Kiasi gani cha pesa uliwahi kuliwa kwenye DUBWI mpaka ukachanganyikiwa?

Wacheza kamari wengi huwa wanajidai wanaujulia mchezo na wazee wa strategy, kitu hawajui ni kuwa mchezo mzima upo rigged dhidi yao.
Si kila dubwi la kucheza na epuka kucheza dubwi peke yako kama una pesa ya mawazo

Hushangaagi ukifikaga kwenye DUBWI kuna dubwi moja linachezwa na wengi ujue hilo ndo linatoa.
 
Kuna vijana wa hovyo hiki kizazi sijawahi kuona

Yaani mchina atengeneze libox aweke vi program vya muziki na kuzungusha hela ili Kila siku atoe asilimia Moja na asilimia 99 aichukue, dude ambalo huna Cha kufanya zaidi ya kudumbukiza hela tuu Wala huwezi kucheza tusema unalizidi akili. Kweli ukaweke hela yako unatarajia kutoboa kweli au kumpa sadaka mchina? Nipo karibu na baa Fulani naona mchina anakuja Kila asubuhi anslifungua na kutoa fedha na kuweka kwenye mifuko mikubwa. Kweli Watanzania Wana mtindio wa ubongo
 
Limesetiwa km ikaingia Laki basi itatoa ELFU 10 yaan kwenye 100 mchina anakupa 1 alafu 99 zote za kwake
 
Back
Top Bottom