Wamejichanganya upande wa Jamhuri.Hawa nao ni useless kabisa!!
Waliohusika na maandamano waliwakamata then wakawaachia huru,kina Niffer sijui na wengineo!
Huyu mwingine anaulizwa ya Oct 29Jamaa wamekata moto...Katuga kapiga mbio weeeeh mwisho hakuna uhaini umeonyeshwa, mambo haya buana, hofu tu ya watawala🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Umekimbia KatugaNdyo maana jana nikasema kuwa namsubiri kwa hamu sana mrema
ndio hao walipaswa kuulizwa kama wasingeachiwa huru......sijaona sehemu Lissu alisema atapindua Nchi au kuondoa serikali iliyopo kwa njia tofauti na uchaguzi..Akina Niffer wapo mtaani.
aisee,, kama mimi ninae soma napata hasira na huzuni je hao waliopo humo au muhusika mkuu anajiskiaje?TUNDU LISSU ANAULIZWA MASWALI YA DODOSO MAHAKAMANI
Lissu: “Nakubali sehemu moja tu, sheria hairuhusu kuchukua hatua mkononi kwa kuharibu mali. Kuhusiana na uchaguzi usio wa haki, ni haki ya wananchi kuuzuia.”
Job Mrema: “Hivi ukiwa mwanaharakati unakinga ya kutokufuata sheria?”
Lissu: “Ukiwa mwanaharakati huna kinga ya kutofuata sheria.”
Job Mrema: “Vivyo hivyo ukiwa mwanasiasa?”
Lissu: “Huna kinga ya kutofuata sheria.”
Job Mrema: “Wakati unajitetea ulieleza kesi hii ya kisiasa. Je, umeshitakiwa kama Tundu Antipas Lissu au mwanasiasa?”
Lissu: “Nimeshitakiwa kama Tundu Antipas Lissu, mwanasiasa. Nisingekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA...”
Job Mrema: “Kwa mujibu wa hati ya mashitaka, kuna sehemu yoyote umeshitakiwa kama mwanasiasa?”
Lissu: “Hati ya mashitaka haisemi hivyo, lakini mashahidi wote ni Mwenyekiti wa CHADEMA, mkutano wa CHADEMA, na wakati wa preliminary hearing wamesema ni Mwenyekiti wa CHADEMA.”
Job Mrema: “Ndugu Shahidi, kama nilikusikia vizuri wakati unaanza kutoa ushahidi wako, ulieleza Mahakama hii kuwa umewahi kushitakiwa tofauti. Sasa utakubaliana na mimi kwamba hujaeleza umeshitakiwa kwa kesi gani, kesi namba ngapi?”
Lissu: “Sikubaliani na wewe. Nilisema kesi gani na mahali ni Kisutu, kasoro kesi namba.”
Job Mrema: “Wakati unatoa utetezi wako, kama nimekusikia vizuri, ulieleza Mahakama hii huwezi kuwa Rais wa TLS kama ni mtu wa ovyo ovyo. Sasa wakati unashitakiwa kwa mara ya kwanza ulikuwa Rais wa TLS?”
Lissu: “Nilishajibu kwamba nilishatoka tangu 2017. Nilitumikia miezi mitano, nikapigwa risasi.”
Job Mrema: “Baada ya kutoka Urais wa TLS ndiyo ukawa mtu ovyo?”
Lissu: “Sijawahi kuwa mtu wa ovyo kwa sababu nimetambuliwa ndani ya nchi na kuheshimika na jumuiya za kimataifa.”
Job Mrema: “Baada ya Mahakama kukukuta na kesi ya kujibu, umeanza kuwa wa ovyo ovyo?”
Lissu: “Mimi siyo mtu wa ovyo ovyo. Ndiyo maana jumuiya za kitaifa zinanitambua na kunipa heshima kila siku. Mahakama ni kwamba imesema inataka kunisikia tu.”
Job Mrema: “Turudi kuhusu kupigwa risasi. Ulishawahi kulalamika Polisi?”
Lissu: “Nikalalamike nimepigwa risasi nikiwa Mbunge, mchana kweupe, katika kazi ya viongozi, ikiwemo Spika? Unataka kusema hawajui?”
Job Mrema: “Mbona unakuwa mkali?”
Lissu: “Kwa sababu unanigusa jambo ambalo nina maumivu makali ya kupigwa risasi 16.”
Job Mrema: “Naomba usome kifungu cha 10 cha sheria na subsection 2.”
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI
Kesi ya uhaini ila huyu anamuiliza maswali kupigwa risasi. Wamekosea maswali?TUNDU LISSU ANAULIZWA MASWALI YA DODOSO MAHAKAMANI

Ndio maana Lissu aliwaambia kuhusu wale mashahidi wa kificho kuwa walikuwa wahalifu mnawaacha kuja kutoa ushahidi.ndio hao walipaswa kuulizwa kama wasingeachiwa huru......sijaona sehemu Lissu alisema atapindua Nchi au kuondoa serikali iliyopo kwa njia tofauti na uchaguzi..
