Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

Kaburi la familia ya watu inatuhusu nini sisi? Hebu tuwekee makaburi ya ndugu zako kama angalau hata yana fensi ya mabati,?! Achana na mambo yasiyokuhusu.
Mkuu inatuhusu kwasababu alikuwa Rais wa nchi hii, sio kama ndugu zako ambao hawajawahi kuwa ma Rais wa nchi hii
 
Kwao hapo Wanaamini sana Mambo ya Kiutamaduni wa Mwafrika ( Mazingaombwe ) na huenda hivi uonavyo ni Moja ya Makubaliano ya Kimiiko ya Kabila lake la Wasubi japo nilikuwa nikishangaa mno Watanzania wengi mkimuita na kuamini kuwa alikuwa 100% ni Msukuma.
 
Ninavyoelewa ni kuwa eneo line sasa hivi lina mvua nyingi sana kwa hiyo sishangai kama walijenga hilo banda kuwa temporarly shelter hadi mmvua zitakapokiwsha
Ili mwendazake asinyeshewe?

Mwavuli tu ungemtosha, asituchoshe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…