Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Tujilinganishe na Korea Kusini, Malaysia na Vietnam ambazo hapo nyuma miaka 60 tu tulikuwa karibia sawa kimaendeleo.
Upo sahihi yaani kuanzia karne ya 1 mpk kufikia ya 15 we were almost the same(lakini sio sawa exactly maana kuna vitu walituzidi vingi tu) kama nilivyoeleza hapo kuanzia karne ya 15 mpk uhuru kwa zaid ya miaka mia tano waafrica wamepitia majanga makubwa sana yaliyowarudisha nyuma wakati kwa miaka hiyo wenzetu wa mbele wapo active na wakawa wanazidi kuendelea kwenye nyanja zote..
Hitimisho langu likawa hatuwezi kuwa the same wakati kwa miaka mia tano tulikuwa dormant na wenzetu wakawa wanaendelea kujenga uchumi wao kwa muda huo..
Sisi waafrica hatuna hata miaka mia tangu nchi zetu zianze kupata uhuru kwa hiyo kujifananisha na watu wao na kujiota tuna laana ni unfair kabisa..