Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Haahaahaaa those days bwana🤣Kuna mwengine kilio msibani.utazani baba yake wa kumzaaView attachment 2526318
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haahaahaaa those days bwana🤣Kuna mwengine kilio msibani.utazani baba yake wa kumzaaView attachment 2526318
Bila God father huwezi pewa ya maana nchi hiiKuna la kujadili hapa.
Kama kampuni haikuwa inajihusisha na makosa, kwa nini isipewe tenda kama uwezo/ufundi inao?
Hii ni kampuni ya kiTanzania, inaajiri waTanzania. Inatakiwa kujengewa uwezo zaidi.
Yasije yakawa yale yale ya kivuko cha Magogoni kupewa tenda kampuni ya nje na kuwaacha Songoro kwenye mataa bila ya sababu zinazoeleweka.
Wamepoteana leo🤣Team Legacy njooni huku kuna kuumbuana
🤣🤭JIWE Alikuwa na Fujo nyingi sana
Imekula kwa Mayanga Construction hapo. Magufuli alidanganya wajinga kuwa anapambana na ufisadi kumbe yeye alitaka afanye ufisadi na wateule wake wachacheKuna mzee mmoja alikuwa na nyumba mbovumbovu mitaa ya kariakoo mtaa wa Congo mkabala na ilipokuwa Club ya Nyota Nyekundu,tuliozaliwa mjini miaka hiyo tunapaelewa.
Yule mzee majirani zake waliuza vile viwanja kwa mamilioni kadhaa cha chini ilikuwa bilioni moja
Ghafla afya ya yule mzee ikaanza kutetereka ,watoto wakaona hapa ndio muda wa kutajirika ,wakawa hawamuhudumii na wanamoaushauri mbovu ili afe wauze wagawane hela.
Yule mzee akawastukia kile kiwanja akakitoa wakfu kwa Bakwata,kwamba akifa ile ni mali ya waislam sio yao,muda si muda akakata kamba.watoto hawakuambulua kitu.leo kuna ghorofa la mwekezaji akiwa na ubia na Bakwata
Steve Makigo boss wa Mayanga Construction alipewa tenda ya kujenga uwanja wa Chato kwa mabilioni ya shilingi.bajeti ya awali ya uwanja ilikuwa bilioni 18 ila npaka unakamilika zilitumika bilioni 53
Makigo alikuwa best wa Hayati tangu Secondary ,walisoma pamoja na kuna kaundugu kakaibuka hapo baada ya mmoja kuoa kwenye ukoo wa mwenzake.
Siku chache kabla ya hayati kuitwa alitoa maagizo kuwakiasi cha bilioni kadhaa zihamishwe kutoka akaunti ya Mayanga Construction kwa kazi maalumu na zingerudishwa soon.zilihamishiwa kwenye akaunti fulani sitaitaja leo
Kabla hela hazijarudishwa simu ya mheshimiwa kwa wiki mbili haipatikani hakukuwa na mawasiluani ya Steve na John.
Punde taharifa radmi kuwa John hayupo.
Kilichofuata ni Steve kuzimia kuzinduka,kuzimia kuzinduka,mara tatu.
Sasa najiuliza kuzimia huko ni upendo wa dhati aliokuwa nao Steve kwa John au ni kuwaza zile bilioni kadhaa zilizohamishwa toka Mayanga Construction.
Porojo tupu.Watanzania Wana shida na maji na umeme ,ww unaleta projo .Kweli nchi za dunia ya tatu tutafika tumechoka sana.Watu wengi ,hawana idea wala vision.Ni projo za kutunga na ujinga mwingiKuna mzee mmoja alikuwa na nyumba mbovumbovu mitaa ya kariakoo mtaa wa Congo mkabala na ilipokuwa Club ya Nyota Nyekundu,tuliozaliwa mjini miaka hiyo tunapaelewa.
Yule mzee majirani zake waliuza vile viwanja kwa mamilioni kadhaa cha chini ilikuwa bilioni moja
Ghafla afya ya yule mzee ikaanza kutetereka ,watoto wakaona hapa ndio muda wa kutajirika ,wakawa hawamuhudumii na wanamoaushauri mbovu ili afe wauze wagawane hela.
