Kidini unaruhusiwa kumuoa mtoto wa nje ya ndoa - Sheikh Kulunge

Kazi ya Akili n kudhibit iman.
Iman n kama farasi pori, ambae hauishii tu kumpanda bali n kuwa na kamba yakumdhibit asikupoteze au asikuletee majanga.

Zawad kubwa tuliyopewa na Mungu na ndo inayotutofautisha na viumbe wengne wote n akili na sio iman.
Kuamin bila kuchanganya na zako n ujinga wa kiwango cha juu sana.

Mtu anayetumia akili vizuri ata kutunga iyo sheria ya kulala na damu yako haijalish kapatikana vp.
Na apo sio Mungu, Mungu hawez kuweka sheria ya namna iyo maana Mungu n Ufaham Timilifu.
 
Unajua maana ya kutakatisha fedha ?
Kutakatisha pesa kuna uhusisno gani na mambo ambyo ni biological?

Ukizaa mtoto owe ndani ya ndoa au nje ya ndio hiyo ni biological hakuna njia nyingine yoyote utaweza kukataa si mtoto wako kwa sababu ulijamiiana ulimwaga sperms mtoto akazaliwa

Nafahami kuwa kutumia logic kwenye Imani hairuhusiwi, lakini hata hili jamani?
 
Hata ugonoke msikitini mara bilion 3 huyo mtoto atabaki kuwa wako😄😄😄
Hawa watu wanashangaza, mtoto kuwa wako au si wako ni suala biological. Hakuna njia nyingine ya kuthibitisha au kukataa kuwa mtoto ni wako au si wako

Hii Imani waliambiwa hakuna kutumia logic kwa sababu ukitumia logic tu utakataa mambo mengi kama haya na mwisho wa siku utaanza kudoubt kuhusu Allah.

Imagine hii Imani inaaminisha wafuasi wake kuwa wakienda peponi wanapewa mabikra ambao bikra zao zitakua zonanirudi Kila baada ya tendo. Wanaambiwa maskini wa peponi atapewa bikra watatu. Bado wanaamini
 
Inatakiwa ukapimwe akili kwasababu haupo sawa kwasababu unataka kumoa😄😄😄😄

Hata ukimwambia shetani atakuambia huyo ni mtoto wako. Hata ukitumia teknolojia kama DNA itathibitisha huyo ni mwanao.

Wewe unataka kumuoa kwasababu siyo mtoto wako😄😄😄😄
Mafundisho ya shetani haya.
 
Hawa watu wanashangaza, mtoto kuwa wako au si wako ni suala biological. Hakuna njia nyingine ya kuthibitisha au kukataa kuwa mtoto ni wako au si wako

Hii Imani waliambiwa hakuna kutumia logic kwa sababu ukitumia logic tu utakataa mambo mengi kama haya na mwisho wa siku utaanza kudoubt kuhusu Allah.

Imagine hii Imani inaaminisha wafuasi wake kuwa wakienda peponi wanapewa mabikra ambao bikra zao zitakua zonanirudi Kila baada ya tendo. Wanaambiwa maskini wa peponi atapewa bikra watatu. Bado wanaamini
Kama haya ni mafundisho ya dini ya Allah basi atuombe radhi.
Mimi kwa hili sipo pamoja na huyo jamaa.
 
Kutakatisha pesa kuna uhusisno gani na mambo ambyo ni biological?

Ukizaa mtoto owe ndani ya ndoa au nje ya ndio hiyo ni biological hakuna njia nyingine yoyote utaweza kukataa si mtoto wako kwa sababu ulijamiiana ulimwaga sperms mtoto akazaliwa

Nafahami kuwa kutumia logic kwenye Imani hairuhusiwi, lakini hata hili jamani?
Nimekuuliza swali , unashindwa kujibu , unasema bailojia ..Sasa ukijipatia pesa kwa njia haramu , hata biashara ikawa haramu basi hukumu yake kwanza ni kutaifishwa zile pesa , japo pesa hazina makosa .

Mtoto wa nje ya ndoa kapatikana kwa njia ya uzinifu sio halali , mtoto hana kosa ila baba hana umiliki wa mtoto yule , mtoto anachukua upande wa mama tu .
 
Hawa watu wanashangaza, mtoto kuwa wako au si wako ni suala biological. Hakuna njia nyingine ya kuthibitisha au kukataa kuwa mtoto ni wako au si wako

Hii Imani waliambiwa hakuna kutumia logic kwa sababu ukitumia logic tu utakataa mambo mengi kama haya na mwisho wa siku utaanza kudoubt kuhusu Allah.

