Kidini unaruhusiwa kumuoa mtoto wa nje ya ndoa - Sheikh Kulunge

Kidini unaruhusiwa kumuoa mtoto wa nje ya ndoa - Sheikh Kulunge

Sheria ya kutompa nasaba mtoto wa zinaa ilikuwepo kama adhabu na deterrent kwa wazazi ili waogope kufanya ngono zembe. Sasa inakuwaje hiyo adhabu igeuke kuwa fursa ya baba kumuoa binti yake mwenyewe?
Huu ndio ukweli na si vinginevyo
 
Wewe utoke na kanzu yako wakati unajua umeoa, umtongozee mwanamke. Ulale naye tena upige kavu mpaka uzae nae. Mtoto akipatikana siyo wako kwasababu ni wa nje ya ndoa😀😀😀😀 Unataka umoe kwasababu wewe hauna dhambi ila mtoto ndiyo ana dhambi😀😀😀😀
Dini zingine zinahitaji waumini wao wapimwe kwanza akili😀😀😀
Mtoto sio wako , hakuna njia ya kumuhalalisha.
 
Kwanini madhehebu makubwa kama Hanafi, Maliki, na Hanbali yanakataza na kupiga marufuku kabisa ndoa ya aina hiyo ?

Wewe unaongelea sheria ya uislamu gani ?

Muislamu yeyote ajaribu kuja kwenda mahakama ya kadhi hapa Tanzania au nchi yoyote ya Kiislamu duniani akaombe afungishwe ndoa na binti aliyemzaa nje ya ndoa aone kama atatoka salama.
Hakuna anaeweza kumuoa mtoto wake, bali ilikuwa ni kuwatisha watu na kuonyeaha ubaya wa kuzaa nje ya ndoa
Kwa hiyo wakaweka msisitizo kuwa atakae zaa nje ya ndoa basi anaweza hata kumuoa

Lakini sio eti afunge nae ndoa
Huyo Shehe hajaeleza inavyotakiwa
 
Imani zingine hizi ni mtihani sasa. Unapiga ukuni mwanao kabisa,hivi watu wa hivi ukimuachia mtoto wako kama jirani au ndugu ukasema mtoto akasalimie mjomba au bamkubwa si utakuta limetomba mtoto?🤔
😹😹😹😹 Nimecheka mpaka machozi…!!
 
Wakati roman catholic wana design hili dhehebu kupambana na ukristo pinzani mashariki hasa orthodox waliacha hii mianya ya kimaandiko na hadithi za kishenz shenz kama mlango wa kutokea endapo hii dini itakuja kupata nguvu!
Haina tofauti na aliyedesign eptein project kwa kuingiza ulawiti wa watoto na cult ya kimkakati ya kula nyama za watu!
Leo hii imegeuka silaha nyeti!
Nakubaliana na wewe..!!

Waislamu walichezewa mchezo.
 
View attachment 3644631
"Kwa mfano Diamond kazaa na mwanamke A mtoto wa kike ambae ni damu yake kabisaa kisheria za dini anaruhusiwa kumwoa mtoto yule kwasababu ni wa nje ya ndoa alipatikana kwa njia ya uzinifu, ndo uone kwamba namna gani zinaa Mungu ameikataza"

Sheikh Kulunge
😹😹😹 Hizi Imani zingine ni za kufutwa..!!

Unamtomba vipi mtoto wako wa kumzaa?
Ndiomana ubakaji hauishi mitaani..!!
 
Waisilamu walijitahidi sana kuficha au kuyaremba maandiko yao yenye ukakasi. Lakini kwa sasa kuna kizazi fulani cha waisilamu friji lao limeshindwa kugandisha, wanaanika mambo hadharani.
 
Mtoto sio wako , hakuna njia ya kumuhalalisha.
Inatakiwa ukapimwe akili kwasababu haupo sawa kwasababu unataka kumoa😄😄😄😄

Hata ukimwambia shetani atakuambia huyo ni mtoto wako. Hata ukitumia teknolojia kama DNA itathibitisha huyo ni mwanao.

