Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zangu pesa hazitafutwi, pesa inawekewa mitego ili ije yenyewe. Watu wameuza viwanja majumba kumpelekea pesa yule jamaa, ni huzuni pokeni.
View attachment 3097905
Wamekushtukia toa tu pichaNdugu zangu pesa hazitafutwi, pesa inawekewa mitego ili ije yenyewe. Watu wameuza viwanja majumba kumpelekea pesa yule jamaa, ni huzuni pokeni.
View attachment 3097905
Hee siyo pesa tu na papuchi za watu kala?kweli tunaangamia kwa kukosa maarifa😪Br huyu bwana atawauaa hana dili ukisema hivyo kuna wake za watu madadazetu wamedinywaa sa a na yeye tu eshasahau
Usitukumbushie machungu
Ni kama millioni 90 hivi.Hiyo ni pesa ngapi?
𝚖𝚋𝚘𝚗𝚐𝚘 𝚖𝚙𝚎 𝚙𝚒𝚌𝚑𝚊, 𝚜𝚝𝚘𝚛𝚢 𝚊𝚗𝚊𝚢𝚘 🤣🤣🤣🤣🤣Huyo Issa Tambuu ,Muuza magari unamuweka kwenye story ya kiboko ya wachawi
Wengi sis wangu ni jirani alikuwa anatumiwa hela za sadala kama kondooo waa....amemla sana ingawa anasema hajaliwa hakuna mwanaume mjinga anakurushia zaidi ya laki 2 kwa wiki huyo ajazaliwa ukicheka anaondokaHee siyo pesa tu na papuchi za watu kala?kweli tunaangamia kwa kukosa maarifa😪
Aisee sadaka inatumwa kwa muumini 😀😀 for nothing tuu? Huyo dada muongo, ila yale mahubiri yake sikuwahi kumwelewa ,kumbe kuna hadi babes wake😀Wengi sis wangu ni jirani alikuwa anatumiwa hela za sadala kama kondooo waa....amemla sana ingawa anasema hajaliwa hakuna mwanaume mjinga anakurushia zaidi ya laki 2 kwa wiki huyo ajazaliwa ukicheka anaondoka
Mkuuu huyu dasa kasali longtime na alikuwa na vyeo vyake akapanda fastaAisee sadaka inatumwa kwa muumini 😀😀 for nothing tuu? Huyo dada muongo, ila yale mahubiri yake sikuwahi kumwelewa ,kumbe kuna hadi babes wake😀
Ni kama millioni 90 hivi.
Ni afadhali huyo uliyemueleza na akaelewa. Wengi huwa hawataki kuelewa wala kutumia common sense. Wanakuona ww unayewafumbua ndiye shetani.Kipindi fulani kuna mama mmoja alienda huko alikuwa na shida zake za afya
Alipokutana naye huyo kiboko ya wachawi akadai hyo mama amtafutie mln 9 huyo mama kurudi nyumbani ilibidi akae na ndg zake sasa kuna mtoto wa mama huyo tena muajiriwa wa serikalini akanitafuta akaniambia 1,2,3 nkasema basi siku nkija dar tutakaa na kuzungumza naye
Kufika dar kweli nkawaibukia kwao
Makongo juu,nkazungumza sana na mama mwisho nkamwambia asijitusu kutoa hyo mln 9 ataumia
Yule mama alikuja kunishukuru sana
Huyu kiboko ya wachawi ni TP tu
na kabla ya hapo ashauza sana vipodozi feki eti leo nabii sjui mtume
Tunajuwa sahv kuna manabii mitume wengine feki wanalindwa na watu wako kwenye mfumo
Ila siku yao itakuja tu
Acha waendelee kucheza na akili za wajinga
Ova