We kichwa nazi uhaini unatangazwa kwenye mikutano ya hadhara?
Kwani Nduguru kafanyaje? Wengine hatujuiLeo Jaji ndunguru na mawakili was serikali wako hor hae kuhakikisha wanashinda na bado lissu anawapelekea π₯π₯π₯π₯ tuu
Mmatengo mpumbavu na mjinga huyu ndunguru. Mxxxxiiiiieeeew
Yes yakiwepo hawachomokiKama hakuna maelekezo
Na ni chanzo cha mo29Hii ya CCM ya kusema mabadiliko ni mpaka baada ya uchafu WA 2025 ni uhaini na kutaka kupata madaraka Kwa njia haramu
Ni nani aliyempiga Risasi?Sasa ndugu yangu Econonist
Lissu ndio chanzo baada kutangaza kukinukisha kuzuiya Uchaguzi nk.
Nayeye ni mwenyekiti wa Chama cha Siasa cha Upinzani tena ni Maarufu sana ndani ya nchi na kimataifa
Wafuasi wake wakatenda kile kawatuma kufanyaβοΈ
Ktk utekelezaji wake kile Mwenyekiti kawaagiza baadhi yao Wakafa kama sisimizi
JAMHURI imeshajua chanzo ni yule mwenye kutembea na risasi nikama Nyati Kajeruhiwa kwasasa hatari kwa usalama wa Wananchi wote!!
Oooh, kumbe watu wa Mbinga ni wamatengo nikajua wale ni wangoni piaWamatengo ni kabila Huko Mbinga _Songea(Ruvuma).
Na kwa mujibu wa Mama alisema "waandamaji wametoka nje ya nchi" ndugu CCM walikosea upangaji wa script kabla awajamkamata Tundu LissuHata huo uchochezi wenyewe hauna mashiko. Lissu alikamatwa April 9, 2025. Vurugu za uchaguzi zilitokea Oktoba 29, 2025!! Kwenye hizo vurugu siyo Lissu au viongozi wa CHADEMA waliohusika kuziandaa.
Isitoshe kauli zake alizitoa katika mazingira ya kisiasa (kwenye mkutano) na siyo sehemu ya kificho akiwa na kundi la maafisa wa jeshi, nk.
NB: Mimi ni Bushlawyer tu niliyenufaika kidogo na hizi kesi kupitia committal zake mbalimbali.
Wamatengo_Mbinga,Wangoni_Peramiho,Madba nk,Wandendeule_Namtumbo.Oooh, kumbe watu wa Mbinga ni wamatengo nikajua wale ni wangoni pia
peleka upuuzi mbali. Hao waandisho wa habari ni wanachama wa cdm, kila jambo linawahusu? Huko kwenye mikutano ya ccm waandishi wa habari huwa wanakaa hadi mwisho. Juzi kwenye kikao cha ccm kumfukuza Nchimbi waandishi wa habari walikaa ndani kwenye kile kikao? Hao Jamuhuri watamfunga sio kwa kumkuta na makosa, bali kwa ulevi wa madaraka.Nawewe Umeshiba Migebuka mchana huu!!!
Nani kasema Lissu katangaza hadharani Uhaini
Unajua kwanini walifukuza
watu wa Media
Kisha wakabaki wenyewe
Uyu mh Lissu mwanzo kadhani ni mchezo wa kisiasa kumbe kuusu Kesi yake.
Lkn wenzie wamemshtua Jamhuri itakufunga Maisha weka
Akili sawa. βοΈ
Ni me au ke?Huyu Wakili wa Serikali anayeitwa AJUAYE , Yaani hajui kitu ni mjuaji na kila akishiboka alikuwq anakula za uso. πππ
Kama ni ngumi umepigwa ya macho, huwezi tena kuona vizuri π€£jamaa anawatengenezea ugumu kwenye cross examination mpaka inaogopesha maana namna ya maswali na majibu yote yanajisheleza bila kuachia mianya dahπ€£π€£
Lissu mjanja anamlinda shahidi wake na kunyonga upande wa pili, mpaka hapa amefaulu na shahidi ametulia, hana wenge.Leo tarehe 28 Agosti 2026 jaji Dunstan Nduguru wa Mahakama Kuu amekuwa active sana kuokoa jahazi la kina Nassoro Katuga, Ajuaye Nzegeli, Job Mrema, Thawabu Issa n.k
Kwa hiyo Jaji wa Uganda na Namibia wanapo pakuanzia na kumalizia.Hii ya CCM ya kusema mabadiliko ni mpaka baada ya uchafu WA 2025 ni uhaini na kutaka kupata madaraka Kwa njia haramu
Ishu ni kuelewa na kuiweka elimu yako katika vitendo, wengi wamesoma ila hawawezi kujenga hoja kama hizi.Mkuu,
Binafsi nikiwa kama kijana nimegundua taifa hili vijana tusome na tusikariri wengi wetu Hatuna uwezo binafsi.
Blessing Mkuu, unafanya kitu kikubwa sana kutuhabarisha yanayoendelea.View attachment 3658969
Tukutane tena jumatatu panapo majaaliwa π
Asante sana mkuu πππView attachment 3658969
Tukutane tena jumatatu panapo majaaliwa π
ChatGPTImagine mtu anatokea magereza anakuwa hivi, angekuwa anatokea mtaani kwake au ofisini akapitia vyanzo nje ndani mpaka ChatGPT, ingekuwaje?
Hivi hawa ndio mawakili nondo huko serikalini au vipi? Maana naona kama vishokaLeo tarehe 28 Agosti 2026 jaji Dunstan Nduguru wa Mahakama Kuu amekuwa active sana kuokoa jahazi la kina Nassoro Katuga, Ajuaye Nzegeli, Job Mrema, Thawabu Issa n.k