Kidini Israel na Trump wapo sahihi, kisheria Wapalestina wapo sahihi

Wafilisti siyo uzao wa Ismail. Msisome maandiko kwa kupapasa kwa nje.
Mkuu me sina upande, naomba tu ufafanuzi ikibidi kutoka ktk Biblia or sehem yoyote, wafilist chimbuko lao ni wapi hasa?? Yaani walikuwa wazawa wa Taifa lipi???
 
Kuondoka kwa hao watu MUNGU alikusema zaman kuwa waondosheni msiwaache hata mmoja kwa hao watakuwa mwiba kwenu(mbigiri)lkn waliwaacha na wengine kuwaoa kama kina delira matokeo yake ndo haya,wapalestina si mahala pao pale
Em tuangalie suala hili bila kuhusisha imani yako. Au hutaweza mkuu?
 
Mungu wa Ibrahimu,Isaka,Yakobo na Musa ni Jehova ndio Mungu wa Wayahudi na Wakristo.
Uislam unaamini katika Jehova?
Hao mitume wote uliowataja walitumwa na Jehova, na wote ni waisrael.
Je Mohmad nae alitumwa na Jehova?
Katika majina 99 ya Allah je jina Jehova lipo?
Mungu wa kweli alimchagua Ibrahim akambariki akafunga agano nae yeye na kizazi chake ili kila taifa,kabila na jamaa za dunia zitambue na kuamini kuwa Mungu wa kweli ni Mungu wa Israel ndiye aliyetenda miujiza mingi kwa kupitia waisrael.
Je waislam wanaamini kwa kupitia huyu Mungu wa Waisrael?
Hakuna dhambi atakayotenda Israel itakayovunja maagano ya Mungu na ibrahim na kizazi chake bali Mungu amekuwa akiwarudi kwa adhabu mbalimbali ili wamrudie yeye.
 
Ndugu, umemaliza maneno yangu yote.
Hii sio thread ya kwanza kuamua kuchangia na kujaribu kuwafanya watu waangalie suala hili bila ubinafsi wa imani, lakini kila sehemu naishia kupigana kwa maandishi.
Natamani sana ingeanzishwa hata thread ambayo watu wanajadili bila hasira za imani. Maana naamini kitu sahihi ni kile justifiable kwa mtazamo wa kila pande.
 

Kwa hivyo unakubali mungu wa agano la kale ndiye huyo huyo wa agano jipya??

Unasema kihistoria huwa Mungu anawashughulikia , ungalileta mstari wa maneno ya huyo mungu yanayosema hivyo.

Gavana ni jina na mwalimu wa chekechea JF
 
Acha kudanganya watu mkuu, Yesu wa biblia ni tofauti kabisa na Isa wa quran. ,

Wa biblia alitabiriwa na manabii kama kina isaya, ezekiel ,daud kuwa ataitwa Mungu mkuu,

Ila wa quran kwanza hata hakusurubiwa, yaan in short ni watu wawil tofauti kabisa.

Kuhusu muhamad , huyu ana historia yake ,awali alikuwa anasali kuelekea yerusalemu, akifata din ya wayahud, baadae aliposema amepewa utume, wayahud walitaka athibitishe, hapo ndipo ugomvi ulianza ,na mpaka quran ina aya za kuwachukia wayahudi

KWA UFUPI , UISLAMU KAJA NAO MUHAMAD ,
 
Mwl sijakuelewa rudia tena tafadhali.

Kwa hivyo unakubali mungu wa agano la kale ndiye huyo huyo wa agano jipya??

Unasema kihistoria huwa Mungu anawashughulikia , ungalileta mstari wa maneno ya huyo mungu yanayosema hivyo.

Gavana ni jina na mwalimu wa chekechea JF
 
Kuna watu wengi, wengine ni wasomi kabisa lkn naona bado hawajui kuwa wayahudi sio wa kristo, kuna watu humu wana toa comments zao kama kishabiki hivi wakifurahia wayahudi kuitwaa Jerusalem wakidhani wayahudi ni wa kristo.
 
Mwl sijakuelewa rudia tena tafadhali.

Swali :

Kwani Mungu wa Agano la kale ndiye huyo huyo Mungu wa Agano jipya ???

