wagagagigi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2014
- 890
- 986
Kuna sababu nyingi za kufanya watu wazimie. Kwa mfano watu huzimia kwa mshituko, watu ambao wako kwenye denial kwamba hawaamini kama mtu kama Magufuli anaweza kufa! The way alivyoji-potray kwa watu kama vile hakuna mtu mkali na strong kama yeye, na kwamba kila mtu ni lazima amuogope na amheshimu yeye! Watu wanashtuka kwa kuwa hawakulitegemea hili!Je waliokuwa wanazimia wakifika kwa jeneza tusemeje!
Mimi sina nilipoandika au kumaanisha kama watu wanalia kinafiki katika ujumbe wangu huu mkuu! naona hukunielewa hebu usome vizuri!Wachawi ndio huwawanalia kinafiki au naww nimmoja wapo waliao kinafiki?
Hakuna mataga kwenye hili..Nitoe mimi kwenye mawazo yako.
Ebu tulia , weweSiyo kumhaga ,andika kumuaga.
Mtaweweseka sanaaa, ila dah Rais alipendwa hiyu dah!Ujinga tu juzi jirani kaweka mdumange watu wakajazana wakaja na pombe zao wakanywa, Tz hata gari ka matangazo ya nusiba watu wajazana kwa kuwa wako jobless kwahio usitishwe na huo umati
Wakifanya hivyo wata justify vipi allegation zao?Ila hili la channel za mataifa ya nje kupotezea linashangaza sana...
Wangeonesha kidogo ile nyomi ya pale uwanja wa taifa alafu hakuna cha social distance wala barakoa na watu wanadunda na afya zao njema...
Mburraa !!, pole sana kwa kukumia , dah!, , unakataa kuona watu wanamlilia mtu wao , unabishana na ukweli live! Dah! Mungu na akuhirumie, waache watu waomboleze, kama wewe na genge lako ulienda kuchungulia msibani , ni nyie msiwajumuishe, watu wengine,dah! Unatia huruma kweliWatu wengi katika umati ule walikuwa genuine wanamlilia, lakini watu wengi zaidi walikuwepo pale kiumbea umbea. Kushuhudia kama kweli mtesi wao kaondoka! Halafu kuna ile kulia kwa majonzi, na kuna kulia kwa kuwa umepata relief fulani kwamba Mungu kamuondosha kweli jitu katili ambalo hukutegemea kama Mungu angetenda muujiza huu kwa siku za karibuni.
Kwa hiyo acheni kusingizia watu. Sio wote wanaolia kwa huzuni bali kuna wengi wanalia kufurahia! Au mtupe ushahidi kwamba mnajuwa wote wanaolia wanamlilia na sio kumzomea na kufurahia! Kama hamuwezi kutoa ushahidi huo please guys...shut your f...
Sanaa , kuna kahaba kule instragram , anaumia kwelikweli, anataka kuwaambukiza watu chuki zake , dah !Tena humu wamo wanaumia sana
Pole sana na kufiwa na baba yako, Niachoongelea hapo ni kuona kikundi cha watu kuchukia kuona umati mkubwa wa watanzania wakimuombolezea Raisi waoSidhani hilo ni sahihi. Nadhani kinachotokea ni kuwa watu wengi walishapata uchungu kuliko huu wa JPM. Nilipoteza baba yangu kwa uchungu sana, nidhani nitakuwa na uchungu kuliko ule. Kwa wengi Rais alikuwa mtu muhimu, lakini si kwa kiwango kama cha mama au baba. Tuwachawe watu waumie kwa viwango tofauti.
Ninamini kila kifo kina uchungu. Sijui kama tu kuna
Kusherekea msiba sio sahihi kwa binadamu yeyote , kama huna machungu , utulie .kwanini mnawasaka wanaosherehekea?
Kukodiwa ? Uzushi wa kiwango cha lami.Wanalia na yao hasa umasikini wao. hakuna anayelia kwakua anampenda kwa lipi labda, watu wamekodiwa kwenda kulia yaani mpaka aibu hivi kwa mfano mtu wa Kimara aliyebomolewa na Mbezi hadi Kibamba unafikiri walienda kulia walienda kuthibitisha kwamba ni kweli hili tukio sililokuwa siri sirini limetokea? walienda kujiridhisha maana ukatili ule sio wa nchi hii
huwezi kuelewa propaganda za nchi hii we kula ugali wako lala tu, Waziri Mkuu anasema watu Bilioni 3.7 wameangalia maziko ya kitaifa ya Magufuli is He mad , nusu ya Dunia hata World Cup sio hivyo, waongo njia yao ni fupi na fake things zina bumbuluka muda sio mrefu kama kifo cha Mh. munguKukodiwa ? Uzushi wa kiwango cha lami.
Au dunia
Mmhhh , sio kweli mtu anaelia kwa uchungu ,anajulikana, anaelia kwa hasira anajulikana , anaefake kulia anajulikana , labda uwe mtoto usiejua kutafsiri mamboWatanzania ni wanafiki haijapata tokea na kwa mazingira ya tukio lenyewe na namna alivyo kuwa anaendesha serikali ni lazima watu wajitokeze kwa wingi.
Nahicho wala sio kigezo cha kisema anapendwa , watanzania hawa ambao hata akishikwa mchawi akaanza kuzungushwa nchi nzima watu watajaa hivyo hivyo .
Aliekuambia wewe ndio mjuvi wa mambo kuliko wenzio nani ? Kunywa kangara zako usepe kuleWanalia na yao hasa umasikini wao. hakuna anayelia kwakua anampenda kwa lipi labda, watu wamekodiwa kwenda kulia yaani mpaka aibu hivi kwa mfano mtu wa Kimara aliyebomolewa na Mbezi hadi Kibamba unafikiri walienda kulia walienda kuthibitisha kwamba ni kweli hili tukio sililokuwa siri sirini limetokea? walienda kujiridhisha maana ukatili ule sio wa nchi hii
huwezi kuelewa propaganda za nchi hii we kula ugali wako lala tu, Waziri Mkuu anasema watu Bilioni 3.7 wameangalia maziko ya kitaifa ya Magufuli is He mad , nusu ya Dunia hata World Cup sio hivyo, waongo njia yao ni fupi na fake things zina bumbuluka muda sio mrefu kama kifo cha Mh. mungu
we kakusaidia nini mh munguAliekuambia wewe ndio mjuvi wa mambo kuliko wenzio nani ? Kunywa kangara zako usepe kule
Ulimpenda wewMtaweweseka sanaaa, ila dah Rais alipendwa hiyu dah!