Kidini unaruhusiwa kumuoa mtoto wa nje ya ndoa - Sheikh Kulunge

Huo ni utashi ,bahati mbaya ni mleta uzi ni mkristo na wewe ni mkristo...Ukweli unabaki pale pale kwamba huyo sio mwanao ,ishu ya kuoa haipo ..Na kama ipo basi kuletwe hadith na mafundisho ya mtume ,huyo sio mtoto wako.

Uislamu uko too general .
Kaka huyo shekh naye ni mkristo?
 
Huyo mtoto sio wako ,katika uislamu haramu haiwezi kuwa halali hata siku moja ..Ishi ya kuoa haipo kwenye uislamu, yeye kaonesha kwamba sio mtoto wako kabisa ,tena hautakiwi kuwaza kama una mtoto huyo.

Huyo sio mwanao kabisa ni kama mtoto wa jirani ,kwa sababu hakuna jinsi kharamu itakuwa halali.
Kama ulitomb mwenyew ukaweka mimba mwenyewe anakuwaje siyo mtoto wako??!. Yaan, unaoa huku unajipa imani kwamba siyo wangu wakati kwa uhalisia ni mtoto wako alietokana na shahawa zako kabisa. Aisee imani mda mwingine ni ujinga, yaan hapa zunguka kooote huyo anakuwa ni mwanao tu labda iwe hukuweka mimba wewe. Mda mwingine kuna mambo yako kwenye imani ila yanatakiwa tuweke na akili kidogo si swala la kuamini tu maana mkipima DNA itaonesha ni mwanao kabisa ila et kisa imani unasema siyo mwanangu naoa na unatembeza ukuni kwa mwanao.😅😅Shenzi
 
Huwezi kuelewa mantiki kama una d ya kiswahili, hapo anahitajika mwenye A za physics, maths, chem, bios na agr.

Mwenye kuzingatia hawezi kuzaa mtoto wa nje ya ndoa...... that's the logic, mapunga nyie!!
Sasa hizi hasira za nini? Kwani mie ndio nilileta uzi?

Afu Sasa, hayo masomo yote sio O level wala A level nilipata A-B.

Poleee wee.
 
Hayo madhehebu ndio nayasikia leo,nipe ilmu kdg
Mkuu hayo madhehebu ndio nguzo kuu za sheria za Kiislamu kwa upande wa Sunnis duniani kote kwa karne zaidi ya 12 sasa, hapo kila dhehebu limepewa jina la Imam mkubwa aliyekuwa mwanazuoni mbobezi kama Imam Abu Hanifa, Imam Malik, na wengineo.

Kila unachokiona kinafanyika leo msikitini kuanzia jinsi ya kutawadha, kuswali, kurithi, hadi kufunga ndoa ujue kimechambuliwa na hawa jamaa. Huwezi kuongelea Islamic law bila kuwajua hao mabingwa.
 
Kama ulitomb mwenyew ukaweka mimba mwenyewe anakuwaje siyo mtoto wako??!. Yaan, unaoa huku unajipa imani kwamba siyo wangu wakati kwa uhalisia ni mtoto wako alietokana na shahawa zako kabisa. Aisee imani mda mwingine ni ujinga, yaan hapa zunguka kooote huyo anakuwa ni mwanao tu labda iwe hukuweka mimba wewe. Mda mwingine kuna mambo yako kwenye imani ila yanatakiwa tuweke na akili kidogo si swala la kuamini tu maana mkipima DNA itaonesha ni mwanao kabisa ila et kisa imani unasema siyo mwanangu naoa na unatembeza ukuni kwa mwanao.😅😅Shenzi
Ntakupa tu mfano mmoja ,pesa ukiipata kwa njia za utakatishaji hata useme ni yao ni haramu ,tena inataifishwa ...Kitu haramu ni haramu hakiwezi kuwa halali, matokea ya haramu ni haramu ,sheria zimenyooka japo watu wamepinda.
 
Mkuu hayo madhehebu ndio nguzo kuu za sheria za Kiislamu kwa upande wa Sunnis duniani kote kwa karne zaidi ya 12 sasa, hapo kila dhehebu limepewa jina la Imam mkubwa aliyekuwa mwanazuoni mbobezi kama Imam Abu Hanifa, Imam Malik, na wengineo.

Kila unachokiona kinafanyika leo msikitini kuanzia jinsi ya kutawadha, kuswali, kurithi, hadi kufunga ndoa ujue kimechambuliwa na hawa jamaa. Huwezi kuongelea Islamic law bila kuwajua hao mabingwa.
Ungejua na kuchambua biblia kama hivi usingekua kondoo
 
Ntakupa tu mfano mmoja ,pesa ukiipata kwa njia za utakatishaji hata useme ni yao ni haramu ,tena inataifishwa ...Kitu haramu ni haramu hakiwezi kuwa halali, matokea ya haramu ni haramu ,sheria zimenyooka japo watu wamepinda.
Unafananishaje pesa na binadam bhna. Hizo pesa unatengeneza wewe??! Huyo kiumbe ametokana na wewe kabisa. Kwani pesa tunaweza kupima tukajua ni zako?? Pesa ambazo sahizi ukinipa mimi zinakuwa zangu dk. 02 zinakuwa za mwenye duka la mangi. Hapa tunaongelea damu ambayo bado utaiacha inatembea kizazi na kizazi. So, kama siyo wako inamaana umeanzisha kizazi cha haram milele na milele??
 
