Mpigadili Tz
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 1,093
- 2,046
Mkali wa hzi Kazi 🤣🤣🤣Si kila dubwi la kucheza na epuka kucheza dubwi peke yako kama una pesa ya mawazo
Hushangaagi ukifikaga kwenye DUBWI kuna dubwi moja linachezwa na wengi ujue hilo ndo linatoa.
Well saidWaafrika hatuna akili.
Kamari huchezwa na matajiri wenye pesa za kuchezea.
Tajiri mwenye bilioni 2 akiliwa laki 2, kwake siyo kitu.
Sasa wewe ndugu una laki 2 halafu unaenda kucheza kamari laki 2; hizi siyo akili hata kidogo!
🙏Well said
Wangeanza na pombe na sigaraNdio tumefikia huku serikali ikalitazame hili swala
MdiyooDubwi ndo lile la mchina au?
Watu km nyie smart mtayajuaje madubwi?Dubwi ni mchezo Gani?
Ni lile mashine linalokula 200Dah,
Kwa maelezo ya mtoa mada nikadhani dubwi ndio kubeti
Dubwi ni nini?kweli Jamiiforum imechakaa🤣😂 hadi wacheza madubwi wamo humu
Waliomo humu ndio wapo mtaanikweli Jamiiforum imechakaa🤣😂 hadi wacheza madubwi wamo humu
We ni mchina?DUBWI Lina hela ukilijulia
Jirani nna hakika huu mchezo haujakuacha salamaIla jf ina kila sample ya watu ni ww tu kuchagua mbavu pa kuziumiza 🤣🤣🤣
Haya wacheza DUBWI mnaitwa huku
Maxence Melo inabidi uweke vigezo cha mtu kujiunga JF. Hawa wapuuzi wapite kushoto. Nimepokea kwa masikitiko sana hii taarifa.kweli Jamiiforum imechakaa🤣😂 hadi wacheza madubwi wamo humu
Sawa kaka mkubwaBasi kaa mbali na hilo Dubwi mchina akili nyingi