GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi Agosti 13,2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hatuna chakufanya ndugu yangu.....Binadamu akikuamulia hutoboi.
 
Hamna kitu CHADEMA wanajutia kama kutoshirikiana na Magufuli kuijenga hii nchi Magufuli alifungua mlango wa kushirikiana na wapinzani ndio hapo neno la maendeleo hayana chama lilipozaliwa.
Kaka wasio elewa Magufuri alikua mtu wa namna gani, hawatakuelewa.

Hata Tundu Lisu kupigwa Lisasi alienda kinyume na masrahi ya taifa ambayo mwamba alikua anayapigania, mifumo ya madini hasa kampuni ya Acasia na wengine
 
Atashinda Tu hata akiwa rumande, labda watafute kisinginzio cha kushindwa kujaza fomu, kama wakimzui ukipata hiyo fomu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…