Duuuh mashahidi wa Katuga sio Credible,wote upande wa utetezi walionesha ni kwa namna gani wanatumika!Wahalifu waliokiri kupanga kufanya uhalifu ndio hao hao wanasamehewa uhalifu wao ili waje kuwa mashahidi kwenye kesi ya Lissu!Naitafuta logic yake hapa sijaiona zaidi ya kutaka kusherehesha audience kitu ambacho Kingai amemnyima.
Hapa pia ndipo ninapoona weledi wa KATUGA Katika kupanga aina ya mashahidi licha ya kuwa na uwezo wa kuwa na mashahidi wengi....
Inawezekana hiyo logic atakuwa nayo mwenyewe akilini mwake.Naitafuta logic yake hapa sijaiona zaidi ya kutaka kusherehesha audience kitu ambacho Kingai amemnyima.
Hapa pia ndipo ninapoona weledi wa KATUGA Katika kupanga aina ya mashahidi licha ya kuwa na uwezo wa kuwa na mashahidi wengi....
UMEONGEA KITU KIKUBWA SANA NDUGU..SEMA BASI TUAnaenda
Kukaangwa Mshitakiwa na Shahidi wake🫎‼️
Mh Lissu anapenda Sifa sifa wkt yeye yupo Lupango❗️
akikaangwa niyeye ndiyo ataenda mazima uko Lupango❗️
Wale yeye kaamua kuwachekesha wanaenda makwao kusimulia upumbavu wa Mshtakiwa 🫎🫎
muda ndio Mwalimu✍️
Ndio nipo apa nyumbu mkuu.Wachaaa wee nyumbu wa ufipa!
Kweli we ni giriti thinkaa wa jei efu
Akili ya ccmUMEONGEA KITU KIKUBWA SANA NDUGU..SEMA BASI TU
Na wa jamhuri si walikuwa 30 na ushee!Kwani wale Mashahidi wa Kenya na Uganda wamemkataa pia
Kama hayo maneno ya "kushangilia" kama yalivyosemwa na Ramadhani Kingai yatakuwemo kwenye rekodi; maana yake ni kwamba yatathibitisha yale aliyosema mshtakiwa mwanzo wa kujitetea kwake; kwamba Kingai na Wambura wamekuwa mahasimu wake wa siku nyingi; na kwa maana hiyo, kesi hii ni mwendelezo uleule wa hawa watu kutaka kummaliza Tundu Lissu.Hiki ndicho alichokuwa anakitaka kutoka kwa hao watu. Cha kushangaza CHAWA wasio na akili wanashangilia. Bila shaka hawajui malengo ya Lissu yalikuwa ni kutaka hawa viongozi wakuu wa vyombo vya dola waweke msimamo wao wazi ya kuwa wanafurahia/wanashangilia kuona Lissu anaumizwa/anahukumiwa hata kama hana hatia. Maana yake walishiriki kwenye hii kesi kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
Hakika inamhitaji mtu kuwa na akili ya ziada kuugundua huu mtego. Kazi ipo kwa Majaji wa ccm kuamua kusuka au kunyoa.
Na wa jamhuri si walikuwa 30 na ushee!
Ulikuwa unafuatilia kesi?Ok. So you mean wale Wanaharakati hawakuja kutoa ushahidi.
Sawa
Na hapa ndipo kwenye pointi ya mtazamo wangu.Kama hayo maneno ya "kushangilia" kama yalivyosemwa na Ramadhani Kingai yatakuwemo kwenye rekodi; maana yake ni kwamba yatathibitisha yale aliyosema mshtakiwa mwanzo wa kujitetea kwake; kwamba Kingai na Wambura wamekuwa mahasimu wake wa siku nyingi; na kwa maana hiyo, kesi hii ni mwendelezo uleule wa hawa watu kutaka kummaliza Tundu Lissu.
Walikuwepo kwenye orodha ya mashahidi aliowataja baada ya kuambiwa ana kesi ya kujibu?Hakuna mtego wowote.
Hivi Lissu si alisema ana mashahidi wale wanaharakati wa Kenya na Uganda, vp tena!?
Nani kawaambia RPC wa singida kafariki? JF imekuja kuwaje siku hiziKingai leo anaweza kusepa kwa kisingizio cha kifo cha RPC wa Singida.
Hapana. That's why nauliza.Ulikuwa unafuatilia kesi?
Hapo nili mess up kidg that's why naulizaWalikuwepo kwenye orodha ya mashahidi aliowataja baada ya kuambiwa ana kesi ya kujibu?
Hao mashahidi wa kutoka Kenya na Uganda aliwataja mwanzoni. Ila kwenye huu ushahidi wa mwisho baada ya kukutwa na kesi ya kujibu, hakuwataja.Hapo nili mess up kidg that's why nauliza
Look!Hao mashahidi wa kutoka Kenya na Uganda aliwataja mwanzoni. Ila kwenye huu ushahidi wa mwisho baada ya kukutwa na kesi ya kujibu, hakuwataja.
Wewe ndio zerobrain kabisa. Lissu hakutaka Kingai amtete kama wewe unavyojaribu kufikiri.Yaani serikali imtetee muhaini?hiki kichekesho umewahi kukisikia wapi??
Hiyo taarifa imeingia kwenye rekodi ya mahskama, na mawakili wa serikali walivyo maboya, wameshindwa kuufanyia cross examination, maana yake taarifa imerokdiwa unchallengedHiki ndicho alichokuwa anakitaka kutoka kwa hao watu. Cha kushangaza CHAWA wasio na akili wanashangilia. Bila shaka hawajui malengo ya Lissu yalikuwa ni kutaka hawa viongozi wakuu wa vyombo vya dola waweke msimamo wao wazi ya kuwa wanafurahia/wanashangilia kuona Lissu anaumizwa/anahukumiwa hata kama hana hatia. Maana yake walishiriki kwenye hii kesi kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
Hakika inamhitaji mtu kuwa na akili ya ziada kuugundua huu mtego. Kazi ipo kwa Majaji wa ccm kuamua kusuka au kunyoa.