Aiseeh! Mara wewe ni mtu wa hovyo. Anaanza kumprovoke Lissu kuhusu kupigwa risasi. Jamaa ana dharau sanambona jamaa anataka kufufua mengine upya tena dah anataka ku prove nini apo?
Maswali ya dharau.aisee,, kama mimi ninae soma napata hasira na huzuni je hao waliopo humo au muhusika mkuu anajiskiaje?
unaweza kutamani kumnasa mtu mabanziMaswali ya dharau.
kisheria huwa ina ruhusiwa ili ku mdivert mtu na kupima msimamo wa anachosema ila kwenye ilo lililo mkuta sijui ngoja tuone kitakacho zaliwa mbeleni man jamaa huwa anajua kuyajengea hoja mambo serious sanaAiseeh! Mara wewe ni mtu wa hovyo. Anaanza kumprovoke Lissu kuhusu kupigwa risasi. Jamaa ana dharau sana
Huyu Mrema anamaliza nafasi na muda, hana kazi hapo akapumzike...TUNDU LISSU ANAULIZWA MASWALI YA DODOSO MAHAKAMANI
Lissu: “Nakubali sehemu moja tu, sheria hairuhusu kuchukua hatua mkononi kwa kuharibu mali. Kuhusiana na uchaguzi usio wa haki, ni haki ya wananchi kuuzuia.”
Job Mrema: “Hivi ukiwa mwanaharakati unakinga ya kutokufuata sheria?”
Lissu: “Ukiwa mwanaharakati huna kinga ya kutofuata sheria.”
Job Mrema: “Vivyo hivyo ukiwa mwanasiasa?”
Lissu: “Huna kinga ya kutofuata sheria.”
Job Mrema: “Wakati unajitetea ulieleza kesi hii ya kisiasa. Je, umeshitakiwa kama Tundu Antipas Lissu au mwanasiasa?”
Lissu: “Nimeshitakiwa kama Tundu Antipas Lissu, mwanasiasa. Nisingekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA...”
Job Mrema: “Kwa mujibu wa hati ya mashitaka, kuna sehemu yoyote umeshitakiwa kama mwanasiasa?”
Lissu: “Hati ya mashitaka haisemi hivyo, lakini mashahidi wote ni Mwenyekiti wa CHADEMA, mkutano wa CHADEMA, na wakati wa preliminary hearing wamesema ni Mwenyekiti wa CHADEMA.”
Job Mrema: “Ndugu Shahidi, kama nilikusikia vizuri wakati unaanza kutoa ushahidi wako, ulieleza Mahakama hii kuwa umewahi kushitakiwa tofauti. Sasa utakubaliana na mimi kwamba hujaeleza umeshitakiwa kwa kesi gani, kesi namba ngapi?”
Lissu: “Sikubaliani na wewe. Nilisema kesi gani na mahali ni Kisutu, kasoro kesi namba.”
Job Mrema: “Wakati unatoa utetezi wako, kama nimekusikia vizuri, ulieleza Mahakama hii huwezi kuwa Rais wa TLS kama ni mtu wa ovyo ovyo. Sasa wakati unashitakiwa kwa mara ya kwanza ulikuwa Rais wa TLS?”
Lissu: “Nilishajibu kwamba nilishatoka tangu 2017. Nilitumikia miezi mitano, nikapigwa risasi.”
Job Mrema: “Baada ya kutoka Urais wa TLS ndiyo ukawa mtu ovyo?”
Lissu: “Sijawahi kuwa mtu wa ovyo kwa sababu nimetambuliwa ndani ya nchi na kuheshimika na jumuiya za kimataifa.”
Job Mrema: “Baada ya Mahakama kukukuta na kesi ya kujibu, umeanza kuwa wa ovyo ovyo?”
Lissu: “Mimi siyo mtu wa ovyo ovyo. Ndiyo maana jumuiya za kitaifa zinanitambua na kunipa heshima kila siku. Mahakama ni kwamba imesema inataka kunisikia tu.”
Job Mrema: “Turudi kuhusu kupigwa risasi. Ulishawahi kulalamika Polisi?”
Lissu: “Nikalalamike nimepigwa risasi nikiwa Mbunge, mchana kweupe, katika kazi ya viongozi, ikiwemo Spika? Unataka kusema hawajui?”
Job Mrema: “Mbona unakuwa mkali?”
Lissu: “Kwa sababu unanigusa jambo ambalo nina maumivu makali ya kupigwa risasi 16.”
Job Mrema: “Naomba usome kifungu cha 10 cha sheria na subsection 2.”
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI
Mm mwnywe hapa nimepata hasira je TAL af anamuuliza kwann anapata hasiraKesi ya uhaini ila huyu anamuiliza maswali kupigwa risasi. Wamekosea maswali?
Sema wanauliza kijanja majaji wanashindwa kuingilia.sa kama mahakama imekataa mbona ndugu majaji wamemute tu hawawazuii hao mawakili