Nimeshaweka msimamo halafu kuna Mod ananifuata PM anachokiandika hata hakieleweki sijui wanajichukulia wapo ni waelevu sana au ?πUsipost π
Moderator humu sijui wanajiona vipi yaani π π
Nimefungua uzi wangu jamii intelligence wameutupia chit chat mpaka unajiuliza huyu Moderator amesoma akaelewa au ndio elimu mbali mbali mwenzangu na mimiπ€£π€£π€£
Daaaaah mambo ni mengi sanaNimeshaweka msimamo halafu kuna Mod ananifuata PM anachokiandika hata hakieleweki sijui wanajichukulia wapo ni waelevu sana au ?π
Kwa kifupi hawatuheshimu wateja wao sijui leo wamekula nini ?
Ile kauli mbiu ya Where we dare to talk openly imekanyagwa live leo π
Leo ni mbayaaa broNimeshaweka msimamo halafu kuna Mod ananifuata PM anachokiandika hata hakieleweki sijui wanajichukulia wapo ni waelevu sana au ?π
Kwa kifupi hawatuheshimu wateja wao sijui leo wamekula nini ?
Ile kauli mbiu ya Where we dare to talk openly imekanyagwa live leo π
Vipi Tena nililalaSababu ya haya yote ni Waufukweni huyu atakua mods, waufukweni na kuita mara 3 acha ujinga wako
Moderator mizinguo sana na wanaharibu kabisa hii brand, mtu anaanzisha uzi saa 2 hata Mahakama haijaanza anapewa kipaumbeleSababu ya haya yote ni Waufukweni huyu atakua mods, waufukweni na kuita mara 3 acha ujinga wako
MkuuNimeshaweka msimamo halafu kuna Mod ananifuata PM anachokiandika hata hakieleweki sijui wanajichukulia wapo ni waelevu sana au ?π
Kwa kifupi hawatuheshimu wateja wao sijui leo wamekula nini ?
Ile kauli mbiu ya Where we dare to talk openly imekanyagwa live leo π
Wanafanya makusudi.Moderator mizinguo sana na wanaharibu kabisa hii brand, mtu anaanzisha uzi saa 2 hata Mahakama haijaanza anapewa kipaumbele
Pengine ni watu wasiojulikana wanataka kupoteza hizi updates maana zinatupatia taarifa in rea time kutokea High Court.Wamezoea kutulisha matango pori kwa hiyo wanadhani tunafaidika sana.Sababu ya haya yote ni Waufukweni huyu atakua mods, waufukweni na kuita mara 3 acha ujinga wako
Kwanini msiende X? Hilda Newton mbona anaeleza vema kabisaUpdates zipo sema mods wanahujuma zao wanafanya.
Nje ya mada: Hivi huyu Katibu utumia mbinu gani kutotiwa nguvuni kama wenzake? Lengo, tukijua mbinu anazotumia, basi zitumike kuwalinda wenzake wasiwe wanakamatwa mara kwa mara.Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika
JF imepoteza mvutoMkuu
Tunasema MWANAUME msimamo yani bora leo tukose wajifunze ndio maana watu wengi walio kua wanatoa contents nzuri ni kama wameipuuzia JF wengi hawapo now days.
JF inaanza kuharibu ubora wake. Mwisho itakuwa ya hovyo kama ITVSikia mkuu,mimi nakubaliana na wewe kabisa Usiandike tena ifike kipindi watu wasidharau kazi za watu
Wamejenga mazoea akitokea mtu akawa challange akajua kutunza privacy akaboresha huduma hawatoamini.JF imepoteza mvuto
Ila hata usipoandika uwakomoi wao hivyo ndivyo wanayotaka wewe ungeweka tu engine puuziaNimeshaweka msimamo halafu kuna Mod ananifuata PM anachokiandika hata hakieleweki sijui wanajichukulia wapo ni waelevu sana au ?π
Kwa kifupi hawatuheshimu wateja wao sijui leo wamekula nini ?
Ile kauli mbiu ya Where we dare to talk openly imekanyagwa live leo π
Huyu Mimi huwa namwita mkata viuno Bora kabisa wa lumumba buku7fc Ana visebengo vingi Sana hajui Kama walikuwepo chawa zaidi yake wote wamekaa kimyaa kabaki yeye kuzisimamia I'd zote za lumumba apuuzweNakwambia ukweli. Huo msoto unaopata kwa Sasa ( maana nakufahamu personally) ukiunganisha na mikosi itakayokuja huna pa kuponea. Kuna chawa mwenzako ilimbidi aombe radhi JF na kuondoka. Chawa mwingine anaomba ushauri afya yake sio nzuri. Bado wewe unayejifanya umepinda.
Hizo reference kama wewe ni chawa kazi kusema kidumu chama cha mafisadi! huwezi kuzielewa hata robo, katuga mwenyewe aloaminiwa kuwabeba vipofu nae haelewi hapo zaidi ya kuleta ubishi tu. Mwenzenu anamafurushi ya vitabu akirudi gerezani anaendelea kula shule nyie mkitoka mnaenda kizimkazi kuulizia posho zenu! aya twendeni ngoma inogireeeeee!a) Kesi ya zamani sana Rex vs Mwanangomeni (mfalme) 1933Vol. 9 EACA 134 to 135 ukurasa.
b) Kesi ya Baada ya Uhuru Amin S/o Mrisho vs Republic 1971 HCD 41 at page 42 Nassoro Mzava acting CJ as he then was.
c) Issa Hassan Uki vs Republic CA No. 129 CAT at Mtwara 2018 at page 23.