Imagine hii Imani inaaminisha wafuasi wake kuwa wakienda peponi wanapewa mabikra ambao bikra zao zitakua zonanirudi Kila baada ya tendo. Wanaambiwa maskini wa peponi atapewa bikra watatu. Bado wanaamini
Mtu anajua ameoa, anaenda kwa mwanamke ambaye siyo mkewe. Analala naye tena bila kinga. Mtoto anazaliwa siyo wako tena kwa dini unaruhusiwa kumuoa na haruhusiwi kupewa urithi wowote kwasababu ni mtoto wa zinaa. Hapo mtoto ana makosa gani?

Nimekulia kwenye jamii ya wakristo wengi. Nimeshuhudia, mtoto au watoto hao wana haki zote kisheria kama watoto wa ndani ya ndoa. Tena ukiacha kumuhudumia, utaletewa watoto kwako au kwa wazazi wako uwatunze hata kushitakiwa ustawi wa jamii
 
Mafundisho ya shetani haya.
Mtoto wa nje ana haki zote kama alivyo mtoto wa ndani ya ndoa.

Urithi, elimu na huduma zingine muhimu anatakiwa apewe kama watoto wa ndani ya ndoa kwasababu ni mtoto au watoto wa kwenye kiuno chako.

Uzae mtoto nje ya ndoa na useme huyo mtoto ni haramu siyo wako😄. Hata shetani mwenyewe atakukataa kwenye hili
 
Kweli kama kidini cha Allah na huyo sheikh ni rukhsa kwao basi wao ndo walaaniwe. Huwezi oa mtoto wako eti Allah karuhusu.
 
Nimekuuliza swali , unashindwa kujibu , unasema bailojia ..Sasa ukijipatia pesa kwa njia haramu , hata biashara ikawa haramu basi hukumu yake kwanza ni kutaifishwa zile pesa , japo pesa hazina makosa .

Mtoto wa nje ya ndoa kapatikana kwa njia ya uzinifu sio halali , mtoto hana kosa ila baba hana umiliki wa mtoto yule , mtoto anachukua upande wa mama tu .
Huo mfano ulioutoa hauendani na suala mtoto.

Mtoto anachukua upande wa mama😄😄
Kwahiyo baba hana makosa. Acha kumeza mafundisho ya uongo
 
Sioni hata wewe kama swali lako lina logic, labda kama ungetaka kujifunza sio kujichkesha kama umekali kitu..Nimekuambia , baba kampata mtoto kwa njia haramu kwa sababu njia la halali ipo ambayo ni ndoa ..Huyo mtoto ni halali kwa yule aliyemzaa.

Kaangalie watoto wa nje ya ndoa huko mitaani uone.
 
Hata usemeje , msimamo ni ule ule ..Kharamu ni kharamu.
Kwa kuwa umekaririshwa hivyo nafikiri hapo ushamuoa huyo mtoto uliyezaa nje ya ndoa.

Shida mnaruhusiwa kufanya zinaa ila kwenye matokeo ya zinaa nyie watakatifu😁😁

Kuna masheikh wengi kabla ya kuoa, wamezalisha watoto na akishaoa anazalisha watoto kisa dini yake inamuambia mtoto wa nje siyo wake

Ukipata ukimwi kwa kufanya zinaa, napo utasema ukimwi siyo wako😄😄😄
 
Sioni hata wewe kama swali lako lina logic, labda kama ungetaka kujifunza sio kujichkesha kama umekali kitu..Nimekuambia , baba kampata mtoto kwa njia haramu kwa sababu njia la halali ipo ambayo ni ndoa ..Huyo mtoto ni halali kwa yule aliyemzaa.

Kaangalie watoto wa nje ya ndoa huko mitaani uone.
Siwezi kujifunza ujinga😁😁 Mtoto niliyezaa nje ya ndoa unaniambia siyo wangu ni wa mwanamke na ni wa haramu tena kwa dini yako naruhusiwa nimuoe.😁😁😁😁

Hata shetani na majini watakuambia huyo ni mtoto wako.
 
Sioni hata wewe kama swali lako lina logic, labda kama ungetaka kujifunza sio kujichkesha kama umekali kitu..Nimekuambia , baba kampata mtoto kwa njia haramu kwa sababu njia la halali ipo ambayo ni ndoa ..Huyo mtoto ni halali kwa yule aliyemzaa.

Kaangalie watoto wa nje ya ndoa huko mitaani uone.
Siyo kila mtoto wa nje ni wa mitaani. Ulivyokaririshwa mafundisho ya uongo umegeuka kuwa mnyama. Hauna uchungu na damu yako kabisa.

Utakuja sema Ukimwi uliopata baada ya kuzini siyo wako, hapo ulipo hauna Ukimwi😁😁😁
 
Back
Top Bottom