Kiboko ya Wachawi ashtakiwe arudishe pesa za watu, na afungwe iwe fundisho kwa wahuni wote wa aina hii

Kiboko ya Wachawi ashtakiwe arudishe pesa za watu, na afungwe iwe fundisho kwa wahuni wote wa aina hii

Japokuwa namuunga mkono kiboko wa wachawi kuwanyoosha wapumbavu, ila hy picha sio ya jamaa yangu muungwana kabisa bwana kiboko ya wachawi.
 
Br huyu bwana atawauaa hana dili ukisema hivyo kuna wake za watu madadazetu wamedinywaa sa a na yeye tu eshasahau
Usitukumbushie machungu
Hee siyo pesa tu na papuchi za watu kala?kweli tunaangamia kwa kukosa maarifa😪
 
Hee siyo pesa tu na papuchi za watu kala?kweli tunaangamia kwa kukosa maarifa😪
Wengi sis wangu ni jirani alikuwa anatumiwa hela za sadala kama kondooo waa....amemla sana ingawa anasema hajaliwa hakuna mwanaume mjinga anakurushia zaidi ya laki 2 kwa wiki huyo ajazaliwa ukicheka anaondoka
 
Aisee sadaka inatumwa kwa muumini 😀😀 for nothing tuu? Huyo dada muongo, ila yale mahubiri yake sikuwahi kumwelewa ,kumbe kuna hadi babes wake😀
 
Aisee sadaka inatumwa kwa muumini 😀😀 for nothing tuu? Huyo dada muongo, ila yale mahubiri yake sikuwahi kumwelewa ,kumbe kuna hadi babes wake😀
Mkuuu huyu dasa kasali longtime na alikuwa na vyeo vyake akapanda fasta

Hioo hela haihusu huduma maana kila wanapokuja kanisan wanapewa majukumu wanalipwa kuna wa kuanzia 10000 mpaka 50000....ndio maana nasemaga yale mapopompo wacha wangeliwa tu maana alikuwa na majukumu mengi..kama sadaka asingeweza lipa wale wahudumu lazima atumie tiba asili mbadala aka 500000 kuweza kuendeleza kazi ya Bwana

Hallelujah 🙌
 
Kipindi fulani kuna mama mmoja alienda huko alikuwa na shida zake za afya

Alipokutana naye huyo kiboko ya wachawi akadai hyo mama amtafutie mln 9 huyo mama kurudi nyumbani ilibidi akae na ndg zake sasa kuna mtoto wa mama huyo tena muajiriwa wa serikalini akanitafuta akaniambia 1,2,3 nkasema basi siku nkija dar tutakaa na kuzungumza naye

Kufika dar kweli nkawaibukia kwao

Makongo juu,nkazungumza sana na mama mwisho nkamwambia asijitusu kutoa hyo mln 9 ataumia
Yule mama alikuja kunishukuru sana

Huyu kiboko ya wachawi ni TP tu

na kabla ya hapo ashauza sana vipodozi feki eti leo nabii sjui mtume

Tunajuwa sahv kuna manabii mitume wengine feki wanalindwa na watu wako kwenye mfumo
Ila siku yao itakuja tu

Acha waendelee kucheza na akili za wajinga

Ova
Ni afadhali huyo uliyemueleza na akaelewa. Wengi huwa hawataki kuelewa wala kutumia common sense. Wanakuona ww unayewafumbua ndiye shetani.
 
Back
Top Bottom