Unasema kihistoria huwa Mungu anawashughulikia , ungalileta aya kutoka ndani ya biblia kuthibitisha kuwa wa Mungu atawashughulikia.
 

HIVI Wewe unaelewa zaidi HALI MBILI NDANI YA HUYO YESU, KULIKO YESU MWENYEWE ???

TUKUSIKILIZE WEWE AU YESU ??


Kile anachokisema Yesu (AS) juu yake na Mungu



Yesu Kristo (AS) kamwe hajataja juu ya Utatu wala hakuwa macho kuwa kuna Mungu wa Utatu.

Ufahamu wake ulikuwa ni ule ule kama wa wale mitume Waisraeli wa mwanzo, waliohubiri Upweke wa Mungu.

"Yesu akamjibu, Ya kwanza ndiyo hii, Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja; nawe mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote, na kwa nguvu zako zote." Marko 12:29-30

"...Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake." Mathayo 4:10 na Luka 4:8. Yesu (AS) anasema kuwa ni Mungu peke yake ndio wa kuabudiwa.

"...Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja.." Marko 12:29 Yesu (AS) anathibitisha upweke wa Mungu.

"Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliyembinguni." (Mathayo 7:21)

Ni wazi kuwa Mungu alikuwa Mbinguni na Yesu (AS) alikuwepo ardhini.

Kwa hiyo vipi watakuwa wameungana katika mwili mmoja?

Imani ya Kikristo inaeleza kuwa 'Nafsi Tatu' zimeungana katika mwili mmoja (watatu ndani ya mmoja).

Itawezekana vipi kwa waunda Utatu wote wawe Miungu kamili wakati kila mmoja wao anaunda moja ya tatu ya Uungu?

"Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma."
Yohana 17:3.

Hapa, Yesu (AS) anachora mstari kati ya Mungu na yeye mwenyewe.

Ili ufikie uzima wa milele ni kujua Mungu wa kweli na Yesu (AS) kuwa ametumwa akiwa ni Mjumbe wa Mungu tu.

Yesu (AS) anasema:

"Yesu akamwambia, Kwa nini kuniita mwema? Hakuna aliye mwema ila mmoja, ndiye Mungu." Marko 10:18.

Yesu (AS) anatetea kuwa hakuna mwema isipokuwa Mungu, na hilo linamtenga Mungu na Yesu.

"Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake." Mathayo 24:36

na "Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba." Marko 13:32

Yesu (AS) anakiri kuwa elimu yake ina mipaka finyu kinyume na Mungu, ambaye ni mjuzi wa kila kitu. Pia, hukumu ni ya Mungu peke yake anayetunza siri zote Yeye mwenyewe.

"Mwana hawezi kutenda neno mwenyewe ila lile ambalo amwona Baba analitenda; kwa maana yote ayatendayo yeye, ndiyo ayatendayo Mwana, ndiyo ayatendayo Mwana vile vile." Yohana 5:19

Hapa, Yesu (AS) anakiri kumtegemea Mungu.

"Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe; kama niskiavyo ndivyo nihukumuvyo; na hukumu yangu ni ya haki, kwa sababu siyatafuti mapenzi yangu mimi, bali mapenzi yake aliyenipeleka." Yohana 5:30

"Kwa kuwa mimi sikushuka kutoka mbinguni ili niyafanye mapenzi yangu, bali mapenzi yake aliyenipeleka." Yohana 6:38

"Basi Yesu akawajibu, akasema, Mafunzo yangu si yangu mimi, ila ni yake yeye aliyenipeleka." Yohana 7:16

"...na ya kuwa sifanyi neno kwa nafsi yangu, ila kama Baba alivyonifundisha ndivyo ninenavyo." Yohana 8:28

Yesu (AS) anaweka wazi sana kuwa Yeye ana upungufu wa nguvu takatifu. Yeye mwenyewe hawezi kufanya lolote kwa kuwa Mungu pekee ndiye chanzo cha nguvu na mamlaka.

"Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, mtu ambaye nimewaambia iliyo kweli, niliyoisikia kwa Mungu..." Yohana 8:40

Yesu (AS) ameungama kuwa Yeye alikuwa ni Mjumbe anayetimiza kazi aliyoamrishwa na Mkuu.

