Kiboko ya Wachawi ashtakiwe arudishe pesa za watu, na afungwe iwe fundisho kwa wahuni wote wa aina hii

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Ee Mungu Baba wa rehema mjaza neema ndogo ndogo na kubwaa unayejibu kwa Moto

Ahsante kwa kuwa unajibu sawa sawa na maombi yetu

Kamwe hujawahi kushindwa kamwe hujawahi kumwacha mtu wako akitapeliwa wala kutaharika

Tunakushukuru kwa yote ktk jina la mwanao Yesu Kristo alie hai

Huyu Baba Mungu kaamua kumwaibisha, amekula pesa za masikini wengi sana amewadanganya wengi sana.

Emmanuel Robert kumfungia haitoshi, huyu bwana ni kumweka ndani zile fomu za laki 5 zina namba za simu za waumini, wapigiwe warudishiwe hela zao

Na iwe fundisho kwa wahuni wote wa style kama hii

Bado mwenzie wa Tabata soon loading.

Pia soma
 
Wajinga ndio waliwao
 
Ila muda mwingine acha awapige tu hao wauminii maana akili zao zimelalaa sanaaa..

Kuna shemeji yngu HP namwonaa tu na nabii wake uchwara kamwazima Hadi gari nabii uchwara analitumia yy anaenda kazin kwakukodi bajajii...
 
Hao watu ndio wanapaswa kufungwa kwa kosa la uhujumu uchumi.
Wengi ni maskini kapuku.
Kuna dada muuza uji alitoa laki 2, laki alikopa na laki ya kwake
Hata kuwekewa mkono kichwani hajawekewa pesa yake ndogo
Hahahaaaaaa alivyotrend nikaenda bana kansan
kwakeee nikakuta jamaaa mmoja mcongo aliekuliaaa Uganda anafundisha sasaa wakaanza mwenye kumi aje mbele wapuuzi kadhaa wakaenda nilikuwaa sopsop jamaa akatumention kama wa5 akatuita akasemaamtaki baraka zahela

nkasema sijaja nahio hela akasema ok nawalipia mkibarikiwa mtarudisha akaombaaa amemaliza akajichanganyaaa ati kachukua kiti kaweka mguu na kiatu chake juu yakiti unaelipa unapiga magoti unashika kiatu chake ati unaomba unachotakaa hahahaaaa nilipoona vile nkarudi kwakitiyangu dk 10 nkajisogeza bar ya karibu nkaamua kuzimuaaaa na bapaa yangu

Gafla naona wamekuja waumini kadhaa wakakaa bar wakagiza soda na wengine castleslight pale nkasema ngoma drw
 
Aiseee🤣🤣🤣🤣🤣
Hawa waumini na manabii wao wafungwe
 
Ee Mungu Baba wa rehema mjaza neema ndogo ndogo na kubwaa unayejibu kwa Moto

Ahsante kwa kuwa unajibu sawa sawa na maombi yetu

Kamwe hujawahi kushindwa kamwe hujawahi kumwacha mtu wako akitapeliwa wala kutaharika

Tunakushukuru kwa yote ktk jina la mwanao Yesu Kristo alie hai

Huyu Baba Mungu kaamua kumwaibisha, amekula pesa za masikini wengi sana amewadanganya wengi sana.

Emmanuel Robert kumfungia haitoshi, huyu bwana ni kumweka ndani zile fomu za laki 5 zina namba za simu za waumini, wapigiwe warudishiwe hela zao

Na iwe fundisho kwa wahuni wote wa style kama hii

Bado mwenzie wa Tabata soon loading.

Pia soma
Unajuwa mpwa watu ni wjnga sana,na wakiambiwa hawaelewi
Eti leo hii huyo kiboko ya wachawi ni nabii anafanya maajabu 😄
Ndomana siku mimi huwa nashukuru kufahamiana na watu na kukutana na watu na kuyaona yaliyomengi
Huyu kiboko ya wachawi kabla hajawa nabii sjui mtume unajuwa alikuwa anafanya biashara ya kuleta vipodozi tena sumu kutoka kongo,tena walikuwa wanaweka kwenye tanker za mafuta....baada ya kamatakamata
Akajiongeza akaingia huko kuwapiga wajinga
Tukiwaona watu hawa tunaishiaaa kucheka tu,nasemaga watu ni wajing kabisa

Ova
 
Back
Top Bottom