Kifo cha Nusra wa UDOM Bado ni pasua kichwa, UDOM waikana taarifa iliyosambaa

Tumekuwa kama jamii isiyokuwa na kujitambua.
Sio kama tumekuwa, ni kwamba ndio tulivyo. Leo hii ukianzisha mjadala wenye maslahi kwa nchi, utaishia kudhihakiwa na matusi juu, wako wapi walioitwa Wazalendo? Wako wapi leo walioitwa Vibaraka wa Wazungu?? Mbona ndege zimekamatwa kweli? Dah
 

Au Ndio hii ajali ya V8 ya Serekali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…