Umenikumbusha Depal na I love you yake! Ukweli ni kuwa wengi wa akinamama katika mwanzo wa mawasiliano huwa wana ka ego, hivyo mwanaume lazima uwe upande wa I love you na yeye I love too. Ila baada ya kutunukiwa huwa mnabadili pande. Hiyo ni nature. Ndiyo maana kabla ya mechi mwanaume husaidia kuvua chupi ya bibie ila wakati wa kuivaa….Ila haya Mambo ya kusubiriana haya dah... Guys if u love love unconditionally... It is either you do it or you don't!
Sometimes it doesn't make sense kuwa na mtu ambaye unajiuliza umtafute au usimtafute.... Hata kama uwe busy vipi utapata tu muda katika masaa ya ubize wako ya kujuliana Hali. Ukiona uko na mtu na unamtegea basi hapo mnacheza mchezo wa seek and hide a.k.a kombolela Ila hamhusiani kabisa. Ndio Yale Yale ya kuambiwa uwe upande wa 'I love you too' badala ya 'I love you'.
Get well soon my special man and my favorite 😍 person.
Hivi kwa nini huwa mkishatuonja huwa mnahama kuelekea I love you too? Ni kwamba mnakuwa hamjafikishwa, humujitaji tena, au ni ego tu ya atanitafuta?Umenikumbusha Depal na I love you yake! Ukweli ni kuwa wengi wa akinamama katika mwanzo wa mawasiliano huwa wana ka ego, hivyo mwanaume lazima uwe upande wa I love you na yeye I love too. Ila baada ya kutunukiwa huwa mnabadili pande. Hiyo ni nature. Ndiyo maana kabla ya mechi mwanaume husaidia kuvua chupi ya bibie ila wakati wa kuivaa….
Tunalipa visasi, tunakuwa tumehenya sana mpaka unakubali kuvuliwa chupi.Hivi kwa nini huwa mkishatuonja huwa mnahama kuelekea I love you too? Ni kwamba mnakuwa hamjafikishwa, humujitaji tena, au ni ego tu ya atanitafuta?
U make me hate men... I hate revenge kwenye mapenziTunalipa visasi, tunakuwa tumehenya sana mpaka unakubali kuvuliwa chupi.
Kivip?utajijua mwenyewe!
U make me hate men... I hate revenge kwenye mapenzi
I hate fake people
Hujui jinsi mnavyotutesa. Lakini kuna mwingine anakuwa cooperative, huyo lazima umuheshimu.U make me hate men... I hate revenge kwenye mapenzi
I hate fake people
Mapenzi ya kukomoa sio pos hata uwe umehangaika vipiHujui jinsi mnavyotutesa. Lakini kuna mwingine anakuwa cooperative, huyo lazima umuheshimu.
Wewe fikiria, unamtongoza bibie, anakukubali. Tangu hapo, unaanza kutumika kwa kutuma vocha, mara shida hii, unatimiza. Unapopresent shida yako, yeye anarusha. Anakuja kwako wakati yupo ahera. Mwaka unakatika. Siku akijisikia ndipo akupe K. Unaona hiyo ni sawa? Lazima nikikuvua tangu siku hiyo unakuwa upande wa I love you too.
Hii haipo katika mapenzi tu. Ni maisha ya mwanadamu. Ego si kitu kizuri na wasichana ndiyo zenu kwa ma age mate wenu. Unataka kuwa spoiled lakini hutaki kumspoil jamaa kwa K! Hiyo ni haki? Maisha ni two way traffic, nipe nikupe. Unataka upokee tu wewe kutoa shida.Mapenzi ya kukomoa sio pos hata uwe umehangaika vipi
I once loved a person truly japo kwake yeye mwanzoni haikuwa that serious ila badae akajua and bond tuliyoweka haivunjiki Hadi kesho japo haikuwa meant Tuoane. Hadi kesho amekuwa rafiki mzuri sana.Hii haipo katika mapenzi tu. Ni maisha ya mwanadamu. Ego si kitu kizuri na wasichana ndiyo zenu kwa ma age mate wenu. Unataka kuwa spoiled lakini hutaki kumspoil jamaa kwa K! Hiyo ni haki?
Kwa mwanaume, wewe ni spare tyre, siku tairi la mbele au nyuma likipasuka, maisha yanasonga. Hakuna urafiki wa nyani na Chui duniani. Once a whore always…. Huwezi ikwida K ati usiikwide tena, kwa mwanaume haipo ila kama kuna kikwazo!I once loved a person truly japo kwake yeye mwanzoni haikuwa that serious ila badae akajua and bond tuliyoweka haivunjiki Hadi kesho japo haikuwa meant Tuoane. Hadi kesho amekuwa rafiki mzuri sana.
Zingatia kiporo hatupashi.
Love people unconditionally
ina maana mtu akiandika neno "mrokole" humwelewi kabisa mama dharau mkuu?Kivip?
Not fair,fanya unitafute leo.Mimi mmoja wapo😎
Ila haya Mambo ya kusubiriana haya dah... Guys if u love love unconditionally... It is either you do it or you don't!
Sometimes it doesn't make sense kuwa na mtu ambaye unajiuliza umtafute au usimtafute.... Hata kama uwe busy vipi utapata tu muda katika masaa ya ubize wako ya kujuliana Hali. Ukiona uko na mtu na unamtegea basi hapo mnacheza mchezo wa seek and hide a.k.a kombolela Ila hamhusiani kabisa. Ndio Yale Yale ya kuambiwa uwe upande wa 'I love you too' badala ya 'I love you'.
Get well soon my special man and my favorite 😍 person.
Kwenye mahusiano inatakiwa energy zi matchHii kuviziana kutafutana kimewa cost wengi sana
Kabisa watakuja kushangaa suala la ndoa limekuwa gumu kwao hakuna wanaume wa kuwaoa wakati muda umewatupaMwanamke mwenye kiburi mbele ya mume/mchumba/mpenzi wake huyo hana tofauti na kichaa yaani hajitambui na hajawahi kua na mwisho mwema kwenye mahusiano/ndoa.
vyote vyote ila ukiona kwenye mahusiano wanatafutana kwa mawenge ujue tu hapo hakuna upendo, its either kwa wote au kwa mmoja wao,,, mawasiliano ndo kila kitu broUsimkatishe tamaa jamaa, umejua the full stori