antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Sheria ya kutompa nasaba mtoto wa zinaa ilikuwepo kama adhabu na deterrent kwa wazazi ili waogope kufanya ngono zembe. Sasa inakuwaje hiyo adhabu igeuke kuwa fursa ya baba kumuoa binti yake mwenyewe?
Sheria ya kutompa nasaba mtoto wa zinaa ilikuwepo kama adhabu na deterrent kwa wazazi ili waogope kufanya ngono zembe. Sasa inakuwaje hiyo adhabu igeuke kuwa fursa ya baba kumuoa binti yake mwenyewe?
Huyo ni binti uliyemzaa wewe, anakujua kama baba yake wa kibiolojia tangu utotoni. Kisaikolojia, hawezi kuwa na maamuzi huru mbele yako kwa sababu ya nafasi uliyonayo kwake kama mzazi. Unaposema kama binti amependa, unajua kabisa kisaikolojia hiyo inaitwa grooming au manipulation ya mtoto wako mwenyewe?Adhabu kiaje?
Ndoa sio adhabu Mkuu. Ni makubaliano. Kama binti kampenda. Why not wakati sheria haiwakatazi?
Kumbuka Ndoa ni suala la kisheria. Halihusiani na damu
Na unapoandika sheria haiwakatazi, unazungumzia sheria ipi?Adhabu kiaje?
Ndoa sio adhabu Mkuu. Ni makubaliano. Kama binti kampenda. Why not wakati sheria haiwakatazi?
Kumbuka Ndoa ni suala la kisheria. Halihusiani na damu
Sheria gani ?Sheria inaruhusu
Tunaomba ufafanuzi sasa.Sheria ya kutompa nasaba mtoto wa zinaa ilikuwepo kama adhabu na deterrent kwa wazazi ili waogope kufanya ngono zembe. Sasa inakuwaje hiyo adhabu igeuke kuwa fursa ya baba kumuoa binti yake mwenyewe?
Dah ila hawa wenzetu mambo ya ngono yanawachukulia muda sana
Sheria gani ?
Astaghifilullah!Laana kum!Shekhe Kulunge, ameibua mjadala mkubwa baada ya kueleza kuwa kisheria mtu anayo haki ya kumuoa mtoto wake wa kike aliyemzaa nje ya ndoa au kwa njia ya zinaa.
Shekhe Kulunge amebainisha kuwa ingawa ni damu yake, sheria za dini zinaruhusu ndoa hiyo kwa sababu mtoto wa zinaa hana nasaba ya kisheria na baba yake wa kumzaa. Mjadala huu umeamsha hisia tofauti na mijadala mizito miongoni mwa jamii.
Tusikie toka kwa msomi wa Dini. Jinsi ambavyo allah anachukia zinaa amehalalisha kuwa kama itatokea ukazaa nje ya ndoa. Mtoto wa zinaa au kharamu. Akakua ukampenda unaweza mwoa. Unaruhusiwa kwa sheria ya Dini.
Hii nadhani imekaa poa sana. Au nyie mnasemaje?