Kidini unaruhusiwa kumuoa mtoto wa nje ya ndoa - Sheikh Kulunge

Kidini unaruhusiwa kumuoa mtoto wa nje ya ndoa - Sheikh Kulunge

Shekhe Kulunge, ameibua mjadala mkubwa baada ya kueleza kuwa kisheria mtu anayo haki ya kumuoa mtoto wake wa kike aliyemzaa nje ya ndoa au kwa njia ya zinaa.

Shekhe Kulunge amebainisha kuwa ingawa ni damu yake, sheria za dini zinaruhusu ndoa hiyo kwa sababu mtoto wa zinaa hana nasaba ya kisheria na baba yake wa kumzaa. Mjadala huu umeamsha hisia tofauti na mijadala mizito miongoni mwa jamii.

Tusikie toka kwa msomi wa Dini. Jinsi ambavyo allah anachukia zinaa amehalalisha kuwa kama itatokea ukazaa nje ya ndoa. Mtoto wa zinaa au kharamu. Akakua ukampenda unaweza mwoa. Unaruhusiwa kwa sheria ya Dini.

Hii nadhani imekaa poa sana. Au nyie mnasemaje?

Mjadala huu unahitaji elimu ya kina ya fiqhi, si hisia pekee. Kama kweli hukumu hiyo ipo katika baadhi ya mitazamo ya wanazuoni, ni muhimu kueleza dalili na mipaka yake vizuri. Kwa sababu suala la mtoto wa zinaa ni nyeti sana, tusichukulie kauli moja kama hukumu ya jumla bila kusikia ufafanuzi wa wanazuoni wengine.
 
Dini hairuhusu kumuoa mtoto wa kufika, yani mtoto ulie mchukua njee au kumuokota uka mlea wewe dini inakataza Leo hii huyu alie Toka kwenye mauno Yako? Hapo sifahamu tuwasikilize masheikh hao wana ilimu zaid
 
Iyo kauli ipo lakini haina mashiko na wala si sahihi kwa kutolea dalili kisa cha Jureyji kwa wanaofahamu... Yule mtoto mchanga alipoulizwa alisema baba yangu ni mchunga mbuzi fulani na hali ya kuwa mtoto huyo alipatikana kwa zinaa. Maulamaa wametolea dalili hapo kuwa mtoto wa zinaa ananasibishwa na baba yake na huyo ni baba yake halali.
 
Kwani kinachotambulisha kuwa huyu ni mwanao au si mwanau ni sheria ya dini au DNA?
 
😂😂😂hoja iliyopo mezani,me najua wewe una hadidu za rejea au?
 
Sasa hizi hasira za nini? Kwani mie ndio nilileta uzi?

Afu Sasa, hayo masomo yote sio O level wala A level nilipata A-B.

Poleee wee.
Tatizo lilianzia hapo kwenye B, mi nimesema lazima uwe na A. Kumbe haitoshi kwenye mjadala huu. Pole wewe, si Mimi.

Halafu sina hasira yoyote dada'angu, acha uoga. Hasira kwa lipo kwanza?!!!
 
Lakini kama kisheria, mtoto wa nje sio wako basi ni kweli unaweza ukamuoa.
Kwa sababu ndoa ni suala la kisheria
Na sio vinginevyo
sasa huyo mtoto kisheria sio wako sasa tatizo linakuja wapi ukimuoa?
Acheni upotoshaji.
Mnaongelea sheria ipi hiyo??

Sheria ndo inaharamisha "incest", ambayo ni mambo kama hilo.
 
Kama ulitomb mwenyew ukaweka mimba mwenyewe anakuwaje siyo mtoto wako??!. Yaan, unaoa huku unajipa imani kwamba siyo wangu wakati kwa uhalisia ni mtoto wako alietokana na shahawa zako kabisa. Aisee imani mda mwingine ni ujinga, yaan hapa zunguka kooote huyo anakuwa ni mwanao tu labda iwe hukuweka mimba wewe. Mda mwingine kuna mambo yako kwenye imani ila yanatakiwa tuweke na akili kidogo si swala la kuamini tu maana mkipima DNA itaonesha ni mwanao kabisa ila et kisa imani unasema siyo mwanangu naoa na unatembeza ukuni kwa mwanao.😅😅Shenzi
Imani zingine hizi ni mtihani sasa. Unapiga ukuni mwanao kabisa,hivi watu wa hivi ukimuachia mtoto wako kama jirani au ndugu ukasema mtoto akasalimie mjomba au bamkubwa si utakuta limetomba mtoto?🤔
 
Kama kisheria huyo sio mtoto wako. Iweje kisheria usiruhusiwe kumuoa?
Hakuna hiyo sheria unayosema wewe.
Em pitia maelezo ya Kisheria hapa chini ili siku ukipigwa mvua 30 usiseme hukujua..
👇

SHERIA YA NDOA NCHINI TANZANIA:

Kwa mujibu wa Sheria ya Ndoa (The Law of Marriage Act, Cap. 29), kifungu cha 14 kinakataza waziwazi ndoa kati ya watu wenye uhusiano wa damu au koo za karibu.

MTOTO WA KUZAA:
Sheria inakataza mzazi kuoa au kuolewa na mtoto wake wa kumzaa au wa kumfunga.

NDUGU WA DAMU:
Hairuhusiwi kuoa au kuolewa na ndugu wa karibu kama vile kaka, dada, mzazi, babu, bibi, mjomba, shangazi, mpwa, au binamu wa karibu kulingana na daraja la undugu uliowekwa kisheria.

UHUSIANO WA KUASILI (ADOPTION):
Sheria pia inakataza ndoa kati ya mtu na mtoto aliyemuasili au mtu aliyemwachia malezi hayo ya kisheria.

HALI YA KUZALIWA:
Sheria haijalishi mtoto amezaliwa ndani au nje ya ndoa; marufuku ya undugu wa damu inabaki pale pale.
 
View attachment 3644631
"Kwa mfano Diamond kazaa na mwanamke A mtoto wa kike ambae ni damu yake kabisaa kisheria za dini anaruhusiwa kumwoa mtoto yule kwasababu ni wa nje ya ndoa alipatikana kwa njia ya uzinifu, ndo uone kwamba namna gani zinaa Mungu ameikataza"

Sheikh Kulunge
Screenshot_20260808_083139_Google.jpg
 
Tatizo lilianzia hapo kwenye B, mi nimesema lazima uwe na A. Kumbe haitoshi kwenye mjadala huu. Pole wewe, si Mimi.

Halafu sina hasira yoyote dada'angu, acha uoga. Hasira kwa lipo kwanza?!!!
Poleee.
 
Back
Top Bottom