ataacha kuridhika maana ni mjinga kweli, kuna wakati anakubali kwa upole eti sawaHuyu Lissu utafikiri yeye ndiyo anamfanyia dodoso huyo Katuga! Mpaka anafikia hatua ya kumuita mjinga, na Katuga mwenyewe anaridhika.
Maswali mengi ni ya kipuuzi tu! Eti shuleni ulifundishwa multiple choice!! Jamaa anasema yeye alifundishwa critical thinking 😆
Lissu amekomaa naoUnawezaje kumnyonga mtu kupitia mashahidi ambao mahakama haijui majina yao ?. Watakuwa mashahidi wa mchongo hao.
This one.
Huyu Lissu utafikiri yeye ndiyo anamfanyia dodoso huyo Katuga! Mpaka anafikia hatua ya kumuita mjinga, na Katuga mwenyewe anaridhika.
Maswali mengi ni ya kipuuzi tu! Eti shuleni ulifundishwa multiple choice!! Jamaa anasema yeye alifundishwa critical thinking 😆
Unawezaje kumnyonga mtu kupitia mashahidi ambao mahakama haijui majina yao ?. Watakuwa mashahidi wa mchongo hao.
Hivi uhaini ndio huu ujinga.TUNDU LISSU ANAULIZWA MASWALI YA DODOSO MAHAKAMANI.
Nassoro Katuga: Kwamba kitu pekee kilichopo ni neno “Contradiction.”
Lissu: Nakumbuka.
Nassoro Katuga: Unakumbuka kumuuliza shahidi baadhi ya maswali katika maelezo ya D1 ya shahidi, kuhusiana na kuajiriwa mwaka 2009 na kwamba ameenda Zanzibar katika training, ukauliza kwamba kama maneno hayo yapo au hayapo?
Shahidi akajibu hayamo.
Lissu: Nakumbuka.
Nassoro Katuga: Je, kutokuwepo maneno hayo katika jibu lake ni contradiction au omission?
Lissu: Ni omission.
Nassoro Katuga: Kama unakumbuka kumuuliza kama alieleza alimalizia kozi yake Zanzibar na akawa awarded certificates, kama maelezo yake yapo au hayapo?
Lissu: Nakumbuka.
Nassoro Katuga: Je, hiyo ni contradiction au omission?
Lissu: Ni omission.
Nassoro Katuga: Iambie Mahakama umefanya contradiction gani?
Lissu: Katika maelezo yake anasema ni jinai, ila mbele anasema kwamba alimuona Ndugu Tundu akitenda uhaini.
Nassoro Katuga: Tumekuelewa. Kwako wewe unaona ni contradiction. Sawa, nyingine ni ipi uliyoionyesha?
Lissu: Itabidi nipitie rekodi ya Mahakama.
Nassoro Katuga: Lakini mpaka sasa hukumbuki?
Lissu: Ndiyo.
Nassoro Katuga: Nitakuwa sawa kuwa hujaonyesha contradiction zaidi ya omission?
Lissu: Nimeonyesha contradiction.
Nassoro Katuga: Ni majibu yako kuwa vielelezo vyote umeingiza kwa kifungu cha 163?
Lissu: Ndiyo.
Nassoro Katuga: Tunatambua maelezo ya D2 ya John Kaaya, Assistant Inspector?
Lissu: Ndiyo.
Nassoro Katuga anarudi kwa wenzake kuteta kidogo. Wanabadilishana makaratasi.
Nassoro Katuga: Unakumbuka, in relation to D2, wakati ukimuhoji ulimuuliza kwamba maneno kwamba yeye ni mtaalamu wa picha ametangazwa na GN Na. 745 ya 2022, kama yapo katika maelezo yake Polisi?
Unakumbuka?
Lissu: Nakumbuka.
Nassoro Katuga: Ulilenga kufanya nini wakati unamuuliza swali?
Lissu: Kum-contradict.
Nassoro Katuga: Unakumbuka jibu lake ni lipi?
Lissu: Alisema hayapo.
Nassoro Katuga: Hilo jibu la “hayapo” ni contradiction au omission?
Lissu: Ni contradiction, Waheshimiwa Majaji.
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
Na kubwa kuliko hata wale mashahidi wa kificho Lissu anataka watoswe.Kwanza nimenote kitu, kuna baadhi ya evidence zilizoletwa mahakamani km ushahidi, zimekataliwa kuwa ni taka taka tu. Sasa atafungwa vipi kwa kosa la kubumba km hili.
Kwenye ushahidi wa video Katuga anahangaika tu.Na kubwa kuliko hata wale mashahidi wa kificho Lissu anataka watoswe.
Hapo Katuga anapambana ule ushahidi wa video uaminike😄😃😀
Hapo ndipo neno "siasa" linaingiaKwanza nimenote kitu, kuna baadhi ya evidence zilizoletwa mahakamani km ushahidi, zimekataliwa kuwa ni taka taka tu. Sasa atafungwa vipi kwa kosa la kubumba km hili.
Yaani bila hiyo video kesi kwisha... Halafu ni maamuzi ya mahakama kuwa hiyo video ni ushahidi usioaminika.Kwenye ushahidi wa video Katuga anahangaika tu.
Katuga taangu mwaka 2007 yupo mahakamani anashughulika na Kesi anajua ujela jela wa kila aina so hayo ni matusi ya kawaida sana kwake. Acha Uwakili wa kina Tundu Lissu huyo Katuga Ame practice kweli kweli kuanzia Kisutu pale mpaka mahakama ya Rufaa. Sidhani katika carrer yake Tundu Lissu amewahi kuwakilisha hata Kesi 5 za jinai kwa mwaka!Huyu Lissu utafikiri yeye ndiyo anamfanyia dodoso huyo Katuga! Mpaka anafikia hatua ya kumuita mjinga, na Katuga mwenyewe anaridhika.
Maswali mengi ni ya kipuuzi tu! Eti shuleni ulifundishwa multiple choice!! Jamaa anasema yeye alifundishwa critical thinking 😆