Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Teh teh teh! Kama ni hivyo basi naye siku zake za kwenda waliko akina Nasrala, Hanaya, na Sinwar, zinahesabika.Wanaukumbi.
BREAKING: KHALID MISH’AL ANAWEZA KUWA KIONGOZI ANAYEFUATA WA HAMAS
Kuna muundo wa uongozi uliowekwa
=========================
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1846918165936091304?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
I never thought this can be day dreaming or otherwise.Palestine Freedom will be achieved soon or later..
Pole sana teh teh teh 🤣.
Pole sana teh teh teh 🤣.
Vijana wa Yoav Galant wamemfumua komwe jamaa.
Mbona husemi anaweza kuwa anayefuata baada ya wengine "kutangulizwa" kupata mabikira 72 na kunywa mvinyo mtamu kutoka kwenye mito inayotiririsha mvinyo huo?Wanaukumbi.
BREAKING: KHALID MISH’AL ANAWEZA KUWA KIONGOZI ANAYEFUATA WA HAMAS
Kuna muundo wa uongozi uliowekwa
=========================
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1846918165936091304?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
He wished for martyrdom, and he attained it by the grace of God, like other men in the time of the scoundrels.I never thought this can be day dreaming or otherwise.
To keep waiting for such an achievement, you intelects must suspended anyway........
Hiyo bastola alikuwa nayo wakati anafumuliwa komwe?
Hiyo bastola alikuwa nayo wakati anafumuliwa komwe?
Ahahahahaha!!! Bado Ayatollah!Unakosea mabikra 73 unamsahu Bikira Maria.
Ahahahahaha!!! Bado Ayatollah!
Nimeuliza aliyekuwepo kaenda wapi unahangaika na kubwabwaja. Ambaye haogopi kufa angekalia bomb asingekuwa anajificha. Kafa na kuzikwa kama mbwa.anyway akapate 72 bikra.Huyu ndiyo muasisi wa Hamas aliuliwa mwaka 2004, baada ya kifo chake Hamas wanapambana Hamas ni ideology, siyo mtu huwezi kuwamaliza Hamas kwa kuuwa watu wao zadi ni kuwapa nguvu. Tofauti na nyie wagalatia mnaogopa kufa😀
Wewe umeifahamu Hamas kupitia JF ngioja nikupe darsa kidogo wewe mlokole huwenda ulikuwa bado upo Utegi au kwenye zipu.
Tarehe 22 Machi 2004, kiongozi wa Palestina na mmoja wa waanzilishi wa Hamas, Ahmed Yassin, 67, aliuawa katika mji wa Gaza. Sheikh Ahmed Yassin - ambaye alitumia kiti cha magurudumu kwa sababu ya kuwa na ulemavu wa miguu tangu ujana wake - alikuwa akirejea kutoka kuswali Swalah ya Alfajiri, na masahaba zake pia waliuawa mara moja.
Hili papai litatobolewa faster sana na myahudiWanaukumbi.
BREAKING: KHALID MISH’AL ANAWEZA KUWA KIONGOZI ANAYEFUATA WA HAMAS
Kuna muundo wa uongozi uliowekwa
=========================
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1846918165936091304?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hili papai litatobolewa faster sana na myahudi
Mipapai ya allah katika ubora waoNimeuliza aliyekuwepo kaenda wapi unahangaika na kubwabwaja. Ambaye haogopi kufa angekalia bomb asingekuwa anajificha. Kafa na kuzikwa kama mbwa.anyway akapate 72 bikra.
View attachment 3128163
Pole sana ustaadh vipi umma wa kiislamu mshapewa mwili wa yahya mkazike?