Kiasi gani cha pesa uliwahi kuliwa kwenye DUBWI mpaka ukachanganyikiwa?

Kiasi gani cha pesa uliwahi kuliwa kwenye DUBWI mpaka ukachanganyikiwa?

Mara ya kwanza na mara ya mwisho nilikua na mia 6 yaani mia 2 zilikua 3... nikaweka ya kwanza ikaenda, nikaweka ya pili ikaenda... nikaweka ya 3 ukarudi mia 6 yangu.... Nilivyozichukua sikuangalia nyuma tena
 
Si kila dubwi la kucheza na epuka kucheza dubwi peke yako kama una pesa ya mawazo

Hushangaagi ukifikaga kwenye DUBWI kuna dubwi moja linachezwa na wengi ujue hilo ndo linatoa.
Mkali wa hzi Kazi 🤣🤣🤣
 
Waafrika hatuna akili.

Kamari huchezwa na matajiri wenye pesa za kuchezea.

Tajiri mwenye bilioni 2 akiliwa laki 2, kwake siyo kitu.

Sasa wewe ndugu una laki 2 halafu unaenda kucheza kamari laki 2; hizi siyo akili hata kidogo!
Well said
 
1000090073.jpg
 
 
Na utashangaa watu wa kazi mgumu ndio wanakandwa sana nahuu mchezo huwezi shindana na computer pale mchina ale kwanza alafu ndio kuna vibonanza pale mchina hana asara [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom