Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Wajinga sana hawa halafu anaweza kukudai mia yake mwaka mzimaHao watu ndio wanapaswa kufungwa kwa kosa la uhujumu uchumi.
Wengi ni maskini kapuku.
Kuna dada muuza uji alitoa laki 2, laki alikopa na laki ya kwake
Hata kuwekewa mkono kichwani hajawekewa pesa yake ndogo
Unajuwa mpwa watu ni wjnga sana,na wakiambiwa hawaelewi
Eti leo hii huyo kiboko ya wachawi ni nabii anafanya maajabu...
Kipindi fulani kuna mama mmoja alienda huko alikuwa na shida zake za afyaMpwaa sijuii tumelogwq mbaya hadi walioenda shule na aunt yangu na kanchechede kangu sijui kama.alikqqchq ssalama wana masters lakn walikufa wakaoza yaaan ile mazingaombwe ya usiku wanaamn kweli anafufua watu kwenye simu hahahaa
Dibwe sawa na wale wa TUMA kwa namba hii ,huo ni UTAPELI.Mwambaaaaa mpwaaaaa anawapigaaa watu wakiwa Congo umeona clips kaomba mil 10 oooh mwandishiwahabari
wajinga ndio waliwaoHao watu ndio wanapaswa kufungwa kwa kosa la uhujumu uchumi.
Wengi ni maskini kapuku.
Kuna dada muuza uji alitoa laki 2, laki alikopa na laki ya kwake
Hata kuwekewa mkono kichwani hajawekewa pesa yake ndogo
Hivi alikuwa anafanya mazingaombwe gani kiasi cha kuwafanya watu wamuamini sanaMpwaa sijuii tumelogwq mbaya hadi walioenda shule na aunt yangu na kanchechede kangu sijui kama.alikqqchq ssalama wana masters lakn walikufa wakaoza yaaan ile mazingaombwe ya usiku wanaamn kweli anafufua watu kwenye simu hahahaa
Arudishe nini? Ulimpa mwenyewe kwa hiari yako. Andika tu umeliwa.Ee Mungu Baba wa rehema mjaza neema ndogo ndogo na kubwaa unayejibu kwa Moto
Ahsante kwa kuwa unajibu sawa sawa na maombi yetu
Kamwe hujawahi kushindwa kamwe hujawahi kumwacha mtu wako akitapeliwa wala kutaharika
Tunakushukuru kwa yote ktk jina la mwanao Yesu Kristo alie hai
Huyu Baba Mungu kaamua kumwaibisha, amekula pesa za masikini wengi sana amewadanganya wengi sana.
Emmanuel Robert kumfungia haitoshi, huyu bwana ni kumweka ndani zile fomu za laki 5 zina namba za simu za waumini, wapigiwe warudishiwe hela zao
Na iwe fundisho kwa wahuni wote wa style kama hii
Bado mwenzie wa Tabata soon loading.
Pia soma