Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
Mi yng macho tu
hahahahahahaha sezae angalia yasiingie vumbi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi yng macho tu
come-on-me my dear!!! kwaniini humpendi huyu jamani?
mbona ni mpole hana hata element za uosama?
Mkuu mi naungana na Wewe kwa maelezo yako!
Lkn kabla ya yote tunapaswa kujiuliza Wamarekani walifanya nini mpk wakafanikiwa? Wahindi? Wa South Africa? Maana kwa mtazamo wangu kwa movie za SA ni Nzuri sn kuliko Nigeria kwa Africa! Sasa tunapaswa tuanzie chini kwanza! Ndio tuje huko mbele!
Alafu Wakuu Mimi nilitaka kujua undani Wa Hollywood, ni Kampuni ya mtu Au? Na Hiyo taasisi inafanya vp kazi Zake?
hollywood imekuwa its like an organization ambayo ndo inasimamia filamu za kimarekani kwa uchache ninachokijua hollwood ni kwamba kuna baadhi ya location za movie zonatengenezwa huko wanafanya shooting kulingana na mahitaji ya movie kwa mfano wanaweza wakatengeneza white house au ofisi za c.i.a n.k kwa structure zilezile za ukweli za ofisi husika na hata baadhi ya studio movie huwa zinafanyika huko hili limekaa kiteknolojia zaidi. So siwezi ilaumu bongo movie hapa
hollywood,bollywood na movie za kis.a nyingi zimekuwa supported na tech kuwa juu na uongozi mzuri wa taasisi zao za kusimamia movie,lakini kama tunavyojua bongo kila sehemu panapohitaji uongozi hutawaliwa na wivu,na maslahi binafsi thats y naendelea kusisitiza kwa sasa bongo movie ikitaka iendelee kwanza wajitahidi kuboresha filamu zao ubora huku wakiendelea kufuatilia hayo mambo mengine ya kuboresha mangement na kujifunza kutoka bollywood na hollywood huku wakiipressurize serikali iwaandalie mazingira mazuri ya mauzo ya kazi zao.
Ntuzu kumbe mi nafanana na mfungua mageti ehh..?? Kama Juma Chikoka vile...hahaaaa!!We King Excel umewasahau masista wengine warembo kwenye movie na Ma- charminglady Karucee tian miss chagga Na houseboy wao Sizinga
Kwanini Tz tusiwe na taasisi km Hiyo yenye kushughulikia kila kitu kiukamilifu km Hollywood ata km tusiwe na Technology Km ya Hollywood?
Maana mimi Nafikiri ni bora tuanze na taasisi Hiyo kulikoni kila msanii kujifanyia movie Zake anakojua Yeye bila ubora wowote! Tukianza huko then hayo mambo ya masoko, uwezo Wa wasanii, nani acheze na ni sehemu gani, locations zipi, vifaa vya kutumika, etc itakua rahisi kuvitekeleza!
kwa maana hiyo mkuu filamu za vikundi inabidi zife,lakini njaa pia ni tatizo kwa wasanii wetu,mtu anaona bora atengeneze movie walau apate laki 4 faida, maisha yaweze kwenda kuliko kukaa na kusubiri kutengeneza kitu bora,sina ujuzi sana kuhusu holywood walipoanzia mpk hapa walipo lakini hilo ni jukumu la bongo movie kukaa kusoma na kujifunza na pia kuaplly mambo ambayo yamewasaidia holywood na kuaply vitu hivyo hapa bongo ambavyo vinawezekanika lakini pointi ya msingi bongo movie inabidi watafute njia ya kuweza kupenyeza filamu zao hata nje ya nchi wasitegemee soko la tanzania tu.
Bora vikundi vife Mkuu Maana ndio vinaleta shida!
ahsante mkuu.. karibu sana bongo movie bana!!! tunahitaji uigize kama paroko mkuu halafu Kaizer awe msaidizi!
masista wawe mwallu, Husninyo, DEMBA, Chocs, Evelyn Salt, Dinazarde, Angelicious, Madame B na miss neddy.!!
director ntakuwa mimi hapa!
Una utani wa ngumi wewe!
i wish atokee mtu awape bongo movie kama m 50 hivi alafu awaambie watengeneze movie classic nione wataleta visingizio gani..