Kesi za ndoa na talaka 1,358 zafunguliwa ndani ya miezi 8 Dar es Salaam

Nakupenda, ntakulinda , shida zako zangu, ntakuvumilia kwa yote, ntatimiza wajibu.......Mimi na wewe kifo ndio kitatutenganisha😤 hajafa mtu na wanatengana.
Hakuna watu waongo Kama wanandoa
 
100% nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wewe mama D

NB: Everyone anapaswa kusoma hiki ambacho umeeandika, esp. ile jinsia M
 
The thing is very serious kuliko tunavyofahamu.

Na sisi ndio wazazi tunawapeleka watoto wetu duniani kuharibika

Tumekomaa na elimu rasmi huku elimu ya Mungu tumeiacha. Kama wewe ni baba au mama na humpi Mungu heshma yake sahau kupata heshma na Ile furaha na fahari ya kuitwa baba toka kwa uzao wako.

Mungu atusaidie sana
 
Wazazi wanatafuta sana mali kwa nguvu zote na akili zote wamewekexa huko kuliko maadili, malezi na tabia za watoto wao. Matokeo ya kilichopandwa na kinachoendelea kupandwa lazima yaonekane tuu.
 
Na rate ya hii kitu inaongezeka kila kukicha. Na zikija zile sheria za magharibi za kumfanya mwanamke ashike mpini mazima. Ndo wanaume hawatooa tena. Shetani ameshamkumbuka rafiki yake WA bustanini ndo wanapiga story now kuwa asikubali kumsikiliza Mwanaume au kuwa chini ya Mwanaume na anamletea sheria za kumlinda. Kama ukitaka kuishi kwa raha kipindi hiki Usioe. Ukioa USIMPENDE huyo mwanamke Bali MJALI TU. Hameshajiweka as commodities now so let's use them as commodities [emoji489][emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…