Kidini unaruhusiwa kumuoa mtoto wa nje ya ndoa - Sheikh Kulunge

Kidini unaruhusiwa kumuoa mtoto wa nje ya ndoa - Sheikh Kulunge

Siku hizi uchafu uchafu kwamba mama yake umhomondole na ua lako

Hii ni zaidi ya kupiga nyeto

😂😂😂

Hata shetwani anakaa kwanza anaanza kuangalia ajifunze
 
Ndio maana unabweka kama Mbwa , unajichekesha kwa vitu wala havichekeshi ...Tulia , unakurupuka .

Kama hivyo , basi mtu akijipatia mali za wizi , mbona unalaumu viongozi wakiiba pesa kwani pesa zina tatizo gani si wamezipata ili watumie ....Mtoto huyo , jiulize tu utawezaje kumleta kwenye familia yako , yaani ndoa yako ,kamuulize mkeo au mjaribu mwambie kuna mtoto nimezaa nje nataka kumleta hapa kwangu .

Dini imempa haki , ungetulia ukaambia sio kujichekesha kama umekalia kipisi..Wengine tunao hapa ni watu wakubwa , wamewaficha hao watoto kama ni halali kwa nn umfiche.
Mjinga mwenzako huyu alifuata dini ya haki😄😄. Utasema hii ni AI, sasa jichanganye kama Mudy alivyooa binti wa miaka 9 ndiyo utaona mafundisho ya haki😄😄😄😄. Ana bahati Mudy alifanya kitambo ingekuwa sasa hivi naye 30 ilikuwa inamhusu😄😄😄😄
Endelea kutetea ujinga😄😄😄😄
Screenshot_20261005-171947 (2).jpg

Screenshot_20261005-171939 (1).jpg
 
Unabishana na sheikh wako?
Huyo ni mwanazuoni anajua anachoongea..!
Tatizo wengi hamtaki kusikia kile kinachohusu imani zenu..!! 😹😹😹
Dini yetu hatusikilizi watu zaidi ya Mtume (S.A.W), na kufuata Quran.
 
View attachment 3644631
"Kwa mfano Diamond kazaa na mwanamke A mtoto wa kike ambae ni damu yake kabisaa kisheria za dini anaruhusiwa kumwoa mtoto yule kwasababu ni wa nje ya ndoa alipatikana kwa njia ya uzinifu, ndo uone kwamba namna gani zinaa Mungu ameikataza"

Sheikh Kulunge

Bila haya unamuoa mtoto wako...uzinzi uliopitiliza
 
Nimesoma mara tatu na kumuelewa mantiki yake. Hainiingii akilini, Mtu kumuoa mtoto wake.

Ila ujumbe wake hapa:

"ndo uone kwamba namna gani zinaa Mungu ameikataza"

Anaeleza namna gani Mungu haipendi zinaa na hata atokanae na zinaa machoni pa Mungu hatambuliki na thamani yako ni duni mbele ya mtoto wa ndani ya ndoa.

Ujumbe wake ulikuwa ni mzuri, sema uwasilishaji duni.
 
Kwani Sharia Laws mnazipata wapi wakati hazijaandikwa kwenye Quruani?
 
Back
Top Bottom