Wewe unataka kumuoa kwasababu siyo mtoto wako😄😄😄😄
 
View attachment 3644631
"Kwa mfano Diamond kazaa na mwanamke A mtoto wa kike ambae ni damu yake kabisaa kisheria za dini anaruhusiwa kumwoa mtoto yule kwasababu ni wa nje ya ndoa alipatikana kwa njia ya uzinifu, ndo uone kwamba namna gani zinaa Mungu ameikataza"

Sheikh Kulun

Kwahiyo watoto wa single maza rukhsa kuoa mama zao?
 
Hakuna anaeweza kumuoa mtoto wake, bali ilikuwa ni kuwatisha watu na kuonyeaha ubaya wa kuzaa nje ya ndoa
Kwa hiyo wakaweka msisitizo kuwa atakae zaa nje ya ndoa basi anaweza hata kumuoa

Lakini sio eti afunge nae ndoa
Huyo Shehe hajaeleza inavyotakiwa
Quran imeshushwa kutoka kwa Allah(kwa maelezo yenu)
Hivyo unamaanisha Allah aliweka hayo maneno kutishia tu wanaozaa nje ya ndoa hakua anamaanisha? Kwa nini atishie tu ikiwa mtu atayetenda dhambi Kuna adhabu yake?

Ukiachana na hili ambalo umesema liliwekwa kutishia tu, yapi mengine yamewekwa kwa lengo la kutishia?
 
Kuna Masheikh na Shehena hili ni shehena kabisa. Sidhani kama akiulizwa athibitishe hoja yake Quran na Sunnah kama anaweza. Maana Waislamu tumeachiwa vitu viwili ambavyo tuliambiwa tukivifuata hatutapotea, navyo ni Quran na Sunnah.

Wangemwambia alete ushahidi wa kutoka sehemu hizo, kama ni hadithi alete iliyomo ndani ya vitabu sita vya Sahih kuthibitisha hilo.

Kwenye dini nilishakataa katakata kusikiliza maneno ya mtu anayejiita kiongozi wa dini akiyaita mawaidha, nafuata vitabu na maamrisho tuliyoachiwa. Siku hizi watu wanaongea wasikike wameongea na si kulingania imani
Unabishana na sheikh wako?
Huyo ni mwanazuoni anajua anachoongea..!
Tatizo wengi hamtaki kusikia kile kinachohusu imani zenu..!! 😹😹😹
 
Inatakiwa ukapimwe akili kwasababu haupo sawa kwasababu unataka kumoa😄😄😄😄

Hata ukimwambia shetani atakuambia huyo ni mtoto wako. Hata ukitumia teknolojia kama DNA itathibitisha huyo ni mwanao.

Wewe unataka kumuoa kwasababu siyo mtoto wako😄😄😄😄
We cheka mpaka ujambe, huyo ni mtoto haramu kwako.
 
Mm nadhan hii dini ililetea hukumu hiyo kuonesha ubaya wa zinaa kwamba tusizae nje ya ndoa ni baba gan anaweza kukubali kuoa mwanae?
Hapo huoni unadhalilisha hii dini? Kwa sababu unaionyesha kuwa sio dini serious inaweka hayo mambo kwa lengo la kutishia tu wala hawamaanishi hivyo

Maswali yangu yanapenda kujua je kuna mengine yapi ambayo hii dini imeyaweka kama mzaha tu kutishia kama walivyofanya kwenye hili?
 
Huyo mtoto sio wako ,katika uislamu haramu haiwezi kuwa halali hata siku moja ..Ishi ya kuoa haipo kwenye uislamu, yeye kaonesha kwamba sio mtoto wako kabisa ,tena hautakiwi kuwaza kama una mtoto huyo.

Huyo sio mwanao kabisa ni kama mtoto wa jirani ,kwa sababu hakuna jinsi kharamu itakuwa halali.
Kwahiyo ruksa? 😹
Nyie hata kuwaachia watoto ni hatari..!!
 
Hapo huoni unadhalilisha hii dini? Kwa sababu unaionyesha kuwa sio dini serious inaweka hayo mambo kwa lengo la kutishia tu wala hawamaanishi hivyo

Maswali yangu yanapenda kujua je kuna mengine yapi ambayo hii dini imeyaweka kama mzaha tu kutishia kama walivyofanya kwenye hili?

Sasa imeshakataza zinaa na kutoa adhabu kali kwa watu wanao zini hiyo ya kulala
Ma mtoto mm kwa upande wang nahisi ilitolewa ili watu waogope
Kua hili jambo sio zuri kwa jamio
 
Back
Top Bottom