Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Hii laana itamtafuna Tundu Lisu maisha yoteHamna kitu CHADEMA wanajutia kama kutoshirikiana na Magufuli kuijenga hii nchi Magufuli alifungua mlango wa kushirikiana na wapinzani ndio hapo neno la maendeleo hayana chama lilipozaliwa.
Hili jambo jana nimelifikiria sana kwa mda mrefu kuna mambo yanafanyika yanashangaza sanaIt's very unfortunate to be born, be raised and live our whole life in this country!!!
Kama magufuli alifanya mabadiliko mbona makinikia bado yanasafirishwa nje ya nchi, mbona hali ya umaskini bado imetamalaki kanda ya ziwaHii laana itamtafuna Tundu Lisu maisha yote
Polepole kashakumaliza, punguza Uhuni Umri ushaenda.Poa bi kidude 😂
Na kweli 35 si umri wa kitoto tena!Polepole kashakumaliza, punguza Uhuni Umri ushaenda.
Admittedly, it is one hell of a primitive country.It's very unfortunate to be born, be raised and live our whole life in this country!!!
Aliyewaambia Tunduma mkiniletea wapinzani maji msahau maana sitoleta sitaki kuchanganyiwa betri na magunzi alikuwa nani?Hamna kitu CHADEMA wanajutia kama kutoshirikiana na Magufuli kuijenga hii nchi Magufuli alifungua mlango wa kushirikiana na wapinzani ndio hapo neno la maendeleo hayana chama lilipozaliwa.
Mtakuwa mmefaidika na nini? wajinga wakubwa nyieHuyu kutoka Mpaka 2026.
Unaweza kutafuta cheti cha daktari ghaflaTuwaombee wanasheria wa serikali kwenye kesi hii