Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
Si wako , kama umepigwa je ...Hakuna mtoto halali kwako unampata kwa wizi (njia isiyokuwa sahihi)Siwezi kujifunza ujinga😁😁 Mtoto niliyezaa nje ya ndoa unaniambia siyo wangu ni wa mwanamke na ni wa haramu tena kwa dini yako naruhusiwa nimuoe.😁😁😁😁
Hata shetani na majini watakuambia huyo ni mtoto wako.