Kesi ya Uhaini ya Lissu inaendelea Mahakamani, DCI Kingai kutoa ushahidi wake Septemba 18, 2026

Wewe ni taahira wala sijishughulishi nawe nawaonea huruma wanaokulipa mjinga kama wewe..!!
binafsi,
nitadeal na wewe papendicularly mpaka uache hiyo tabia.

hata hivyo,
inasikitisha sana,
na kwakweli inafedhehesha sana ndugu mdau wa jf.



inna lillahi wa inna ilahi rajirun 🌹
 
Kama kakataa kutoa ushahidi dhidi yake Nini kitafuata??
 
Hakuna mtego wowote.
Hivi Lissu si alisema ana mashahidi wale wanaharakati wa Kenya na Uganda, vp tena!?
 
Kwani wale Mashahidi wa Kenya na Uganda wamemkataa pia?
 
..kwanini DCI Kingai hakutoa ushahidi kwa upande wa mashtaka?

..kesi kubwa kama ya uhaini ni lazima Mkuu wa Tiss, Igp, na Dci, watoe ushahidi upande wa mashtaka.

..kutokutokea kwao kusaidia upande wa mashtaka kunafanya kesi nzima iwe ya kutilia mashaka.
 
Mashahidi wa kificho unawajua??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…