Kidini unaruhusiwa kumuoa mtoto wa nje ya ndoa - Sheikh Kulunge

Kidini unaruhusiwa kumuoa mtoto wa nje ya ndoa - Sheikh Kulunge

Shekhe Kulunge, ameibua mjadala mkubwa baada ya kueleza kuwa kisheria mtu anayo haki ya kumuoa mtoto wake wa kike aliyemzaa nje ya ndoa au kwa njia ya zinaa.

Shekhe Kulunge amebainisha kuwa ingawa ni damu yake, sheria za dini zinaruhusu ndoa hiyo kwa sababu mtoto wa zinaa hana nasaba ya kisheria na baba yake wa kumzaa. Mjadala huu umeamsha hisia tofauti na mijadala mizito miongoni mwa jamii.

Tusikie toka kwa msomi wa Dini. Jinsi ambavyo allah anachukia zinaa amehalalisha kuwa kama itatokea ukazaa nje ya ndoa. Mtoto wa zinaa au kharamu. Akakua ukampenda unaweza mwoa. Unaruhusiwa kwa sheria ya Dini.

Hii nadhani imekaa poa sana. Au nyie mnasemaje?

Sheikh yupo sahihi kabisa. Inategema unaamini katika madheheb gani mfano Shafii wao wanasema unaweza kumuoa mtoto wako wa nje ya ndoa

Wanazuoni wa Kiislam bado wanabishana kuhusu hili.
Soma hii publication utajipatia mawili, matatu kuhusu hili jambo

loose Nut
 
Attachments

Wakati roman catholic wana design hili dhehebu kupambana na ukristo pinzani mashariki hasa orthodox waliacha hii mianya ya kimaandiko na hadithi za kishenz shenz kama mlango wa kutokea endapo hii dini itakuja kupata nguvu!
Haina tofauti na aliyedesign eptein project kwa kuingiza ulawiti wa watoto na cult ya kimkakati ya kula nyama za watu!
Leo hii imegeuka silaha nyeti!
 
Huyo mtoto sio wako ,katika uislamu haramu haiwezi kuwa halali hata siku moja ..Ishi ya kuoa haipo kwenye uislamu, yeye kaonesha kwamba sio mtoto wako kabisa ,tena hautakiwi kuwaza kama una mtoto huyo.

Huyo sio mwanao kabisa ni kama mtoto wa jirani ,kwa sababu hakuna jinsi kharamu itakuwa halali.
 
Sheria ya Dini yao.
Kwanini madhehebu makubwa kama Hanafi, Maliki, na Hanbali yanakataza na kupiga marufuku kabisa ndoa ya aina hiyo ?

Wewe unaongelea sheria ya uislamu gani ?

Muislamu yeyote ajaribu kuja kwenda mahakama ya kadhi hapa Tanzania au nchi yoyote ya Kiislamu duniani akaombe afungishwe ndoa na binti aliyemzaa nje ya ndoa aone kama atatoka salama.
 
Hujamsikia lakini aliyetoa post hapo
 
Wavaa kobazi na kanzu mnaitwa huku kwa ufafanuzi zaidi.
Huwezi kuelewa mantiki kama una d ya kiswahili, hapo anahitajika mwenye A za physics, maths, chem, bios na agr.

Mwenye kuzingatia hawezi kuzaa mtoto wa nje ya ndoa...... that's the logic, mapunga nyie!!
 
Mi nakula, naoa hata kama nani kikubwa asiwe ndgu wa damu an kutoka tumbon
Sheria ya dini ya kiislam inassma kula tu tena mle kwa staili flan hivi ya tanganian

Mtoto wa nje ndoa na aliwe tu
 
Sheria ya dini ya kiislam inassma kula tu tena mle kwa staili flan hivi ya tanganian

Mtoto wa nje ndoa na aliwe tu
Huo ni utashi ,bahati mbaya ni mleta uzi ni mkristo na wewe ni mkristo...Ukweli unabaki pale pale kwamba huyo sio mwanao ,ishu ya kuoa haipo ..Na kama ipo basi kuletwe hadith na mafundisho ya mtume ,huyo sio mtoto wako.

Uislamu uko too general .
 
Kwanini madhehebu makubwa kama Hanafi, Maliki, na Hanbali yanakataza na kupiga marufuku kabisa ndoa ya aina hiyo ?

Wewe unaongelea sheria ya uislamu gani ?

Muislamu yeyote ajaribu kuja kwenda mahakama ya kadhi hapa Tanzania au nchi yoyote ya Kiislamu duniani akaombe afungishwe ndoa na binti aliyemzaa nje ya ndoa aone kama atatoka salama.
Hayo madhehebu ndio nayasikia leo,nipe ilmu kdg
 
Back
Top Bottom