Kifo cha Hayati Magufuli kilivyosababisha Stevev Makigo bosi wa Mayanga Construction azimie mara tatu

Bila God father huwezi pewa ya maana nchi hii
 
Imekula kwa Mayanga Construction hapo. Magufuli alidanganya wajinga kuwa anapambana na ufisadi kumbe yeye alitaka afanye ufisadi na wateule wake wachache
 
Porojo tupu.Watanzania Wana shida na maji na umeme ,ww unaleta projo .Kweli nchi za dunia ya tatu tutafika tumechoka sana.Watu wengi ,hawana idea wala vision.Ni projo za kutunga na ujinga mwingi
 
Awamu iliyopo sasa kuna watendaji walafi sana wa mali za umma na ili wafanikiwe lazima wajifiche kwenye makampuni ya kigeni wasijulikane mapema ila ikiondoka kwanza sheria ya kinga itaondolewa na aliyebariki ndiye atakaangwa kama ngisi
Ninakubaliana nawe.
Na rekodi itakuja kuwa wazi zaidi wakishaondoka madarakani.

Timu hii, kuanzia juu kabisa ni kama wana haraka sana ya kuzoa kabla muda wao haujamalizika.; kiasi kwamba hata kuficha wasionekane kuwa watupu inawawia ngumu sana.
 
Ulikuwa ni uamzi mmoja wa hovyo kabisa uliomjengea sifa mbaya, ikiwa ni pamoja na yale mengi mengine ya hovyo aliyofanya.
Hilo kwa kweli jiwe wetu amefanya upuz kwenda kujenda viwanja vikubwa Cha ndege na kuforce kulazimisha mbuga ya burigi hili limemsalilisha Sana jiwe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hii nchi ndivyo ilivyo tena kwa awamu zote
Hapana, siyo kwa awamu zote. Awamu ya Mwalimu hata kama walikuwemo walafi ndani ya serikali ile, walichoambulia ni kuvuruga tu mipango ya maendeleo ya wananchi. Wengi walidhibitiwa vya kutosha.
 
Mliambiwa na nani?

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…