Kiasi chake Lema yuko sahihi, niliishi USA miaka kumi niliporudi nchini niliamini Watanzania tuna laana

Tujilinganishe na Korea Kusini, Malaysia na Vietnam ambazo hapo nyuma miaka 60 tu tulikuwa karibia sawa kimaendeleo.
 
Kuna hospitali ataonyesha. Si nyie mnasema hamshirikiani na wapinzani kupeleka maendeleo?
Ndio tushirikiane wakati wao ndio wanaunda Halmashauri na mapato Yako chini Yao?

Hospital gani hiyo ya mikunesha miaka 5? Tukimkumbusha kutukana bodaboda,mama Ntilie,Vicoba nk atasema nini?
 
Sasa sasa hivi mbona hata maeneo mengine yenye migodi barabara ni mbovu sana??
 
Tupo nyuma sana,na kenge waliomadarakani wanqlijua hili,ila wanaona ni Bora tubaki gizani Ili waendelee kutawala,maaana wakitutoa gizani,watapoteza nafasi zao
 
Unamaanisha USA,Canada etc hawakupitia maisha ya Tanzania kwa sasa kwamba hizo zilijikuta zilipo?
 
Ingekuwa kulima ni rahisi hivyo ungekuta wakulima wote ni matajiri

Mdomo Kila mtu anao,Leo hii Singida wanalalamika alizeti hazinunuliki
Sawa, wanasaidiwaje? Mimi nimesema ardhi nzuri na mvua za kuaminika kama factors muhimu katika maendeleo ya kilimo. Hizo fursa hazitumiwi vilivyo ila zikitumika vilivyo mkulima atainuka.
Mfano huko nilikosema mtu analima heka 5 anavuna gunia 25 badala yab100. Ndio kilimo kina changamoto lakini ukikabiliana nazo unatoka.
Nilienda mahali bagamoyo nikakuta mtu amejenga karibu bwawa ambalo halikauki lakini alikuwa anatafuta mboga nikaenda kumnunulia mbegu za bamia, maboga na biringanya nikamuelekeza nikamtafutia na samadi kutoka maboma ya wamang'ati baada alinishukuru.
Kwa hiyo usikatishe watu tamaa kama alizeti hazina bei mnaotawala mna mpango gani au mnazidi tu kuagiza korie
 
 
Unaishi karne ya 15 au 21.
Kwa mentality hii tuache magari tupande farasi.
 
Kwa ushuhuda huu Basi na mimi nimekubali tuna laana
 
We taahira nini,Kila kitu kilikuwepo Kuna stand na Barabara za mitaani hapo?

Maji mlikuwa nayo nyie pimbi? Hivyo vyote vimefanyika awamu hii ya Gambo
Huna lolote ujualo kuhusu Arusha zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani. Nenda kawaulize wakazi wa Arusha barabara za mitaa zenye lami ziliwekwa lini, Mradi mkubwa wa maji umesainiwa kabla ya 2015 na utekelezaji wake haukutegemea msukumo wowote wa diwani, mbunge awe wa CCM au CDM.

Usitake kuleta upotoshaji wa kijinga hapa. Kama unasubiri taarifa za maendeleo ya Arusha kupitia kwa Gambo basi umefeli pakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…