Kiburi kimeua mahusiano ya watu wengi kuliko usaliti

Kwa mwanaume, wewe ni spare tyre, siku tairi la mbele au nyuma likipasuka, maisha yanasonga. Hakuna urafiki wa nyani na Chui duniani. Once a whore always…. Huwezi ikwida K ati usiikwide tena, kwa mwanaume haipo ila kama kuna kikwazo!
Was calling people names necessary?
 
kitendo cha mwanamke kuniletea kiburi mimi, na mimi niamue kumtafuta ninakuwa nimejivua utu wangu na kuishusha heshima ya wanaume wote duniani......
 
Hawa mabibi wenye zaidi ya miaka 35 bila ndoa wala watoto ndo zao hizo. Wana viburi vilivyopitiliza. Jitu linashinda kwa manabii feki kutafuta mume ila akijitokeza mtu utashangaa linajifanya lenyewe ndo muhimu kwenye huo uhusiano. Binafsi ninashauri wanawake single wenye 30+ hawastahili kubembelezwa.
 
Siwapendi watu wa aina yako hivi kila kitu mtu akipost anajizungumzia
Upo sahihi. Ila pengine kiburi mara nyingi ni zao la kitu kilichojificha nyuma? Wakati mwingine huwa nahisi hivyo. eg ukiona mwenza wako analeta kiburi sana basi ujue kuna sababu. Niliwahi kuwa na ex wangu, ikatokea hali yangu kiuchumi siyo nzuri basi akawa na kiburi kweli kweli. Kuchunguza nyuma yake kuna njemba yenye mke na vi-hela vya njugu, ndiyo inamfanya awe na kiburi. Hata uzuri wa mwanamke nao unaweza kufanya awe na kiburi kwa sababu anaona ana soko...
 
Hahaha wewe kama nani unatangaza?
 
"Ego is an enemy"
 
Inaitwa ego hiyo kk kila mtu anajiona bora kuliko mwingine anajiona yy ndo victim wa mahusiano hayo anataka aanze kwanza yy kutafutwa au anapitisha mda kukujibu ni ubinafsi na utoto mda mwingine
Watu wa hivi wengi ni narcissist
 
Wakizeeka ndo wanajifanya Submissive na wenye akili za malengo.
Kwamba nyinyi ndio dhahabu sana mtafutwe tu nyinyi sio?swala la kutafutana kwenye mahusiano ni la wote hizo habari za mwanamke akizeeka ndio anakuwaje sio sababu ya kumtafuta mwanaume ndani ya mahusiano bwana!
 
Kwamba nyinyi ndio dhahabu sana mtafutwe tu nyinyi sio?swala la kutafutana kwenye mahusiano ni la wote hizo habari za mwanamke akizeeka ndio anakuwaje sio sababu ya kumtafuta mwanaume ndani ya mahusiano bwana!
Haina noma mwanetu endelea kujiamlia mambo maana mpaka sahii naamin huna mume au mchumba anaeeleweka...😁
 
Bwege 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…