Kiasi gani cha pesa uliwahi kuliwa kwenye DUBWI mpaka ukachanganyikiwa?

Kiasi gani cha pesa uliwahi kuliwa kwenye DUBWI mpaka ukachanganyikiwa?

Waafrika hatuna akili.

Kamari huchezwa na matajiri wenye pesa za kuchezea.

Tajiri mwenye bilioni 2 akiliwa laki 2, kwake siyo kitu.

Sasa wewe ndugu una laki 2 halafu unaenda kucheza kamari laki 2; hizi siyo akili hata kidogo!
 
Mwenye picha ya dubwi tafadhali.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
E2QNr4UWUAEIavZ (1).jpg
 
Kuna watu wanaliwa kwenye dubwi mpaka wanachanganyikiwa.

Nishashushudia jamaa ameliwa laki 2 ya mtaji wa biashara ya mke wake kwenye dubwi.

Mkewe alimtuma akamnunulie vifaa vya kupikia vitafunwa kwa ajili ya biashara na ndo pesa pekee waliyokuwa nayo.
Jamaa kapita karibu na dubwi akapata tamaa acheze kidogo ale angalau elfu 50 sasa kwenye kucheza akajikuta kaangia hasara akawa anafosi arudishe angalau pesa aliyokuja nayo kilichomkuta pesa yote ikaliwa akaweka bondi smart phone yake kwa elfu 20 nayo ikaliwa

kilichomponzaga alikuwa anawa dabo dabo wanyama anawaweka hata mara tano Tano ila return inakuja ndogo mwisho akarudi mweupe.

mwingine katoka Moro kwenye kazi za ujenzi karudi na kwenye laki na ushee kabla hajafika kwake kaanzia kwenye dubwi mwisho wa siku kaliwa yote
Michezo ya jamii zenye high ILLITERATE level...

Mtu yeyote ambae ni LOGICAL being hawezi cheza Hilo dubu .


Cc. Mbagala et. AL
 
Back
Top Bottom