Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,327
- 4,374
Mjinga mwenzako huyu alifuata dini ya hakiππ. Utasema hii ni AI, sasa jichanganye kama Mudy alivyooa binti wa miaka 9 ndiyo utaona mafundisho ya hakiππππ. Ana bahati Mudy alifanya kitambo ingekuwa sasa hivi naye 30 ilikuwa inamhusuππππNdio maana unabweka kama Mbwa , unajichekesha kwa vitu wala havichekeshi ...Tulia , unakurupuka .
Kama hivyo , basi mtu akijipatia mali za wizi , mbona unalaumu viongozi wakiiba pesa kwani pesa zina tatizo gani si wamezipata ili watumie ....Mtoto huyo , jiulize tu utawezaje kumleta kwenye familia yako , yaani ndoa yako ,kamuulize mkeo au mjaribu mwambie kuna mtoto nimezaa nje nataka kumleta hapa kwangu .
Dini imempa haki , ungetulia ukaambia sio kujichekesha kama umekalia kipisi..Wengine tunao hapa ni watu wakubwa , wamewaficha hao watoto kama ni halali kwa nn umfiche.
Dini yetu hatusikilizi watu zaidi ya Mtume (S.A.W), na kufuata Quran.Unabishana na sheikh wako?
Huyo ni mwanazuoni anajua anachoongea..!
Tatizo wengi hamtaki kusikia kile kinachohusu imani zenu..!! πΉπΉπΉ
View attachment 3644631
"Kwa mfano Diamond kazaa na mwanamke A mtoto wa kike ambae ni damu yake kabisaa kisheria za dini anaruhusiwa kumwoa mtoto yule kwasababu ni wa nje ya ndoa alipatikana kwa njia ya uzinifu, ndo uone kwamba namna gani zinaa Mungu ameikataza"
Sheikh Kulunge
Ndio neema za Allah. Peponi ni kuzini kwa fujo zote. Mademu 72 wote wakoBila haya unamuoa mtoto wako...uzinzi uliopitiliza
Dini yetu hatusikilizi watu zaidi ya Mtume (S.A.W), na kufuata Quran.
Ndio neema za Allah. Peponi ni kuzini kwa fujo zote. Mademu 72 wote wako
Hatari sanaNa mito ya pombe shekhe....unalewa na kubikiri mpaka uchanganyikiweππππ