Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

Kwani likiachwa wazi tu kuna shida gani maana naamini hilo kaburi lipo ndani ya fence ikijumuisha makaburi yote ya familia.. Au nasema uongo ndugu zangu..?
 
Kwa uelewa wangu wa ujenzi ni kama kuna ujenzi unaendelea kwa nje na hizo bati zimejengewa ili ujenzi usiharibu wala kuchafua kaburi
Hahaha mkuu tangia lini ujemzi ukawa kwa nje mabati yakawa ndani?
 
Je mmesubiri mpaka VP azuru kaburi hilo ndipo muone na kuchukizwa na mabati hayo? Kisha kwenye "keyboard na pads" mnaonesha kuwa na uchungu kwa mwendazake!
 
Hahaha mkuu tangia lini ujemzi ukawa kwa nje mabati yakawa ndani?
Chief, uyo aliyezikwa hapo alikua ni kiongozi wa nchi.. Ni kawaida kujengewa memorial (jengo/enclosure nje ya kaburi) kama kwa baba wa taifa kule Butiama.
 
Pia tangu lini wakaezeka na juu ili ujenzi uendelee nje?
Aisee nyie watu mnatoa hoja za maana katika style ya kuchekesha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223]
 
Je mmesubiri mpaka VP azuru kaburi hilo ndipo muone na kuchukizwa na mabati hayo? Kisha kwenye "keyboard na pads" mnaonesha kuwa na uchungu kwa mwendazake!
Swali gani hilo unauliza wewe unadhani kila mtu anakaa chato kwamba anaenda kila siku asubuhi kuangalia kaburi linaendeleaje.
 
Kaburi la familia ya watu inatuhusu nini sisi? Hebu tuwekee makaburi ya ndugu zako kama angalau hata yana fensi ya mabati,?! Achana na mambo yasiyokuhusu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hayo maua yenyewe yamekauka kaburi limekua kama kichaka.
 
Sasa hap MWAMPOSA Ana usika vip ikiwa tunaongelea swal la kujenge kaburi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…