Dini za waarabu na wazungu za uongo uongo tufate za mababu zetu hio kitu haiwezekani
 
Mkuu hayo madhehebu ndio nguzo kuu za sheria za Kiislamu kwa upande wa Sunnis duniani kote kwa karne zaidi ya 12 sasa, hapo kila dhehebu limepewa jina la Imam mkubwa aliyekuwa mwanazuoni mbobezi kama Imam Abu Hanifa, Imam Malik, na wengineo.

Kila unachokiona kinafanyika leo msikitini kuanzia jinsi ya kutawadha, kuswali, kurithi, hadi kufunga ndoa ujue kimechambuliwa na hawa jamaa. Huwezi kuongelea Islamic law bila kuwajua hao mabingwa.
Ahsante Mkuu,kwa ufupi umenielewesha vzr
 
Unafananishaje pesa na binadam bhna. Hizo pesa unatengeneza wewe??! Huyo kiumbe ametokana na wewe kabisa. Kwani pesa tunaweza kupima tukajua ni zako?? Pesa ambazo sahizi ukinipa mimi zinakuwa zangu dk. 02 zinakuwa za mwenye duka la mangi. Hapa tunaongelea damu ambayo bado utaiacha inatembea kizazi na kizazi. So, kama siyo wako inamaana umeanzisha kizazi cha haram milele na milele??
😅😅Ukataze zinaa halafu anayepatikana kwa zinaa awe halali ,akili za wapi hizo? Tumia akili kijana sio makalio ,huyo mtoto ni wa mama tu sio baba ...Mama ndiye ana uhakika ni mwanae , uislamu haujabass kwenye mushkeri
.
 
Shekhe Kulunge, ameibua mjadala mkubwa baada ya kueleza kuwa kisheria mtu anayo haki ya kumuoa mtoto wake wa kike aliyemzaa nje ya ndoa au kwa njia ya zinaa.

Shekhe Kulunge amebainisha kuwa ingawa ni damu yake, sheria za dini zinaruhusu ndoa hiyo kwa sababu mtoto wa zinaa hana nasaba ya kisheria na baba yake wa kumzaa. Mjadala huu umeamsha hisia tofauti na mijadala mizito miongoni mwa jamii.

Tusikie toka kwa msomi wa Dini. Jinsi ambavyo allah anachukia zinaa amehalalisha kuwa kama itatokea ukazaa nje ya ndoa. Mtoto wa zinaa au kharamu. Akakua ukampenda unaweza mwoa. Unaruhusiwa kwa sheria ya Dini.

Hii nadhani imekaa poa sana. Au nyie mnasemaje?

Huyo Sheikh amefanya direct translation from Arabic to swahili na inaonekana hana uelewa mpana kwa Elimu ya kawaida.

Yaani, kwa kuwa mtoto wa nje ya ndoa hatambuliki Kisheria basi yeye akatafsiri kuwa kwa vile hatambuliki basi hana tofauti na msichana mwingine ambaye mtu hana uhusiano naye?

Ukweli ni kuwa, tafsiri yake sio sahihi kwani Quran imekemea vikali kuhusu mtu kutaka kuoa mtu wa damu yake.....nafikiri kwa kiwango cha Elimu yake ya Sharia, anashindwa kuunganisha vifungu ili kupata tafsiri sahihi...
 
😅😅Ukataze zinaa halafu anayepatikana kwa zinaa awe halali ,akili za wapi hizo? Tumia akili kijana sio makalio ,huyo mtoto ni wa mama tu sio baba ...Mama ndiye ana uhakika ni mwanae , uislamu haujabass kwenye mushkeri
.
Ndo maana mkuu nikakwambia, huko kwenye imani wekeni na akili kidogo cause huyo mtoto ni ushirikiano wa watu wawili so kwanini baba asiwe mwanao?! Hapo mkipima inaonekana ni mtoto wenu halali kabisa ila sababu ya upumbavu wa dini na imani unamuondolea mtoto uhalali wa kuwa na baba which is siyo kosa lake huoni kama mtoto anadhurumiwa haki yake ya kuwa na wazizi wote wawili?
Waislam ni watu wakupiga kona na kufunga wenyewe. Mnajihalalishia kuoa watoto wenu wenyewe mliowazaa kupitia imani.
Basi hata huyo Issa/Yesu ni kweli mtoto wa zinaa kama wasemavyo Wayahudi yawezekana baba alinyang'anywa uhalali wa kuwa baba sababu ya zinaa.

Wazee walisemaga kitanda hakizai haram shekh wangu😅😅😅
 
Unashindwa kuelewa , mtoto huyo hana kosa na ni marufuku kumuita majina ya hovyo ila baba amepoteza uhalali wa mtoto hyo.

Mtoto ni mali ya mama mpaka ubini wake ..Kwisho katika sheria hiyo ndiyo hukumu yake ..
 
Hii ndo shida mkuu, kuhukumu uharisia kwenye vitu vyakufikirika.
 
Back
Top Bottom