vyama vingi na wengine waliokuwa Polisi, akina Mahita.
Niliwaambia kuwa kauli ya Mwalimu Nyerere kwamba wanaopinga vyama vingi ni wajinga. Nyie Majenerali, hamjaisikia? Tena nikiwa serviceman.
Nikagombana nao sanaaaaaa.
Rais Ali Hassan Mwinyi alipoteua Tume ya Mfumo wa Chama Kimoja au Vyama Vingi vya Siasa nchini Tanzania. Inaitwa Tume ya Nyalali kwa sababu Jaji Mkuu Francis Nyalali alikuwa Mwenyekiti wake.
Mbona Wewe unamlaumu TAL,hupambani na Hali Yako!ok.
mwambie huyo mjamaa apambane na hali yake bila kulaumu wengine
Mungu akubariki sana ndugu Manyanza kwa mtiririko huu usiochosha.Manyanza Asante kwa kazi bora kbs kwa siku ya leo.🙏
I appreciate you brethren,Umeshow umaturity even to your young brother.Gentleman,
mimi sihitaji kuvutana na mdau yeyeote wa JF kwenye jambo lolote lile la kisiasa au vinginevyo. Members wote wa JF ni kaka, dada, mama, baba, mashangazi, wajomba, ndugu jamaa na marafiki zangu wa mama moja Tanzania.
Gentleman,
hakuna sababu hata moja baina yangu, wewe au mdau mwingine yeyote yule wa JF ya kuhasimiana au kuogopana kwasababu tu ya utofauti wa maoni, mirengo, dini au kabila. To me that's very nonsense.
tutofautiene kadiri inavyowezekana, but at the end tubaki kama ndugu na watoto wa mama Tanzania.
so my friend,
just relax and lets move forward together regardless our differences in opinion on the ongoing case.
i'm sorry for everything,
and plz forgive me gentleman wherever i have wronged or hurts you with my comments