Si wako , kama umepigwa je ...Hakuna mtoto halali kwako unampata kwa wizi (njia isiyokuwa sahihi)Siwezi kujifunza ujingaππ Mtoto niliyezaa nje ya ndoa unaniambia siyo wangu ni wa mwanamke na ni wa haramu tena kwa dini yako naruhusiwa nimuoe.ππππ
Hata shetani na majini watakuambia huyo ni mtoto wako.
Ndio maana unabweka kama Mbwa , unajichekesha kwa vitu wala havichekeshi ...Tulia , unakurupuka .Siyo kila mtoto wa nje ni wa mitaani. Ulivyokaririshwa mafundisho ya uongo umegeuka kuwa mnyama. Hauna uchungu na damu yako kabisa.
Utakuja sema Ukimwi uliopata baada ya kuzini siyo wako, hapo ulipo hauna Ukimwiπππ
Dah! Nimesikitika sana!Hawa viwawa wana umeme mdogo kwa kichwa mate.
Umewahi kuona alieoa mwanaeQuran imeshushwa kutoka kwa Allah(kwa maelezo yenu)
Hivyo unamaanisha Allah aliweka hayo maneno kutishia tu wanaozaa nje ya ndoa hakua anamaanisha? Kwa nini atishie tu ikiwa mtu atayetenda dhambi Kuna adhabu yake?
Ukiachana na hili ambalo umesema liliwekwa kutishia tu, yapi mengine yamewekwa kwa lengo la kutishia?
Soma Al Nisa itakupa jibu lakoQuran imeshushwa kutoka kwa Allah(kwa maelezo yenu)
Hivyo unamaanisha Allah aliweka hayo maneno kutishia tu wanaozaa nje ya ndoa hakua anamaanisha? Kwa nini atishie tu ikiwa mtu atayetenda dhambi Kuna adhabu yake?
Ukiachana na hili ambalo umesema liliwekwa kutishia tu, yapi mengine yamewekwa kwa lengo la kutishia?
Aliesoma dini hawezi kuufuataDah! Nimesikitika sana!
Tunavyohangaika kukemea ukatili kwa watoto wa kike, halafu anatokea sheikh anahalalisha..!!
Hivi anajua madhara ya kauli zake?
Ni wangapi hapo wataubeba ujinga wake na kwenda kuutekeleza? π₯
Siwezi kujua watu wote duniani wanafanya nini huko, hivyo kujua wapo waliooa au hawapo hiyo ni ngumuUmewahi kuona alieoa mwanae
Hilo haliwezekani kabisa
Ila kama sijaelewa basi na Mungu anisamehe
Kwa nini nisome AI ikiwa nimereply kwako wewe, au hukuwa na uhakika wa ulichoandika?Soma Al Nisa itakupa jibu lako
Hakuna sehemu kwenye kitabu kimeandikwa hiki unachosema kuwa imeruhusiwa kuoa mtoto wa njeSiwezi kujua watu wote duniani wanafanya nini huko, hivyo kujua wapo waliooa au hawapo hiyo ni ngumu
Case yangu kwako ilikua kusema Hilo jambo liliwekwa kea kutishia tu. Kitabu kutoka kwa Allah kitishie tu?
AIBU UTAONA WEWEDaaah Aya gani hyo?
πpumbav* kama hawa ndiyo husababisha uislamu uonekane dini ya kingese qmmmmmmk.
Sasa hajaleta hata aya ama hadithi inayosindikizia huu urojo wake anakuja na ngonjera tu.
Yaani umuoe mwanao wa kumzaa halafu mama yake uliyelala naye umuite mkwe siyo?
Sijaisoma Quran, pia siijui nawasikiliza nyie na kuwasoma. Nimelioma hili sio jana wala leoHakuna sehemu kwenye kitabu kimeandikwa hiki unachosema kuwa imeruhusiwa kuoa mtoto wa nje
Ndio maana nikakuambia soma sura
Imeharamishwa kuoa mtoto wako
Hilo tu
Kazi bado sana mate!Dah! Nimesikitika sana!
Tunavyohangaika kukemea ukatili kwa watoto wa kike, halafu anatokea sheikh anahalalisha..!!
Hivi anajua madhara ya kauli zake?
Ni wangapi hapo wataubeba ujinga wake na kwenda kuutekeleza? π₯
Iko wazii mkuuNdio maana wanasayansi wanasema dini sio chanzo cha maadili.
Maadili yana transcend dini.