Alikuwa anajua hana wafuatiliaji, lakini alitegemea kwa kufanya hivyo atapata wafuatiliaji. inshort alikuwa na wivu wa kisiasa, alitaka akubalike yeye tu. Kwa bahati mbaya mapenzi hayalazimishwi. Na kwa kuujua ukweli huo ndio maana akawa anapora chaguzi waziwazi ili ionekane ccm chini yake imekubalika na wananchi.Alijua yeye kuwa Mubaashara haizuii watu kuendelea na majukumu yao mana hakuwa na wafuatiliaji kiviiile
ok.Nonsense Nonsense
Hakuna haja ya kufanya hivyo wakati anaudhuria mahakamaniMkuu nenda pale WhatsApp kwenye ile channel ya TWAHA utapata mtiririko wote
Tarehe 27 Machi 2018, Mnyika pamoja na viongozi wengine wa CHADEMA akiwemo Freeman Mbowe, Vincent Mashinji, Salum Mwalimu, Peter Msigwa na Esther Matiko walifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Mashtaka yalihusisha mambo kama uchochezi (sedition), mkusanyiko usio halali na makosa yaliyohusishwa na maandamano ya Februari 2018. Baada ya kufikishwa mahakamani, baadhi yao akiwemo Mnyika walipelekwa Segerea rumande wakati taratibu za dhamana zikiendelea.Kwa maslahi ya wengi, ukiturushia hapa nyuzi hata tatu za huyu ndugu yetu kuwekwa lupango na kukaa siku kadhaa na kisha kutoka, utasaidia sana kuondoa hii sintofahamu.
Huyo ni mjinga na wamo wengi humu. Hawajitambui ujinga wa kilumumba umewajaa vichwani mwao.Mimi sio mshirikina na Wala siamini kwenye ushirikina ila ninachokuambia usimfanyie dhihaka mtu anayeonewa itakuridia pia. Ni ushauri tu. Wenzako mpaka wanaomba msamaha na kuondoka JF Ina maana wamejutia makosa yao. Wewe una ona Raha kumdhihaki Lissu kwa kupost hiyo picha, ukiulizwa Lissu alikukosena nini huna cha kujibu.
Mtu anayetupambania tupate Sheria Bora za uchaguzi wewe unamdhihaki Tena kwa personality yake sio hata kwa hoja. Usimcheke anayedhulimiwa nakusihi sana.
Asante sana Mkuu kwa taarifa hii muhimu. Sasa tuendelee na mjadala.The Citizen iliripoti kwamba Mnyika alikuwa miongoni mwa washtakiwa waliopatikana na hatia katika baadhi ya makosa na akaamriwa kulipa faini ya Sh milioni 30.
Asante sana Mkuu kwa taarifa hii muhimu. Sasa tuendelee na mjadala.
Yes, update ilikuwa inafanyika kwenye post ya kwanza kabisa ya uzi.Mnaolalamikia mods mnalalamika kitu gani? Mbona uzi una updates zote za kesi kuanzia mwanzo mpaka mwisho?. Ni mara ngapi mnaanzisha nyuzi na wengine za kwetu zinaunganishwa kwenu?. Haiwezekani kila mtu akawa na uzi wake kwenye jambo moja. Ukiona uzi wako umeunganishwa wewe changia tu kama wengine wanavyochangia kwenye uzi wako. Haiwezekani unasusa kuchangia uzi wa mwenz
Kuna kitu nataka kuhakikisha..!!Kwamba na wewe ni walewale😁 unataka uthibitishe kama ni staff mwenzako?
Mjomba hii wiki nitaikosa siti yangu ya mbele kutokana na majukumu mazito yanayonikabili.
Kaka shukrani sana nimefanikiwa.Mkuu nenda pale WhatsApp kwenye ile channel ya TWAHA utapata mtiririko wote
Manyanza ana kitu kinaitwa “Kupenda sifa na likes” hapo alitaka like nyingi na aonekane platinum msomi..!! 😹😹😹Mnaolalamikia mods mnalalamika kitu gani? Mbona uzi una updates zote za kesi kuanzia mwanzo mpaka mwisho?. Ni mara ngapi mnaanzisha nyuzi na wengine za kwetu zinaunganishwa kwenu?. Haiwezekani kila mtu akawa na uzi wake kwenye jambo moja. Ukiona uzi wako umeunganishwa wewe changia tu kama wengine wanavyochangia kwenye uzi wako. Haiwezekani unasusa kuchangia uzi wa mwenz