Ziada, Mtume Yesu (AS) anasema: "Yesu akamwambia, usinishike, kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu." Yohana 20:17

Aya hii inatia nanga (inaumaliza) UTATU na IMANI YA MUNGU KUWA NA MWILI.

Inaonesha mahusianao ya Yesu (AS) na Mungu kuwa ni kama ya binadamu yoyote yule yaani kusali na kuomba msaada toka Kwake.
 
All in all, huyo YESU WA BIBLIA NI TOFAUTI NA ISA WA QURAN

Unanukuu vifungu , hujui hata maana yake
 
Jaribu kutumia maneno mengine ya kufundisha chekechea labda nitakuelewa mwl.


Swali :

Kwani Mungu wa Agano la kale ndiye huyo huyo Mungu wa Agano jipya ???

Unasema kihistoria huwa Mungu anawashughulikia , ungalileta aya kutoka ndani ya biblia kuthibitisha kuwa wa Mungu atawashughulikia.
 
All in all, huyo YESU WA BIBLIA NI TOFAUTI NA ISA WA QURAN

Unanukuu vifungu , hujui hata maana yake



UKOO WA YESU

Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s. alikuwa Nabii wa Mungu.

Na manabii wote ni watukufu na wapendwa wa Mwenyezi Mungu. Wanatoka kutoka koo takatifu.

Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza kwamba:

A. Masihi bin Mariamu siye ila ni Mtume tu, bila shaka mitume wote wamekwisha fariki kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli. (Qur'an 5:76).

B. (Ewe Mariam) baba yako hakuwa mtu m’baya wala mama yako hakuwa asherati. (Qur'an 19:29).

Kwa hiyo sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vile wazee wake.

Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia, tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana.

Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia, Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu.

Biblia inasema kwamba:
1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu.

Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.

Na kama Wakristo wanang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:

“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).

Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi cha wazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu.

Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnamtegemea nini?

Karibuni, Muhammad s.a.w. mfano wa Musa anawakaribisheni kwa mikono miwili.

Kama mnaona kwamba Yesu Kristo ni mtakatifu lakini Biblia imechafuka kwa mikono ya waandishi, pia karibuni katika dini ya Kiislamu.

Qur'an kitabu cha Mungu kitawatoshelezeni.

Maana sasa hakuna njia ya kusalimika isipokuwa katika dini ya Kiislam. Kwahiyo karibuni sana
 
All in all, huyo YESU WA BIBLIA NI TOFAUTI NA ISA WA QURAN

Unanukuu vifungu , hujui hata maana yake


Umeona shetani ni mbaya sana jamaa kafungiwa kwenye kibuyu kangangana kunukuu mistari kibao eti anajenga hoja.

Cha ajabu sasa kahepa ule mstari maarufu. "Mimi ndimi njia kweli na uzima mtu haji kwa baba yangu ila kwa njia yangu" Hakuna njia nyingine ya kufika kwa Mungu ni kujidanganya na upotevu mkuu eti kuna mbadala wa Bwana Yesu kama wataka ukifa uuone ufalme wa Mungu, ndio hakuna mbadala.
 
Mimi wala sina maneno mengi na taka tu kujua ulibahatika/ulipata bahati ya kupitia madrasa? Ukafuta umaauma.


 
Jaribu kutumia maneno mengine ya kufundisha chekechea labda nitakuelewa mwl.


Pole yaelekea Mapadri wamefanya kitu yao mbaya kwani hapo nimekuuliza maswali na kiswahili kinakupiga chenga- POLE SANA

HATA HIVYO JARIBU KUMUULIZA PADRI WAKO HAYA MASWALI aU YULE BOSI ANAYEKUONGOZA ROHO MTAKATIFU WAKO JARIBU KUMUULIZA

Swali :

Kwani Mungu wa Agano la kale ndiye huyo huyo Mungu wa Agano jipya ???

Unasema kihistoria huwa Mungu anawashughulikia , ungalileta aya kutoka ndani ya biblia kuthibitisha kuwa wa Mungu atawashughulikia.
 


John 1:18: No man hath seen God at any time,


Exodus 33:20: And he said, Thou canst not see my face: for there shall no man see me, and live


So those verses make it crystal clear that no man has seen God at any time, and that no man can see his face, and if any do they shall then die.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…