Yule mzee akawastukia kile kiwanja akakitoa wakfu kwa Bakwata,kwamba akifa ile ni mali ya waislam sio yao,muda si muda akakata kamba.watoto hawakuambulua kitu.leo kuna ghorofa la mwekezaji akiwa na ubia na Bakwata
Steve Makigo boss wa Mayanga Construction alipewa tenda ya kujenga uwanja wa Chato kwa mabilioni ya shilingi.bajeti ya awali ya uwanja ilikuwa bilioni 18 ila npaka unakamilika zilitumika bilioni 53
Makigo alikuwa best wa Hayati tangu Secondary ,walisoma pamoja na kuna kaundugu kakaibuka hapo baada ya mmoja kuoa kwenye ukoo wa mwenzake.
Siku chache kabla ya hayati kuitwa alitoa maagizo kuwakiasi cha bilioni kadhaa zihamishwe kutoka akaunti ya Mayanga Construction kwa kazi maalumu na zingerudishwa soon.zilihamishiwa kwenye akaunti fulani sitaitaja leo
Kabla hela hazijarudishwa simu ya mheshimiwa kwa wiki mbili haipatikani hakukuwa na mawasiluani ya Steve na John.
Punde taharifa radmi kuwa John hayupo.
Kilichofuata ni Steve kuzimia kuzinduka,kuzimia kuzinduka,mara tatu.
Sasa najiuliza kuzimia huko ni upendo wa dhati aliokuwa nao Steve kwa John au ni kuwaza zile bilioni kadhaa zilizohamishwa toka Mayanga Construction.
Uwanja wenye hadhi ya kimataifa; hiyo ndiyo 'context', hayo unayoweka kila mtu anayafahamu.Picha gani ilijengeka kuhusu huo uwanja zaidi ya kwamba ulijengwa kama Gbadolite tu bila kuwa na manufaa yoyote ya kiuchumi?!
Wee Ni mjinga na mpumbavu SanUnatumia akili ya kijijini ndiyo maana.
Huna picha ya kukuwezesha kujenga uwiano na kitu kinachozungumziwa hapa; uwanja wa ndege wa kimataifa.
Ninaelewa sana kwamba maelezo haya bado yatakupa shida kuyaelewa.
Ulikuwa ni uamzi mmoja wa hovyo kabisa uliomjengea sifa mbaya, ikiwa ni pamoja na yale mengi mengine ya hovyo aliyofanya.Ule uwanja ulikua na kazi moja tu,, kumrudisha boss home bila kupita mwanza airport, hasa awapo na mizigo isiyotaka masuali mengi.. (money)😁😁
Ninakubaliana nawe.Awamu iliyopo sasa kuna watendaji walafi sana wa mali za umma na ili wafanikiwe lazima wajifiche kwenye makampuni ya kigeni wasijulikane mapema ila ikiondoka kwanza sheria ya kinga itaondolewa na aliyebariki ndiye atakaangwa kama ngisi
Hilo kwa kweli jiwe wetu amefanya upuz kwenda kujenda viwanja vikubwa Cha ndege na kuforce kulazimisha mbuga ya burigi hili limemsalilisha Sana jiweUlikuwa ni uamzi mmoja wa hovyo kabisa uliomjengea sifa mbaya, ikiwa ni pamoja na yale mengi mengine ya hovyo aliyofanya.
Maana yake ni kwamba maslahi binafsi ni muhimu zaidi ya maslahi ya nchi. Ni serikali yenye urafi mkubwa sana.Bila God father huwezi pewa ya maana nchi hii
Hapana, siyo kwa awamu zote. Awamu ya Mwalimu hata kama walikuwemo walafi ndani ya serikali ile, walichoambulia ni kuvuruga tu mipango ya maendeleo ya wananchi. Wengi walidhibitiwa vya kutosha.Hii nchi ndivyo ilivyo tena kwa awamu zote
Ofcoz kwa nyerere walikuwa wachache na walidhibitiwa aswaaHapana, siyo kwa awamu zote. Awamu ya Mwalimu hata kama walikuwemo walafi ndani ya serikali ile, walichoambulia ni kuvuruga tu mipango ya maendeleo ya wananchi. Wengi walidhibitiwa vya kutosha.
Mliambiwa na nani?Tuliambiwa Mayanga ndio alikuwa anapitishia 10% zake. Hata uwanja wa ndege alilazikisha usiwepo ushindani ili Mayanga apate tenda wapige hela. Mayanga na Nyanza zinatakiwa kuchunguzwa. Ilikuwa ukigoma kulipa labda kazi haijafanyika unapigiwa simu toka juu.
Huyo ndio mzalendo wa mchongo
Mimi ni die-hard fan wa falsafa, maono na aina ya uongozi wa JPM ila hizo chatting ni fake kwa kuziangalia mara moja tu.