Ok. Ngoja tuone strategy yake itaendaje. So far Mimi naona anafanya vizuri.Sio kujitetea kama shahidi, hilo lipo wazi Lissu ni shahidi no Moja. I mean angekua na wakili wa kumtetea (defense attorney) ili iwe rahisi kwake kujitetea. Case hii ni nzito Kuna wakati anapanic sana.
Mkuu umempiga spana ya kichwa huyo chawa lazima azimie kwanzaWewe sio mwanasheria bila shaka, huyo hapo sio Mshitakiwa, kwa sasa ni shahidi, anaeleza anavyomjua mshitakiwa ambaye ni yeye. 😊
Huo ni ushahidi, wewe huwezi kuuona sababu sio mtaalamu wa sheria.
Atafika huko mvumilieni aweke msingi wa ushahidi wake.
Kwenye hili nimekubali Lissu ana akili nyingi sana. Mimi nilidhani ataenda Moja kwa Moja kwenye maneno ya nitakinukisha.Kuna sababu nyingi zilizomfanya ajitetee mwenyewe;
1. Kuonesha umahiri wake kwenue sheria! Yeye ni mwanasheria na pia ni wakili msomi.
2. Kutuonesha wananchi na dunia kwa ujumla namna bora ya kupigania haki.
3. Kiwaonesha watesi wake namna alivyo jasiri na shupavu kwenye kupigania kile anachokiamini.
4. Kujiongezea umaarufu wa kisiasa kwa maandalizi ya safari yake ya kuufikia uongozi wa juu kabisa nchini (Urais).
Na kwenye hili, hakika amefanikiwa pamoja na mateso yote anayopitia
Huku mtaani kwa sasa habari ni Lissu tu! Lissu ni Shujaa! Lissu ni mpambanaji wa kweli!, Lissu ni mzalendo kwa nchi yake, Lissu ni mwanasiasa wa kweli, nk. Hakuna cha nani wala nani! Habari ya mjini ni Lissu tu.
Just a general knowledge lakini sijawahi kufanya case yeyote ya criminal.Kumbe wewe sio expert wa criminal law ? Basi mpe nafasi Lissu ajitetee kwanza.
Nilichogundua duniani tumezidiana akili na maarifa. Jamaa kichwani yuko vizuri. Hili halina ubishi. Kwa upande wangu natamani sana siku moja kuongozwa na watu wenye akili nyingi kichwani kama huyu mwamba! Badala ya vilaza ambao hata kujenga hoja tu hawawezi..Kwenye hili nimekubali Lissu ana akili nyingi sana. Mimi nilidhani ataenda Moja kwa Moja kwenye maneno ya nitakinukisha.
TUNDU LISSU ANAENDELEA KUJITETEA
SEHEMU YA 6
Baadaye, miezi minne upelelezi haujakamilika, Hakimu akaifutilia mbali.
Hiyo ilikuwa kesi ya kwanza wakati wa Kikwete.
Waheshimiwa Majaji, mwaka 2012 Polisi waliua watu wetu katika maandamano jijini Arusha.
Mimi na viongozi tukaenda kushinikiza haki itendeke. Mimi na viongozi wenzangu, Dkt. Slaa, Mustapha Akunaye, Mbunge wa Mbulu, na Said Arfi, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, tukakamatwa kwa kufanya mkusanyiko usio halali.
Hiyo kesi ikakaa na mashahidi hawakupelekwa, nayo kesi ikafutwa.
Mwaka 2013 palikuwa na chaguzi ndogo za madiwani maeneo mbalimbali, ikiwemo Arusha Mjini.
Mwenyekiti wa CHADEMA wakati huo, Freeman Mbowe, akaenda kufanya mkutano wa kampeni.
Watu wakashambuliwa kwa bomu la mkono na watu kadhaa wakauawa katika mkutano wa kampeni.
Tukarudi tena kuandamana kudai haki itendeke.
Tukakamatwa tena, mimi, Dkt. Slaa na wengineo.
Nilikuwa sijawahi kumuona Mwenyekiti wangu Mbowe akiwa na mbio kama siku hiyo. Yeye alichoropoka. 😂😂😂
Sisi tukashitakiwa kwa kusanyiko lisilo halali.
Polisi, kama kawaida yao, wakatupa mafaili, kesi ikafutwa.
Kwa hiyo, kesi za utawala wa Kikwete ni 3.
Akaingia Magufuli na Samia.
Waheshimiwa Majaji, mwaka 2015 kwenye uchaguzi Mkuu upande wa Zanzibar, Marehemu Sheikh Sharif Hamad alishinda Urais na matokeo yakafutwa na Jecha.
Wakasema patakuwa na uchaguzi wa marudio. Nikahojiwa na waandishi kuhusu uchaguzi wa marudio, nikasema kuwa wanataka kuleta maafa.
Nikakamatwa na kushitakiwa kwa uchochezi.
Hapa nitarudi nyuma kwa sababu ni muhimu kwa kesi hii.
Aliyenikamata wakati huo alikuwa Senior Superintendent of Police Ramadhani Kingai, leo ndiye...
Majaji: Hebu subiri kidogo.
Mahakama inakaa kimya kidogo, wanaandika.
Waheshimiwa Majaji, nimesema nilikamatwa na Senior Superintendent of Police akiwa Deputy ZCO wa Dar es Salaam.
