Kesi ya Uhaini ya Lissu: Heche kuendelea kutoa ushahidi Mahakamani Sept. 11. 2026

Hizi mbuzi hata mimi nilishaziweka kitambo sana kwenye ignore list. Kujibizana nazo ni kuziongezea tu ujiko.

We Babu nawewe unaungana na Wajukuu zako 🤠🤠 kwa umri wake kuchagua chama cha 🫎🫎🫎🫎
Nakujua unazuga tu wajukuu zako😂😂
 
Lkn uyu Lissu kwanini hataki kutwachia Heche
Kanagowe nayeye au

JAJI yupo kimyaa ❗️

Mbona kama Mh Lissu kapatwa na wasiwasi
Lengo lake
Kutupa J3 tutampeleka mbio nasisi mpaka Alhamisi✍️
 
Chanzo cha Tatizo kufikia mauaji ni Mtu na Shemeji yake clip mmepewa mmeona ❗️
Chanzo cha MOTO wa MO29 💥💥💥

Bado mnasema kaonewa🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎
 
Heche anapiga porojo tu. Hajagusia hata sehemu ya Kesi

TATHIMINI YA KWELI YA KISAYANSI

🔴 Kunyongwa mpaka Kufa: 94%
🟢 Kuachiwa Huru: 6%
 
Taarifa za kiintelejensia alizotupa Rais ni kuwa watu siku ya uchaguzi wataandamana kwenda kupiga kura! Kwahiyo mambo ni shwari!
Sasa hii issue imekuwaje tena Lissu kuhusishwa na kilichotokea wakati alikuwa gerezani?

Sababu iyo👇
kama kichwani kupo sawa au kupo kama uyo 🫎🫎🫎👈
 

Attachments

  • Yeriko.png
    1.8 MB · Views: 8
  • 6381504-457b5131fdfe1ba30241f5952f4311e0.mp4
    1.5 MB
Kwani mtu akikwambia tunataka Katiba itakayompunguziarais madaraka au Katiba itakayomuondolea rais kinga, au katiba itakayotanua wigo wa uwajibikaji ni lazima akutajie kifungu? Mbona mnakuwa na mambo na maswali ya Kishenzishenzi ninyi watu?
 
Kwani mtu skikwambia tunataka Katiba itakayompunguzoa rais madaraka au Katiba itakayomuondolea rais kunga, au katiba itakayotanua wigo wa uwajibikaji ni lazima akutajie kifungu? Mbona mnakuwa na mambo na maswali ya Kishenzishenzi ninyi watu?
Umeulizwa kutaja kifungu. Taja kifungu ili nasi tupate elimu.
 
Du! Hii babu kubwa, yaani East African community haikuona mauaji yaliyotokea badala yake waliona uchaguzi huru na wa hali. Wonders shall never end in east Africa
 
Mahakama si ya ccm ni chombo cha umma, watu ndo wa ccm. Kuna wakati haki hushinda hila, kama huamini uliza kwa nini bi mkubwa analia wahisani wamepungua pesa hazitoshelezi.
Ukisikia Mahakama kwako unajua ni nini?
A. Watu
B. Majengo
C. Vitabu
D. Mavazi
E. Bendera

Hebu tuambie mahakamani ni kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…