Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuendelea na maswali ya dodoso Mahakamani Agosti 27, 2026

Mbona hii kesi sasa hivi hata haieleweki ni kama vile Kila mtu anajaribu kumpotezea mwenzake muda,,,Yani maswali ni yale yale Yani kama wanazunguka tu alafu wanaishia pale pale πŸ˜€πŸ˜€au hii posho ya Leo ya kumsifia Vaisiprezidenti mpya kule insta imeanza kunilewesha
 
Hapo Katuga & co wapo bize kuokoa ushahidi wao kabla ya siku ya "submission" maana mpaka Leo wao 0 Lissu 3.
 
Ivi kuna idadi kamili ya hayo maswali ya dodoso au hadi siku mbili ziishe?
 
Katuga amebanwa kwa hivyo Hana jinsi. Anahangaika kurudia makosa. Mpaka anamwambia Lissu unaipa mahakama kazi ngumu.
 
Sasa huko mahakamani alikuwa anafanya kazi gani kama uwezo wake ndo huu?. Usikute Kuna watu walifungwa kabisa kwa uwezo wa namna hii ?.
 
 

Attachments

  • IMG-20260827-WA0022.jpg
    86.8 KB · Views: 12
Hoja ya tafsiri ya maneno kuwa zaidi ya moja ni sahihi, mfano JK Nyerere alishawai kusema "dhumuni la kupigania uhuru ni kuzalisha vijana waasi dhidi ya ukandamizaji" sentensi hii unaweza kuitafasiri kama maana mbaya au nzuri kwasababu neno lilombele yake lina maana zaidi ya moja "ukandamizaji" inaweza kuwa kukandamiza kitu ardhini ukutani au popote lakini pia inaweza kuwa kuonewa sasa hapa kwenye kuonewa napo kuna tafsiri mbili unaweza kuonewa na mtu anaeonekana mwema lakini umeonewa au na mfu anaeonekana mbaya lakini vyote ni uonevu.

Ukiangalia kwa kina sentensi ya JK Nyerere unaweza kusema aliunga mkono uwasi, and at the same time unaona kana kwamba ni neno zuri.

Hapa wamefeail kumpa kesi ya uhaini kesi ingekuwa uchochezi basi kungekuwa na mvutano wa uchochezi mzuri na mbaya hapo ndo wange win...
 
Hata mimi sielewi, nilitegemea UHAINI hapo kuna wanajeshi kadhaa wameshtakiwa, Silaha zimekamatwa na mambo ya dizaini hiyo. Kuna njama zinathibitishwa zilipangwa.

Sasa wanabishana tu mara video mara maneno, sijui utazuia uchaguzi. Sasa kuna serekali inapinduliwa kwa sentensi mbili duniani?

Kama Taifa tuna safari ndefu sana.
 
Sasa mtu hajateuliwa halafu anajifanya ni mtaalamu wa picha mjongeo wakati yeye ni wa picha mnato, inakuwaje ni "omission" na siyo "Contradiction"?

Yaa Katuga anaona anaweza kumtega Lissu kiboya namna hiyo?
Exactly, anajaribu kumpa mfano wenye contradiction ndani yake kisha akimrudisha kwenye vielelezo vya D1 na D2 anataka hapite mule mule we umeona wapi mpishi anathibitisha upishi wake (mpishi bora) kwa kushika mwiko mkononi....? Kama sio mtaalamu sio mtaalamu tu toa ushibitisho katuga kama kweli ni mtaalamu wa hizo mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…