Waliponikamata, Kingai na wenzake wakanipeleka Central Police, na kabla ya kunipeleka ofisini kwa ZCO, ambaye wakati huo alikuwa Camilius Wambura, ambaye leo ndiye IGP, walinipeleka kwa Wambura kwenda kunitisha kwamba, “Wewe Lissu unajifanya mjanja.”
Nik amwambia Wambura, “Tutakutana mahakamani.”
Kwa hiyo, kesi kwa mara ya kwanza walileta mashahidi, na mmoja ya mashahidi alikuwa Ramadhani Kingai.
Nilipomfanyia cross-examination, hawakuleta shahidi tena mpaka nilipopigwa risasi nikaondoka nchini.
Waheshimiwa Majaji, siku tatu baadaye, tarehe 29 Juni na tarehe 1 Julai, nikakamatwa nikiwa jimboni kwangu Ikungi.
Kwamba nilimuita Magufuli “Dikteta Uchwara.”
Nikakamatwa usiku kwa usiku, nikaletwa Dar es Salaam, na usiku ule nililazwa Chamwino. Pale kuna kituo cha Polisi kina mbu kama nini.
Nikaja kushitakiwa kwa uchochezi.
Around September, tena nikakamatwa nje ya Bunge katika vikao vya Bunge, nikasafirishwa kuletwa Dar es Salaam.
Mwaka umeisha, 2016, nimekamatwa mara 4 na Polisi wa Magufuli na kushtakiwa mahakamani, na mahakama yangu ni Kisutu.
Mwaka 2016 umeisha, nina kesi 4 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
NISAIDIE KUSHARE UJUMBE UFIKE MBALI
ok sawaAnatoa utetezi wake na Wala hata hajaaingia kwenye mambo ya msingi umeanza kelele. Nadhani nafsi inakusuta kumchukia mtu anayepambania watanganyika.
Chawa unayemsema ni Mimi? Wala sipo upande wa serikali hata kidogo. Niliona tu utetezi wake ungejikita kwenye kosa. Lakini wadau wamefafanua vizuri kwamba pale anaeleza mshtakiwa ni nani. Na I agree it make sense.Mkuu umempiga spana ya kichwa huyo chawa lazima azimie kwanza
Ok mkuuJust a general knowledge lakini sijawahi kufanya case yeyote ya criminal.
Wewe mkata viuno kwani Usha jua Nini majaji wanaenda kukiamua?ndio,
endelea kuifanya kazi yako ndugu mtuhumiwa, ili hatimae na majaji nao waendelea kufanya kazi yao ya kutoa haki bila kuwachelewesha kwa porojo ambazo hazikusaidii 🐒
Kweli kabisa. Kwenye kesi hii Lissu amejionesha uwezo wake wa akili ulivyo. Very smart.Nilichogundua duniani tumezidiana akili na maarifa. Jamaa kichwani yuko vizuri. Hili halina ubishi. Kwa upande wangu natamani sana siku moja kuongozwa na watu wenye akili nyingi kichwani kama huyu mwamba! Badala ya vilaza ambao hata kujenga hoja tu hawawezi..
kwa hizo porojo anazo mbwelambwela hapo ndio anawatetea wananchi au anajionyesha kwa mabwenyenye ya magharibi wanaomtumia kama kibaraka kwamba hajawasahau hata kama kanaswa kwenye 18 za alikokusudia kukinukisha?🐒Wewe nabii Tito, unaita kuteteta wananchi porojo?. Uliokuwepo 1998? 2002? Wakati Lissu anapigania haki za kimazongira?. Uwe na heshima hata kidogo.
Mmh napata shida kidogo. Hao waliolaani itamsaidia vipi? Na hiyo historia ya kupigania haki itasaidiaje kwenye shtaka lake.
Nilitamani ajikite kwenye elements za uhaini akidili na actus reus na mensrea na kwamba hajafanya chochote kati ya hayo.
Yaani Kuna saa unakaa unaumia serikali kuamua tu kumpa mtu case nzito bila hata aibu.
hakuna msingi hapo gentleman kwa huyo muungwana,Gentleman wewe ni mwanasheria? 😊
Sheria ni taaluma, hapo TL sio Mshitakiwa, yupo kwenye kizimba cha Ushahidi na hapo anajenga msingi wa ushahidi "preliminary evidence building" juu ya mshitakiwa ambaye ni yeye. Ni vizuri lujua yeye ni nani, jipeni subra msikilizeni, mnawahi wapi??😊
Nafikiri hivyo angekua na wakili. Case ni nzito na pia kuwa gerezani hayupo sawa sana. All in all ni chagui lake kujiwakilisha.Ongezea kushushuliwa na Jaji
Kuusu jana kumbe Ijumaah
Lissu Mbishi sana ile Kesi hangewaachia wanzie nayeye angekuwa anachomekea sehemu akiona mambo sio vile kataka!!
Daktari mbona kuna wakati nayeye anakaa foleni kumuona Daktari mwenzie 🫡🫡
Lissu Yeye ndio mwenye tuhuma tena yupo Lupango👈
Niwazi kiakili hawezi kuwa vizuri kama angekuwa yupo
nyumbani kwaamaana anatokea nyumbani 👈
So hangewaachia wenzie wampambanie👈
Lkn Jamaa m'bishi sana
lile kabila la Wanyiramba Wanaume wapo kama Wamasai ni Wabishi
kinoma ✍️